Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu Kikwete

Nimeisoma hiyo barua na nimevuta kumbukumbu ya Malima Enzi zile pamoja na homeboy wake JK na mwishoni nimeendelea kuamini vile vile nilivyokua najua kuhusu Kighoma Ali Malima kwamba wanao mtetea wengi ni kwasababu ya dini yake tu but huyu nae ni miongoni mwa maprofesa wa hovyo walio wahi kutokea nchini. Kwenye wizara zote alizopitia alivurunda. Kwangu mimi sina la maana la kujifunza from this guy. Alale salama mahali panapomtastahili.
 
Historically Wapumbavu huwa hawana cha kujifunza toka kwa ma Prof
 
Hata kama motoni mkuu?
 
Soma kwa makini hii barua kisha tuambie umejifunza nini? Na kwa nini zamani mawaziri walikuwa wanajibika kuliko siku hizi?
View attachment 511436
Kama watu wanamuita Lowasa Fisadi sijui huyu malima aitweje? Simpendi Kikwete kama kiongozi aliyeulea ufisadi lakini tumshukuru kwa kumtoa kafara huyu mzee wa Kizaramo aliyekwenda kuoa msichana mbichi kule Mwanza wa kizinza ambaye alikua jirani yangu pale Nyamanoro wakati nipo mwanza Kikazi. Sijui watu wanamtetea huyu jamaa kwa kitu gani....
 
Historically Wapumbavu huwa hawana cha kujifunza toka kwa ma Prof
Inategemea na prof wa namna gani, huyu jamaa alikua prof mahili wa ufisadi na udini. Waulize waliokuwa pale Twakimu wakati yupo pale...Sina hakika kama ule msikiti Takwimu bado upo nitamuuliza rafiki yangu bado yupo Takwimu.
 
Waliompa u Prof si Waislam na kigezo hakikuwa Uislam

The rest is history
 
Vipi mkuu ulipigwa kibuti nini? Kati ya hawa wawili mmoja akimdukua mwengine kianalogia.

Na washawasha.

Kama watu wanamuita Lowasa Fisadi sijui huyu malima aitweje? Simpendi Kikwete kama kiongozi aliyeulea ufisadi lakini tumshukuru kwa kumtoa kafara huyu mzee wa Kizaramo aliyekwenda kuoa msichana mbichi kule Mwanza wa kizinza ambaye alikua jirani yangu pale Nyamanoro wakati nipo mwanza Kikazi. Sijui watu wanamtetea huyu jamaa kwa kitu gani....
 
Waliompa u Prof si Waislam na kigezo hakikuwa Uislam

The rest is history
Hapa tatizo sio upofesa. Tatizo ni hekma na busara za Kiongozi. Kwani mitume na manabii walikuwa wana elimu gani.
Hawa mapro wetu wanaendekeza sana njaa. Wengi ni walafi kwelikweli. Just kukuongezea idadi. Muone pale prof mbarawa. Kawaumiza watu huku yeye anajifanya kama hajui kitu. Alifukuzisha watu TCRA kwa uonevu, kisa maslahi binafsi. Angalia CEO wa Halotel kaonja mahabusu za bongo kisa mbarawa. Aliwalea na kuwapa jeuri ya kutokufuata taratibu na kanuni sasa wameishia hapo walipo. Faini 700mil.
Saa hizi washkaji zake wanashughulikiwa kimya kimya kikanuni na kisheria, yeye kimya. Haiwezi kupanua kimya chake kusema lolote. JPM, bravo. Kamua mpaka waseme pooo.
Hawa ndio maprof mnaowatetea. Hekima haifundishwi Shule, ni karama.
 
Acha kukurupuka!

Nimezungumzia u Prof wake kwa kuwa umekejeliwa u Prof wake!

Halafu inaonekan Mweupe sana Kichwani ndio sababu unadhani kila anachotangaza Waziri Basi ni Msimamo binafsi wa Waziri ndio sababu unamlaumu Tena Prof Mbalawa na kumsifu JPM
 
Akili yako ndio imekurupuka. Ndio maana inahitajika msuri kiasi ili kuidhibiti. Nadhani ni TZ pekee kama sikosei ambako maprof wananajisi taaluma zao. Njaa
 
Soma kwa makini hii barua kisha tuambie umejifunza nini? Na kwa nini zamani mawaziri walikuwa wanajibika kuliko siku hizi?
View attachment 511436
Kakikwete ni kafitini kweli kweli...ndo maana nasikia kalikimbia chuo cha Kijeshi Monduli kwa msukosuko...kakatembea kwa miguu toka Monduli hadi Usa River kalikopata gari ya kumbeba!

Jisomee hapa:
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwjjy-nbkv7TAhVIKMAKHRRMC8UQFgglMAA&url=https://www.jamiiforums.com/threads/kikwete-alivyoondoka-monduli-chuo-cha-jeshi-kwa-msukosuko.113307/&usg=AFQjCNGoffitutj3sg48TqXw0dJzljNXvg&sig2=s6lpGvjpZsIpiVJjyV_ZWw
 
Vipi mkuu ulipigwa kibuti nini? Kati ya hawa wawili mmoja akimdukua mwengine kianalogia.

Na washawasha.
ha ha ha ha
wapi ndugu yangu, ni jazba za kuilipenda Taifa langu mkuu. Ila hali ya huyo binti baada ya kurudi kutoka UK haikuwa kama alivyotoka.

Ndoa yenyewe ilikua kwa kuwakilishwa si unajua dini yetu inaruhusu mtu kusimama badala ya mtu katika kuweka ahadi ya ndoa!!!!
 
Back
Top Bottom