Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya Kighoma Malima kujiuzulu, amlaumu JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FAKE NEWS, May 19, 2017.

 1. FAKE NEWS

  FAKE NEWS Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Feb 16, 2017
  Messages: 31
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 25
  Soma kwa makini hii barua kisha tuambie umejifunza nini? Na kwa nini zamani mawaziri walikuwa wanajibika kuliko siku hizi?
  418f810e-db0d-4fd7-ae51-0938f5f2d477.jpg
   
 2. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2017
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,361
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Amlaumu?
   
 3. nchemime

  nchemime Senior Member

  #3
  May 19, 2017
  Joined: Aug 13, 2016
  Messages: 130
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Jk mzee wa figisu figisu

  Hata Lowasa anatambua hilo
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,217
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  duuu watu mna kumbukumbu, alimumaliza Mdini mwenzie
   
 5. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 11,036
  Likes Received: 14,065
  Trophy Points: 280
  Jk ni Mwanasiasa na hiyo ndio ilikuwa Kick yake 1995 mpaka akaingia 3 bora ya Mbio za Urais kwa kuwa alionekana ni Mwanasiasa Jasiri ( alikuwa na Miaka 5 tu Kama Waziri akiwa na Miaka 45) kumtuhumu Mwanasiasa Kama Prof Kighoma Tena wa Enzi zile

  Prof Malima alikuwa Mjenzi mzuri sana wa hoja lakin tusisahau Jk alikuwa anasoma Majibu ya CAG sio Mawazo yake

  Zile zilikuwa Figisu za Mbio za Urais 1995 huku ikionekana Prof Malima alikuwa na nia ya Urais!

  Kwny Siasa zetu kuonesha Nia ya kuwania Urais ni Changamoto sana


  Kwa haraka haraka naweza kusema Jk ndio Waziri Pekee wa Fedha kwa zaid ya Miaka 20 aliyetoka pale Hazina bila ya Msuko suko

  Kighoma Malima, Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea

  Prof Simon Mbilinyi 1996 Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea kisiasa

  Daniel Yona na Mramba Wizara ya Fedha ndio chanzo cha Matatizo ya kufungwa yaliyomkuta

  Zakhia Hamdani Meghji Wizara ya Fedha ndio chanzo cha kupotea 2007

  Mustapha Mkulo Wizara ya Fedha ndio iliyosababisha akapotea

  William Mgimwa Wizara ya Fedha ndio ilipelekea Kifo chake

  Jk ndio pekee kafanikiwa kutoka Treasury na kuendelea na Siasa zake Tangu 1990!
   
 6. D

  DREAMBOY JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2017
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 984
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 80
  Prof. kighoma Malina, Mwenyezi umpumzishe kwa amani, na amuwekee wepesi kaburini. Yapo mema mengi aliyoyafanya.
   
 7. Mudawote

  Mudawote JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2017
  Joined: Jul 10, 2013
  Messages: 4,587
  Likes Received: 2,879
  Trophy Points: 280
  ......siasa kitu mbaya sana.
   
 8. p

  phill JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2017
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Inatia huruma sana lakini ndio siasa barua inazungumza mengi if you think deep
   
 9. ISIS

  ISIS JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2017
  Joined: Apr 20, 2016
  Messages: 31,421
  Likes Received: 158,135
  Trophy Points: 280
  RIP Malimas
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2017
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,841
  Likes Received: 3,121
  Trophy Points: 280
  hilo deni alilokuwa anadaiwa kama ni lake binafsi kwa thamani ya pesa kipindi kile basi alikuwa na kila dalili za ufisadi,hivi huyu si ndiye alienda london akakuta bilioni tatu imkuwa frozen!!!!!
   
 11. B

  Babati JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 20,515
  Likes Received: 12,752
  Trophy Points: 280
  Du! hatari sana
   
 12. Mussolin5

  Mussolin5 JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2017
  Joined: Apr 23, 2015
  Messages: 15,995
  Likes Received: 57,708
  Trophy Points: 280
  Phillip Mpango anaelekea kuzama na kufata nyayo za wenzake.
   
 13. Nsibhwene

  Nsibhwene JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2017
  Joined: Dec 8, 2016
  Messages: 258
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Prof. angekuwepo hadi leo sijui hali ingekuaje. Maana jamaa alikuwa mdini aliyepindukia Lipumba ni cha mtoto.
   
 14. BILGERT

  BILGERT JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2017
  Joined: Feb 27, 2015
  Messages: 1,479
  Likes Received: 949
  Trophy Points: 280
  Embu tufafanulie juu ya uhusiano wa kifo cha mgimwa na uwazir wa fedha
   
 15. T

  Tabby JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2017
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,289
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  Upuuzi mtupu,. Watu wali conspire kuharibu nchi. Eti wanaambizana huu ni wakati wetu, elimu ya juu asilimia 65 tupewe sisi hata kama hatushindi!.
   
 16. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 8,110
  Likes Received: 6,506
  Trophy Points: 280
  Kumbukumbu maridhawa
   
 17. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 11,036
  Likes Received: 14,065
  Trophy Points: 280
  Zipo thread zinazzongelea hilo humu JF zitafute
   
 18. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2017
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,310
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  What goes around comes around ..."umeniachia matatizo makubwa, meli zaidi ya sitini zisizorekodiwa, vyeti hewa, makontena hewa, kodi hewa ....", yetu macho na masikio.
   
 19. B

  Bekabundime JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2017
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 1,260
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Watu wanaongea mambo ya maana wewe unakazania mdini mdini jenga hoja sio alikuwa alikuwa inakusaidia nini wewe?
   
 20. C

  CHIKIRA MTABARI Verified User

  #20
  May 19, 2017
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 11,166
  Likes Received: 11,072
  Trophy Points: 280
  Hiyo heading ingenoga kama neno HAYATI................ lingekuwepo
   
Loading...