Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

Treni ya katiba imeshaanza kuondoka,ni Aidha uamue kupanda ili uwe sehemu ya safari au uzubae uachwe
 
Mama
FB_IMG_16251278422694287.jpg
 
Hivi ni nani alishirikiana na serikali ya awamu ya nne kuhujumu mchakato wa katiba katika awamu za mwisho kabisa: Hadi Askofu Gwajima akaamua kumvaa kama mbogo ???
 
Ombi langu kwa makanisa: yawatenge CCM (wana CCM wasipewe huduma za kiroho)
Haaa mbona tunaingiaga tukiwa tumevaa rozari,utatujuaje.

Msijali,Mama alishapewa SIRI NZITO na maaskofu anayomoyoni.
 
Hivi ni nani alishirikiana na serikali ya awamu ya nne kuhujumu mchakato wa katiba katika awamu za mwisho kabisa: Hadi Askofu Gwajima akaamua kumvaa kama mbogo ???
Mchakato ukishakuwa wa kuoneshana umwamba wa kisiasa hauwezi kufanikiwa.

Ndicho kilichotokea.

Chadema wanahitaji katiba mpya iwasaudie kupata madaraka na,

CCM wanahitaji katiba iliyopo kulinda madaraka.

Mwenye nguvu ndio mshindi.
 
Hao huwa wanaangalia CCM imesimamia wapi nao wanasimamia hapohapo!

Mkuu atakaye kaa nje kwenye hili hafai:

Kwamba wananchi hatutaki kuendelea kubambikiziwa kesi, hatutaki dhuluma, hatutaki kubebeshwa mizigo ya kodi ya wengine, tunataka mihimili ya utawala iliyo na huru kamili, tunataka usawa, tunataka uwajibikaji, tunataka mawazo yetu kusikilizwa nk.

Tiba ya hili ni kuwepo kwa katiba mpya iliyoboreshwa tu.

Wewe nani ukae nje ya wito huu mtakatifu?
 
Back
Top Bottom