Anikajema
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 605
- 530
Hauna issue yeyote mmekalia tu ubishi usio na logicUnamwandiko mbaya sana kuliko watu wote Tanzania
Hauna issue yeyote mmekalia tu ubishi usio na logicUnamwandiko mbaya sana kuliko watu wote Tanzania
Kama hutaweza kuthibitisha mungu yupo pasipo kutumia misingi ya kiimani basi ni wazi kabisa hujui chochoteKubashiri ndo kufnyaje? Imani kila MTU anayo usijifche .....maana hapo mwenyew unaamini dunia ilitokea kwa bing bang. Hivyo kusema hutak kuamini Ni ujuaji tu usio na maana.
Kama hutaweza kuthibitisha mungu yupo pasipo kutumia misingi ya kiimani basi ni wazi kabisa hujui chochote
Hakuna mtu au sayansi ikielezea kua muamini dunia ilitokea kwa bing bang bila uthibitisho
Unajua palipo na uthibitisho imani haiwezikani kuwepo?
Watu wanaamini kwasababu hawajui, wakijua wanakua wamekwisha kuthibitisha hivyo hakuna tena imani, imani ni doubt hivi unaelewa hilo?
Kwaiyo huyo mungu hathibitishiki kua yupo si ndiyo?Kila jambo la kiimani au kisayansi lazima liwe na ushahidi hakuna jambo ambalo halina exhibit tunalopaswa kuliamini.........(uwepo wa Mungu tunaufasiri kwa hivi tuvionavyo) sifa kubwa ya Mungu Ni uumbaji na hata sisi ni products zake, sasa kama yeye alisema kaumba kitu flani na kumbe alichokiumba hakipo au kama sisi tunaamini kuwa kaumba vitu flani ambavyo havipo basi ungelikuwa na haki yakutuona mapunguani lakin sisi tunaamini kuwa hivi tuvionavyo vimeumbwa na yeye tusiemuona.......sasa imani yetu ina exhibit hauna sababu yakukebehi namna hii brother
Kwaiyo huyo mungu hathibitishiki kua yupo si ndiyo?
Wew huwa unathibshaje uwepo wa nguvu mwilini mwako ? Au huwa unawezaje kuthibtsha kuwa we unazo nguvu?Kwaiyo huyo mungu hathibitishiki kua yupo si ndiyo?
Usinitoe kwenye mstari kwa kuja na mifano mfu hapambona una quarto bila kuelewa kwanza? Au hujui maana ya kuthibitka!? Je! Unaweza kumthibtishiaje kipofu kuwa kuna kitu kinaitwa umeme? Em niambie Ni mbinu gani unaweza kutumia kumthibtshia MTU wa aina hii uwepo wa umeme?
UnathibtkaUsinitoe kwenye mstari kwa kuja na mifano mfu hapa
Ujajibu swali usihamishe mjadala kwa kivuli cha kipofu
Unakubali kua uwepo wa mungu hauthibitishiki?
Thibitisha yupo bila kujipingaUnathibtka
Soma post #163 acha mbwembweThibitisha yupo bila kujipinga
Wapi ulipo thibitisha yupo zaidi ya kuongelea vitu ambavyo vinaleta maswali zaidi dhidi ya ulichokielezaKila jambo la kiimani au kisayansi lazima liwe na ushahidi hakuna jambo ambalo halina exhibit tunalopaswa kuliamini.........(uwepo wa Mungu tunaufasiri kwa hivi tuvionavyo) sifa kubwa ya Mungu Ni uumbaji na hata sisi ni products zake, sasa kama yeye alisema kaumba kitu flani na kumbe alichokiumba hakipo au kama sisi tunaamini kuwa kaumba vitu flani ambavyo havipo basi ungelikuwa na haki yakutuona mapunguani lakin sisi tunaamini kuwa hivi tuvionavyo vimeumbwa na yeye tusiemuona.......sasa imani yetu ina exhibit hauna sababu yakukebehi namna hii brother
Wapi ulipo thibitisha yupo zaidi ya kuongelea vitu ambavyo vinaleta maswali zaidi dhidi ya ulichokieleza
Uwepo wa mungu tunautafsiri kwa tuvionavyo[\b]
Hapo unaleta maswali mengine kua visivyoonekana pia siyo kazi yake hapo kunamfanya asiwepo kutokana na mambo mengine ameshindwa kuyaumba
We pimbi uwe unaelewaYaishe mkuu nafikiri umenielewa vema ila ubishi tu lakin labda nikutoe tongotongo Japo najua unafny makusud kutoelewa......iko ivi kama kitu hakionekan kwa macho ila athar zake zinahisika au kuonekana kulingana na sifa ya kitu hicho....(nakupa zoezi ...em kafikirie umeme upepo nguvu na akili pia... Na sifa ya kila kimoja wapo kat ya hivyo....(huwa tunavithibitsha kuwa vipo kwa namna gani then lete mrejesho)))).
Kwa kuwa umeona kutukana ndio suluhisho LA dhamir yako sihukumu katka hilo.We pimbi uwe unaelewa
Umeme upo na na unathibitishika kama upo ndio mana hapa hatubishani kuto kuwepo kwake unaelewa
Nilikukataza mwanzo kua mi sibishi mungu yupo eti kwasababu haonekani, vitu vingi havionekani lakini vinathibitishika kua vipo pasipo mkanganyiko wowote mfano umeme upo unathibitishika kwa mfano mdogo tu upepo unathibitishika hata kwa ngozi yako kua upo,
Unapozungumzia kua mungu ndiye muumbaji wa kila kitu hutakiwi kuweka ukomo kwenye kumuelezea kama ulivyo fanya kuelezea vitu alivyo viumba yeye aliumbwa na nani
Ulisema kua kaumba viumbe vilivyo na visivyo hai
Swali je huyo mungu ni kiumbe hai au kisicho hai?
Hujathibitisha mungu yupo zaidi ya kunichanganyia habari zingine zinazo zaa maswali mengine mapyaKwa kuwa umeona kutukana ndio suluhisho LA dhamir yako sihukumu katka hilo.
.ila naenda kukujibu swali lako juu ya kile ninachojua kuhusu Mungu ninaemwabudu Mimi.
.
Mkuu.
.Mungu si nafsi iliyotokana na kitu kingne si matunda ya uumbaji hata ivo nashangaa kama Mungu angeiona hoja hii yote kuwa nyepesi namna hii.
Kwasababu tunafikiri kuhusu VYANZO Ndani ya muda na pia ndani yake .na kama muda nikitu kimojawapo kilichoumbwa na Mungu, basi kusema kuwa hali ilikuaje kabla ya kuwepo Mungu Ni kujipinga.
Mimi.naishia hapa mkuu mengne tutakutana nayo katka mazngira tunamoishi na yatatufundsha mengi kuhusu yeye aliye Mungu.
Ila matusi Ni dalili ya MTU ambaye hajitambui na hayuko tayari kujitambua.
Kwaheri
Badae nitakujibu kwa kirefu ila ufupisho wake ....Sisi tunaamini Mungu Ni alfa na omega
mbona una quarto bila kuelewa kwanza? Au hujui maana ya kuthibitka!? Je! Unaweza kumthibtishiaje kipofu kuwa kuna kitu kinaitwa umeme? Em niambie Ni mbinu gani unaweza kutumia kumthibtshia MTU wa aina hii uwepo wa umeme?
Huna hoja ya msingi bila shaka wewe. Ni Moja wapo wawatu wanaotetewa na wazungu kupatiwa haki zao kwenye nchi ya tz.... Subiri nitaleta posa sheria ikipitishwa.Hauna ubongo kichwani maana unaandika utumbo tupu
Attach iyo barua na sisi tusome