Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile

Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake

Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!

Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana

Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko

Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea

Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa

Daniel Yona na Mbilinyi Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta

Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007

Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea

William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake

Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
Basil Pesambili Mramba...
 
Kumbe fitna ameanza kitambo

Jk ni Mwiba mbaya sana kwny Siasa za Fitna!

Kuna Kigogo mmoja aliwahi kuniambia Jk alikuwa 'Nyoka' I. a Usalama wa Taifa Tangu akiwa Shuleni!

Chuoni alikuwa Makamu wa Rais wa Serikal ya Wanafunzi kuwa scan wenzie

Baada ya ASP na TANU kuungana wanasema alipelekwa Znz kuwa study wanaopinga Muungano Pamoja na Muunganiko wa ASP na TANU kwa kuwa kuna waliopinga Kuua Chama chao cha Afro shiraz( ilisemwa anaenda ku Harmonise TANU na ASP)

Alipoingia Jeshini akafanywa Mwalimu wa Siasa Jeshini japo hakuwa amesomea Siasa wala hakuwa Gwiji wa Masuala ya Kijeshi

Na Kwny Siasa alitumia weledi WA Jeshi, Michezo, Umjini, ujanja binafsi na ukwere kufanikisha Siasa zake
 
Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile

Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake

Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!

Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana

Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko

Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea

Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa

Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta

Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007

Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea

William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake

Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
Marehemu na JK wote walikuwa wanachama wa BALUKTA na malengo ya kikundi hicho yalikuwa kuwania nafasi za juu kabisa za kisiasa "Abuja Declaration" Sasa tunajua nani alimuwahi mwenzake. RIP mzee Malima. Lakini tusisahau kuwa Malima junior kainuliwa na JK ili "KARMA" isimwandame.
 
Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile

Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake

Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!

Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana

Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko

Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea

Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa

Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta

Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007

Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea

William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake

Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
SMART!!!!!
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom