Barua: Kumbe watumishi wanalazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni za CCM na wanachukuliwa majina. Hivi mnawapa nauli?

Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Bila kulazimisha watu ccm mikutano yao imedoda kama uji wa juzi.
 
Ufalla sana,,, watumishi wamekuwa wakinyanyasika sana awamu hii
 
Tumeipenda Wenyewe!!
Wala Hatukuandikiwa Barua Wacha Ituue
😀😁😅😄😄
 
Halafu huyo mkurugenzi atende haki kumtangaxa mpinzani akishinda kwenye jimbo lake
 
Sijui kama huu sio utumiaji mbaya wa madaraka. Mh. Majaliwa ni waziri mkuu (nafasi ya kiserikali) na hana uongozi katika CCM (kama mwenyekiti msaidizi, katibu, mwenezi nk).

Kutumia rasilimali za taifa kufanya kampeni za chama si jambo sahihi. Mkurugenzi ambaye ni msimamizi wa uchaguzi ndiye anayetekeleza takwa la chama cha siasa, huku akitarajiwa kuwa na usawa kwa wagombea wengine. Lakini kwa kuwa wengi hatuwazi nje ya box la siasa, hatuwezi kuona hili!!

Points nzuri kabisa za kufungulia shitaka baada ya uchaguzi!!
 
Siamini kama hii barua imeandikwa na mamlaka husika, naziomna mamlaka kuwa na utaratibu wa Kupitia mitandao na kukanusha habari ambazo si za kweli
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
 
Nimekutana na hii barua kwa tweet ya Halima Mdee nimeshangaa kumbe hii nchi siyo huru hata kidogo! Na usipoenda utafukuzwa kazi ama? Maana sijaelewa mantiki yake hata kidogo
View attachment 1559097
Tena mnagawana kabisa kuwa wewe ni lazima uwe eneo fulani!
Hii Sasa ndio maana halisi ya propaganda. Ila kitu Cha muhimu Cha kujiuliza need je?

Hii barua haina authentification yeyote kwamba inatoka serikalini, kwakua anyone could print it.
 
Back
Top Bottom