Barrick yatimiza ahadi kwa viongozi wa serikali

Amakando

Senior Member
May 9, 2011
158
27
Aliyekuwa kamishina wa pollisi kamanda Abdalah Msika baada ya kustaafu sasa ni mkufunzi wa walinzi katika mgodi wa Barrick buzwagi kitengo cha ulinzi( Training security superintendent), hii inathibitisha ni jinsi gani viongozi wa serikali wanavyoshindwa kufanya maamuzi sahihi dhidi ya barrick kwa kuwa Viongozi wanakuwa wameahidiwa nafasi za kazi wakistaafu, mshahara wake ni 4.5 millioni. source Barrick Buzwagi.
 
Hakuna tatizo hapo,ulitaka akawe omba omba?labda kama una matatizo na Barrick
 
Aliyekuwa kamishina wa pollisi kamanda Abdalah Msika baada ya kustaafu sasa ni mkufunzi wa walinzi katika mgodi wa Barrick buzwagi kitengo cha ulinzi( Training security superintendent), hii inathibitisha ni jinsi gani viongozi wa serikali wanavyoshindwa kufanya maamuzi sahihi dhidi ya barrick kwa kuwa Viongozi wanakuwa wameahidiwa nafasi za kazi wakistaafu, mshahara wake ni 4.5 millioni. source Barrick Buzwagi.

Mkuu nadhani siyo kwamba waliahidiwa vyeo hapa tatizo ni kwamba serikali haiwalipi wafanyakazi wake mafao mazuri baada ya kustaafu na matokeo yake wanaenda kuajiriwa tena badala ya kupumzika baada ya kulitumikia taifa
 
...hata Kamanda Tossi baada ya kustaafu Polisi sasa yupo Wizara ya Maliasili na Utalii kitengo cha Kuzuia Ujangili, ni Mkufunzi
 
Kumbe wengi wanategemea fadhila za hao wawekezaji ili kuja kujikwamua kimaisha after retirement! Kweli hawawezi kutoa maamuzi yz kuwakandamiza wawekezaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom