Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Na alimuacha EL muda wote CCM kwa sababu hiyo. Na akafanikiwa....EL alikua karibu sana na huyu mzee sijui ni kwanini hakuweza kumsoma na kum "counter"

Swali linabaki pale pale. Mikakati hii ya JK ni ya kwake kipaji au ni jopo la watu?

Moja ya Zuga ya Jk kwa Lowassa ni kuwapa Nyadhifa Wafuasi muhimu wa Lowassa!

Mf.

Dkt Nchimbi akampa Mambo ya ndani

Sophia Simba akapewa Mambo ya Wanawake na Uwt
Na wengine wengi hata kwny Uteuzi aliwapa hii ilimpa faraja Lowassa akidhan Jk kishalegea

2010 nao Kina Lowassa wakamzuga jK kwa kumtuma Hamis Mgeja Mwnykt wa CCM Shinyanga kumchukulia na kumlipia form Jk ya Kugombea lakin hawakujua Kama jk kastukia
 
Prof. angekuwepo hadi leo sijui hali ingekuaje. Maana jamaa alikuwa mdini aliyepindukia Lipumba ni cha mtoto.
Huyu ndiye aliyejitahidi kuondoa mfumo Kanisa na kujuana wakati wa kusahihisha mitihani. Atakumbukwa kwa kuanzisha Namba badala ya majina. Angalau ilileta ahueni,japo tatizo halikwisha,labda ndo udini ausemao jamaa,huo wa kuficha majina.
 
Marehemu na JK wote walikuwa wanachama wa BALUKTA na malengo ya kikundi hicho yalikuwa kuwania nafasi za juu kabisa za kisiasa "Abuja Declaration" Sasa tunajua nani alimuwahi mwenzake. RIP mzee Malima. Lakini tusisahau kuwa Malima junior kainuliwa na JK ili "KARMA" isimwandame.
sidhani, hilo lilikuwa baraza la kuendeleza Qur'an tanzania
 
Ila upinzani unakubali kufuga na kutetea majizi naafisadi
mna vyombo vyote vya sheria na mabavu,mnaogopa nini wa kuwakamata na kuwapeleka mahakamani hao wezi!!!!!!
majizi ni nyie mnaofuga majizi sababu mnaogopa watawataja mlivyoshiriki wizi
 
sometimes zinakuwa na ukweli
Wala haikuwa story ya kijiweni. Jamaa alitupiga halafu Sir God akamrudi hukohuko London. Chezea JK.
Tatizo hawa wenzetu mtu akiitwa tu jina la Kiislamu hata Kama ni kibaka akiadhibiwa wanalichukulia kama suala LA kidini. Sio wote, wapo wengi tu kwenye hekma na busara zao ambao muda wote wako busy kuona uislam hauchafuliwi na makanjanja wa imani.
Ikumbukwe kuwa mkanjanja hao hata Idimini Dada wanamuona kama shujaa wao. Mungu atuepushie mbali.
Malima aliutumia vibaya uprof wake kama alivyo lipumba.
Wanatumia ujinga wa watu kuwaingiza kwenye matatizo halafu wao haaooo, wanawaacha solemba
 
Siku zote muislam akifata dini yake mnamuita mdini, nitafurahi siku moja nikiitwa mdini kwa tafsiri yenu
Sio kwa maana hiyo. The man was radicalising young Muslims that's why God never let him prosper. He acted accordingly. This is Tanzania Bwana.
 
Wala haikuwa story ya kijiweni. Jamaa alitupiga halafu Sir God akamrudi hukohuko London. Chezea JK.
Tatizo hawa wenzetu mtu akiitwa tu jina la Kiislamu hata Kama ni kibaka akiadhibiwa wanalichukulia kama suala LA kidini. Sio wote, wapo wengi tu kwenye hekma na busara zao ambao muda wote wako busy kuona uislam hauchafuliwi na makanjanja wa imani.
Ikumbukwe kuwa mkanjanja hao hata Idimini Dada wanamuona kama shujaa wao. Mungu atuepushie mbali.
Malima aliutumia vibaya uprof wake kama alivyo lipumba.
Wanatumia ujinga wa watu kuwaingiza kwenye matatizo halafu wao haaooo, wanawaacha solemba

Tatizo lako ni Ujinga sio kingine!

Ukiulizwa taratibu za kupeleka Fedha Nje ya Nchi hujui hata hatua Moja

Ukiulizwa taratibu za ku freeze Account ya Fedha ya Mtu Nje ya Nchi unaijua hata Moja hujui

Ukiulizwa hayo Mabillion ya Fedha yaliwahi kuzungumzwa wapi kwny Taasisi rasmi iwe Bungeni, Mahakamani au wapi Serikalini najua utaishia kutukana

Ukiulizwa hizo Fedha zilipigwa kwny Mradi upi Mfano za EPA, Escrow, Rada zote tunajua source yake sasa eleza za Prof Malima ilikuwa kW y Mradi gani?

Zilipoudishwa uliwahi kuziona kwny report zipi?
Za Rada tuliambiwa Rasmi na Bungeni zilipangiwa Matumizi
Kwa Wakati ule Mtu kuamini Yale mambo haikuwa Shida kwa kuw kiwango cha Elimu na uelewa kilikuwa kidogo sana lakin ukiona Mtu w 2017 anaamini amino taarifa za namna ile lazima ushangae

Kama una Mawazo kuwa Prof Malima anatetewa kwa sababu ya Imani yake Basi huenda nawe hiyo sababu ndio inakufanya uamini huo uzushi!


Kwa hiyo tukisema zile taarifa za Mnadhimu waJWTZ Abdulrahman Shimbo kakutwa na 6 Trillion kwny Bank za South Africa ni Uongo pia itakuwa tunamtetea kwa sababu ya dini yake?

Leo Jifunze kuwa Hakuna Nchi yeyote Duniani inaweza ku freeze Account yako ya Fedha bila ya Amri za Mamlaka za Kisheria sio kwa andiko la Waziri tu Tena wakati huo huyo Mwny Account Atakuwa na Kesi ya Uhujumu uchumi au Ufisadi!
 
Umetukanwa na wenye akili
Kutukanwa ni nini. Watu wasio hatia wanchinjwa, wanuawa. Na sasa kibiti watu wanuawa kila uchao na wenye imani butu.
Na laiti kwa mwenendo wake Kama angekuwepo sidhani Kama Taifa lingekuwa hili tulilonalo sasa. Aliligeuka Taifa.
Sikubaliani na dhuluma dhidi ya kundi lolote lakini pia sitaki kuamini kwamba hamtaki kuona kuwa historia ndio iliyoleta madhara makubwa kwa Jamii ambazo mwarabu alizipitia. Na laiti kama tutakubaliana kurekebisha hili, ambalo kwa hakika kwa sasa kuna juhudi kubwa zinafanyika kuboresha Shule za seminary za kiislam. Hii itasaidia sana sana kuweka uwiano katika maeneo mengi ya kiutawala.
Tuangalie tulipojikwaa sio tulipoangukia.
Mwisho, tunahitajiana sana na hatuna sababu ya kutunishiana misuli. Tanzania ni yetu sote. Tumezaliwa hapa na tutazikwa hapa. Mungu wabariki watanzania wote pasipo kujali imani zao maana wote wanatafuta njia sahihi ya kukufikia. Amen
 
Back
Top Bottom