Barua fupi ya wazi: Jaji Warioba naomba umsafishe Makonda kabla hujamaliza zamu yako

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,237
2,000
Ni muda mrefu umepita tangu historia iandike wewe kupigwa na Makonda wakati wa sekeseke la katiba mpya. Katika utetezi wake Makonda anadai alikuwa anajaribu kukutoa nje, usidhurike na fujo zilizokuwa zimejitokeza.

Hata hivyo jamii hadi leo haijaamini utetezi huo wa Makonda hali inayoleta sintofahamu kuhusu ukweli wenyewe. Ila kiukweli wewe mh. ndio unaujua ukweli.

Kama ni kweli Makonda alichosema ni sahihi naomba uliweke wazi hili kwa watanzania kabla hujalala na kama sio kweli basi msamehe bure.

Kwanini nasema uliweke wazi? Makonda bado kijana na ana nyota ya uongozi, huko mbeleni atakuja kufika mbali sana na kuisaidia nchi hii, hivyo historia kubaki namna hiyo kuwa aliwahi kukupiga itakuwa ni doa sana katika safari yake na historia yake kwa vizazi vijavyo
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
8,350
2,000
Upuuzi mkubwa! Nani ana nyota ya uongozi? Utekaji na mauaji ni nyota ya uongozi?

Duniani ama kweli kuna maajabu!! Is it a joke or you mean it?
 
BrainIndependent

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
475
1,000
Ni muda mrefu umepita tangu historia iandike wewe kupigwa na Makonda wakati wa sekeseke la katiba mpya. Katika utetezi wake Makonda anadai alikuwa anajaribu kukutoa nje, usidhurike na fujo zilizokuwa zimejitokeza. Hata hivyo jamii hadi leo haijaamini utetezi huo wa Makonda hali inayoleta sintofahamu kuhusu ukweli wenyewe. Ila kiukweli wewe mh. ndio unaujua ukweli. Kama ni kweli Makonda alichosema ni sahihi naomba uliweke wazi hili kwa watanzania kabla hujalala na kama sio kweli basi msamehe bure.

Kwanini nasema uliweke wazi? Makonda bado kijana na ana nyota ya uongozi, huko mbeleni atakuja kufika mbali sana na kuisaidia nchi hii, hivyo historia kubaki namna hiyo kuwa aliwahi kukupiga itakuwa ni doa sana katika safari yake na historia yake kwa vizazi vijavyo
Kwamba ndio chanzo cha projects zake nyingi kuwa fyongo?.
 
Atropine

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
260
500
Jiwe likitoka magogoni, bashite atafute kazi ya kufanya.
Hana vinasaba vya uongozi, anatumia mabavu zaidi ya akili na hakubaliki.
 
gm man

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,091
2,000
Ni muda mrefu umepita tangu historia iandike wewe kupigwa na Makonda wakati wa sekeseke la katiba mpya. Katika utetezi wake Makonda anadai alikuwa anajaribu kukutoa nje, usidhurike na fujo zilizokuwa zimejitokeza. Hata hivyo jamii hadi leo haijaamini utetezi huo wa Makonda hali inayoleta sintofahamu kuhusu ukweli wenyewe. Ila kiukweli wewe mh. ndio unaujua ukweli. Kama ni kweli Makonda alichosema ni sahihi naomba uliweke wazi hili kwa watanzania kabla hujalala na kama sio kweli basi msamehe bure.

Kwanini nasema uliweke wazi? Makonda bado kijana na ana nyota ya uongozi, huko mbeleni atakuja kufika mbali sana na kuisaidia nchi hii, hivyo historia kubaki namna hiyo kuwa aliwahi kukupiga itakuwa ni doa sana katika safari yake na historia yake kwa vizazi vijavyo
Mkuu

Ana nyota ya nini????
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom