Barrick yamfukuza kazi kijana kwa kumtongoza mwanamke wa kihindi

Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
396
195
Ni tukio la aina yake lililojaa kila aina ya ubaguzi wa rangi,ni wiki iliyopita kijana aliyekuwa akifanya kazi ktk mgodi wa Bulyanhulu wa Barrick,amefukuzwa kazi baada ya kuonyesha hisia zake kwa binti wa kihindi raia wa South Africa,ambaye naye ni expart wa mgodi ule.

Walipeana namba za simu,kijana wa watu akatupa ndoana kujaribu bahati yake,mambo yakamgeuka,binti mbaguzi kashtaki kwa makaburu wa mgodini,kesi ikaitishwa,hukumu ikatoka kuwa kavunja sheria kwa kumnyanyasa kimapenzi,kazi ikaisha.

Ajabu ni kuwa weusi huwa wanatongozana lakini hakuna kesi,wala kufukuzwa kazi lakini baada ya mweusi kumtongoza mweupe,kibao kikageuka kuwa ni sexual harassment.

Tukio hili limepandisha hasira watu,kwanini mtu abaguliwe ndani ya ardhi yake na wageni tu tena wenye njaa waliokuja kujistiri kwetu?

Nimeongea kwenye simu na huyu kijana,wiki ijayo naelekea Bulyanhulu ili kuonana naye nimshawishi aipeleke mahakamani kampuni hii ya kitapeli inayokumbatiwa na watawala wa CCM wasioipenda Tanzania hata kidogo.

Mungu bariki taifa letu.
 
Jamaa usikute aliambiwa HAPANA akakomaa tuu!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mmh.... kumbe ule ubaguzi wa makaburu wa South Africa, umehamia TZ yetu?!

Itabidi wanaharakati na wanasheria popote walipo, wamsaidie huyo kijana ili awafungulie charges za discrimination hao makuburu wa Afrika kusini.

Kwa kuwa hata kwenye sheria yetu ya ajira, Employment and Labour Relations Act, 2004, kifungu cha kifungu cha 7(4) kinakataza sana jambo hilo.

Sheria hiyo pia inafafanua, kupitia kifungu cha 102, kuwa mwajiri atakayekiuka sheria hiyo, anaweza kupigwa faini ya hadi shilingi milioni 5!
 
Sexual harrassment is punishable. Kwa vilr dada zenu wakitongozwa na wahindi na wazungu wanaona dili na kuvua kabla hawajavuliwa, haimzuii mdada wa kihindi kuwa harassed na mtongozo. Tena ajiangalie huyo kijana, kama kuna ushahidi anaweza kupelekwa mahakamani.

na umuambie aache uduwanzi. Yeye anaanzaje kutongoza kabla hajapewa green light? Kuna mijitu humu jf ndo zao, linatuma pm out of nowhere 'nataka nikifikishe kibo', pakashume kabisa utadhani kibo anapajua.
 
Nilishawahi kumgegeda mhindi. yaani hawako hot na kunanihiii kama wa kwetu. yaani kama kitu kilichochakachuliwa bure kabisa I want my hot bloodied sisters.
 
Sexual harrassment is punishable. Kwa vilr dada zenu wakitongozwa na wahindi na wazungu wanaona dili na kuvua kabla hawajavuliwa, haimzuii mdada wa kihindi kuwa harassed na mtongozo. Tena ajiangalie huyo kijana, kama kuna ushahidi anaweza kupelekwa mahakamani.

na umuambie aache uduwanzi. Yeye anaanzaje kutongoza kabla hajapewa green light? Kuna mijitu humu jf ndo zao, linatuma pm out of nowhere 'nataka nikifikishe kibo', pakashume kabisa utadhani kibo anapajua.

Kuna point ila punguza hasira utaelewela tu mdada
 
Mweupe akitongoza mweusi ni bahati hiyo...we umetoka zako kwimba huko na govinda lako unataka kuwapanda wahindi! Utafungwa
 
Kuna kitu kinaitwa "sexual harassment at workplace" ila kwa watanzania tunaona ni kawaida tena mabinti zetu wasipotongozwa wanaona hawavutii so wanajilengesha na kujirahisi zaidi ila kwa wenzetu ni kosa kumtongoza MTU hivyo hivyo. Akisema NO ni NO

Unajua watanzania wengi hawajui kwamba sexual harassment is a criminal offence. Huyo kijana siyo alitakiwa baada ya kufukuzwa kazi angefunguliwa mashitaka na huyo binti. Nadhani huyo binti ameambiwa kwamba mahakama za Tanzania zitamchelewesha kupata haki yake.
 
Imeandikwa wapi? Ni aina gani ya bullying ama sexual harrassment? Unaongea kwa uzoefu wa majuu ama hapa bongo? Kama una reference ebu weka basi
 
Kwenye maofisi mengi sexual harrasment ni kosa. Mfano,mtu anaweza kukukwaza na mavazi yake tu au anakushika shika ovyo ofisini unamrepoti HR anachukulia hatua.
 
Sexual harrassment is punishable. Kwa vilr dada zenu wakitongozwa na wahindi na wazungu wanaona dili na kuvua kabla hawajavuliwa, haimzuii mdada wa kihindi kuwa harassed na mtongozo. Tena ajiangalie huyo kijana, kama kuna ushahidi anaweza kupelekwa mahakamani.

na umuambie aache uduwanzi. Yeye anaanzaje kutongoza kabla hajapewa green light? Kuna mijitu humu jf ndo zao, linatuma pm out of nowhere 'nataka nikifikishe kibo', pakashume kabisa utadhani kibo anapajua.
Hata hiyo sexual harassment, unayoongelea kinga'sti ina ufafanuzi wake.

Mimi kumuomba contact ya simu, mdada workmate mwenzangu, hiyo haijawa sexual harassment, kwa kuwa ana hiari ya kunipa hiyo contact yake au kunikatalia, kwa kuwa simlazimishi.

Itageuka tu kuwa sexual harassment, kama wewe mwanaume utakuwa king'ang'anizi, mdada kakunyima kukupa contact yake ya simu, halafu unaendelea kumghasi kutaka hiyo namba, au unafanya vitendo vingine, vinavyoashiria kumghasi, kwa lengo lá kumtaka kimapenzi.

Kwa hiyo ni vyema suala la huyo kijana na huyo mdada mdosi, likathibitka kuwa kulikuwa na vitendo vilivyofanywa na kijana huyo, dhidi ya huyo mdada wa kihindi, vinavyothibitisha kuwa huyo kijana alikuwa king'ang'anizi kwa lengo la kumshinikiza huyo mdada, amkubali kumpa penzi.

Kama hilo halitathibitishwa, basi hiyo bado haijawa, sexual harassment.
 
Wahindi racist sana wanajulikana hata kwa wazungu wanaendeleza upuuzi wao

Kwa hiyo ndio wanapaswa kutongozwa kwenye maeneo ya kazi? Waswahili mnatabu sana. Acha tu huyo mjinga apigwe chini!..muda wa kazi fanya kazi nyegge zinatoka wapi?
 
Mnamtetea bure tuu huyo dogo.

Kijana namfananisha na Ngoswe. Ameacha kufanya majukumu yake yaliyompeleka akaamua kuendekeza mapenzi.
Ni mzembe sana.

Na hii ndiyo tabia ya vijana wengi sana wa kitanzania. Amepigika mtaani weee akalalamikaaa ajira ngumu, siku anapata kazi anajisahau kabisa. uzinzi umemponza.

Atimuliwe tuu kwani hakuna njia nyingine.
 
Back
Top Bottom