Barrick’s Acacia mining’s legal problems go up


jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
(DAR ES SALAAM DISTRICT REGISTRY)

AT DAR ES SALAAM

MISC. CIVIL APPLICATION NO. 21 OF 2017

BISMARK HOTELS………………….APPLICANT

VERSUS

KAREL DAELE……………………………………1ST RESPONDENT

PANGEA MINERALS LTD……………………2ND RESPONDENT

BARRICK EXPLORATION AFRICA LIMITED…………………………………3RD RESPONDENT

ACACIA MINING PLC…………………………..4TH RESPONDENT

JOSEPH .S. WARIOBA…………………………..5TH RESPONDENT

SUMMONS FOR PUBLICATION

TO:

KAREL DAELE
MISCHON DE REYA,
SUMMIT HOUSE, 12 RED LION SQUARE
LONDON WC1R 4QD
UNITED KINGDOM

WHEREAS, the above mentioned applicant has instituted an application against you at the High Court of Tanzania (Dar es salaam Registry) the facts of which may be found on request in the Court file, you are hereby summoned to appear in this Court in person or by a pleader duly instructed and able to answer all material questions relation to the application or who shall be accompanied by some person able to answer all questions on 30th day of November, 2017 before Hon. A. Munisi, Judge to answer the claim. You must be prepared to produce on that day all the documents upon which you intend to rely in support of your defence.

TAKE NOTICE that in default of your appearance on that day aforementioned, the application will be heard and determined in your absence.

GIVEN under my HAND and SEAL of the Court this 2nd day of OCTOBER 2017.

DEPUTY REGISTRAR
HIGH COURT OF TANZANIA
DAR ES SALAAM
IN THE HIGH COURT OF TANZANIA
AT DAR ES SALAAM

MISC/CIVIL APPL. NO. …..21/2017

BISMARK HOTELS…..APPLICANT

VERSUS

KAREL DAELE and OTHERS……..RESPONDENT

NOTICE OF DATE OF MENTION

TAKE NOTICE that, the above mentioned case has been fixed for mention on the 30th day of November 2017 at 9:00 AM, before Hon Munisi ……Judge

YOU ARE required to appear in this Court without fail and must produce on that day all the documents upon which you intent to rely in support of your case.

GIVEN under my HAND and the SEAL of the COURT this 27TH day of SEPTEMBER 2017.
DEPUTY REGISTRAR
DAR ES SALAAM

TO BE SERVED UPON:
Hon JOSEPH .S. WARIOBA
NYALALI, WARIOBA & MAHALU LAW ASSOCIATES
HAILE SELASSIE/GHUBA ROAD, HOUSE NO. 501/13 OSTERBAY
DAR-ES-SALAAM

Credit: Samantha Cole

Tanzania Business Ethics
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
Mada hii ni kubwa sana kwa akili na uwezo wa ubongo wa kibavicha
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
Ufipa mnaonesha uwezo mdogo sana kwenye issues.by the way mimi sio chiriku...nimekuwekea key issue ni kazi yako kusoma na kudadavua
 
T

treborx

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,515
Likes
2,079
Points
280
T

treborx

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,515 2,079 280
Dude, you are guilty of something? Maana unaweka mada, kisha unaanza kujishuku mwenyewe. Can't keep Q and leave others to comment??
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
Dude, you are guilty of something? Maana unaweka mada, kisha unaanza kujishuku mwenyewe. Can't keep Q and leave others to comment??
Wapi nilipo jishuku?
 
S

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Messages
1,441
Likes
1,129
Points
280
S

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2009
1,441 1,129 280
Wapi nilipo jishuku?
Mkuu jingalao,

Naamini watakuelewa wachache sana humu na huenda wengi watajiuliza kwa nini umeleta hii thread. Hata mimi kabla ya kuisoma hadi mwisho nimejiuliza lakini nilipofika maneno ACACIA MINING PLC kama 4TH RESPONDENT nikadhani nimekuelewa na nimecheka.

Ndugu zangu wana JF, hoja niliyoiona hapa bunafsi nilishawahi kuijadili na kuianzisha humu naomba muiptitie hii hapa (https://www.jamiiforums.com/threads/mzozo-wa-barick-v-acacia-na-kitu-kiitwacho-legal-personality.1339627/).

Tuliojadili tulistushwa na ripoti ya Profesa Osoro kwamba ACACIA MINING PLC si kampuni halali kwa sababu tu haijasajiliwa BRELA. Ndipo mimi nikaanzisha hiyo thread kuuliza kama ACACIA inayo au haina "legal personality".

Kama umesoma hiyo thread utaona niliuliza na tumejadili kwamba hata kama haijasajiliwa BRELA basi ACACIA ina "legal personality" kwa sababu imesajiliwa kwa mujibu wa sheria zingine na hivyo inaweza kushitaki au kushitakiwa na mahakama za humu ndani.

Sasa leo jingalao kaleta mada hii na kwa kifupi hii ni summons ya mahakamani, tena High Court. Mmoja wa washitakiwa yaani mshitakiwa wa nne ni ACACIA MINING PLC.

Sasa nilivyomwelewa jingalao ni kwamba summons hata wewe na mimi hatujui ni kwa ajili ya shitaka au madai gani lakini muhimu kuliko yote ni hoja kwamba ACACIA wameshitakika mahakamani, tena High Court.

Sasa wale ambao mmekuwa mkiamini kwamba ACACIA si kampuni halali (does not possess legal personality), hili ni umbuko la karne. Kama si kampuni halali basi isingetakiwa hata kusimama mahakamani kwa sababu ni kampuni hewa na hewa haisimami mahakamani.

Hivyo, narudia, hili ni umbuko kwa wote waliosema ACACIA ni kampuni hewa wakati kumbe inatambulika na sheria ya BRELA na imeajiri wafanyakazi inashitakika kwa Employment and Labor Relations Act.

Safi sana jingalao kuleta mada na nigepeda kila mmoja aielewe.

Mada hii ni kubwa sana kwa akili na uwezo wa ubongo wa kibavicha
Acacia ni zimwi linalotakiwa kuzikwa nje ya Tanzania
Kaka, hebu fafanua, ACACIa itakuwaje kampuni fake wakati wewe mwenyewe umeeleza kwamba ililipata jina la ACACIA kutoka kwenye jina la AFRIKA BARICK GOLD ambalo limo BRELA?

Hebu tupeni maelezo yaliyonyooka ili tulio serious tulielewe jambo hili. Angalia vizuri contradictions zako between RED and BLUES.
waishitaki Acacia kwa locus stand ipi? The thing is legally amorphous. After all, waajiri/walipa kodi kwa TRA na halmashauri ni BUL mine, BZG mine na NM mine, siyo Acacia. Usilazimishe maoni na hisia zako kuwa conventional practices.
Hapa ndio wanasheria wa JAMHURI wanapofeli! Sophist unapingana na mimi kwa sababu umejiwekea notion moja tu, kuwa hawa ACACIA hawawezi kutushtaki kwa sababu hawana CERTIFICATE YA INCORPORATION ya BRELA. Unasahau kwamba, IMPLIED, ACACIA wameingia mikataba na Watanzania na idara zilizo chini ya sheria za Tanzania.

Jiulize, je Watanzania, yaani waajiriwa wa ACACIA/idara za Tanzania zilizoingia mikataba na ACACIA haziwezi kuishtaki ACACIA kwa sababu tu haina certificate of incorporation ya BRELA?
REMEMBER THE TOPIC IS "LEGAL PERSONALITY".

CC: SubiriJibu
Cc:
Online Pastor, Pascal Mayalla, shungurui, mcmzungu, Zakaria Lang'o, Allen Kilewella, residentura, abdubasal, Kitaturu, Ismail D, malisoka, Duuma, PNC 1, Lazaroj, kambi7, cmases, nyabhingi, kobokocastory, lembu, mwengeso, GreenCity, Bams, Kirchhoff, MISULI, zithromax, Gamba la Nyoka, Sophist
 
D

dagii

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Messages
3,241
Likes
1,145
Points
280
D

dagii

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2013
3,241 1,145 280
Yule mbwa aliyedai tutanyolewa bila maji yupowapi
 

Forum statistics

Threads 1,236,300
Members 475,050
Posts 29,253,351