Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,442
- 113,452
- Thread starter
- #141
Mkuu Richard, keep follow na Dr. Abbas, jamaa is good, alinitangulia mwaka mmoja UDSM, na kwa jinsi ninavyo msikiliza na kuzungumza nae ni highly knowledgeable person, akiruhusiwa kuisuka Idara ya Habari Maelezo, naamini atapata watu na soon tutakuwa na uwezo wa ku counter mauongo ya international media, tatizo la Maelezo ninaloliona mimi, watumishi wa serikali ni permanent na pensionable, hivyo kwa muda mrefu sana, mtumishi yoyote wa serikali kwenye media, akiboronga, au kuoishana lugha na bosi wake, hupelekwa Maelezo kusubiri kustaafu kwa amani, hivyo Maelezo palikuwa kama kijiweni fulani, unaweza kukuta Dr. Abasi ndio amekuta sampuli hii, he cant change them bali kusubiria tuu muda wao ufike, lakini akipewa powers za kusuka team yake, the guy is good.Shukrani mkuu kwa "acknowledge" yako juu ya mchango wangu.
Mimi nafikiri watu wapo wenye uwezo wa kuchambua habari za nje na kujaribu kuwatumia watu wetu maalum kujibu mapigo kupitia hizo "international media".
Pili, ni kuhusu hilo la watu kama sisi kujitokeza kutoa msaada wa ushauri hili bado nalifikiria na juzi nimeanza kuchokoza huko yaani nimetuma barua ya maombi ya kuwa consultant kwa bwana Abbas.
Ikibuma basi nafahamu wanasoma hapa wanapata miwili matatu.
Tanzania tuna uhuru mkubwa wa habari na uhuru wa kujieleza, Serikali ina nia njema kusajili na Kudhibiti-Dr. Hassan Abbas afafanua live on Chan.10
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Baragumu ambacho kiko live on Channel Ten, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Dr. Hassan Abbas, afafanua mambo mbalimbali ya Habari Tanzania, amesema Tanzania Tuna Uhuru Mkubwa wa Habari na Uhuru mkubwa wa Kujieleza, ila pia amefafanua usajili wa mitandao ya...
www.jamiiforums.com