Barrick Wajibu Mapigo ya Acacia, Take It or Leave It. If You Take, You Get Something, If You Leave It, You Get Nothing!. Hawaongezi Hata Sentano!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,557
Wanabodi,

Hii ngoma ya mvutano wa bei ya Acacia kati ya baba na mtoto, inaendelea, Barrick anasema, taarifa ya Acacia, haina chochote kipya ambacho Barrick walikuwa hawajakijua, hawataongeza hata senti tano!.

Barrick continues to believe that the terms of its Proposal (as defined in the Barrick Announcement) reflect the fair value of Acacia, not taking into account any further discount which could be applied to reflect the significant risk inherent in the Acacia business and remaining uncertainties of any settlement with the Government of Tanzania. In the absence of a take-private transaction, Barrick does not consider there is any credible alternative solution which will preserve, to the extent possible, value for all stakeholders. Barrick has considered the statements made in the Acacia Announcement and has concluded that the Acacia Announcement contains no information of which Barrick was not already aware. Barrick therefore remains firmly of the view that certain assumptions made by Acacia in relation to its mine plans are not appropriately risked or supportable and that adjustments should be made

Mgogoro wa Baba na Mtoto, alianza kama ifuatavyo
  1. Rais Magufuli alisimamisha kusafirisha mchanga wa makinikia ya dhahabu baada ya kuhisi tunaibiwa.
  2. Akaunda tume mbili, zikathibisha ni kweli tunaibiwa, TRA wakapiga hesabu ya tulichoibiwa, bili ikaja tunawadai Dola bilioni 190, fedha inayotosha kumnunulia kila Mtanzania gari aina ya Noah.
  3. Baba wa Acacia, Barrick akaingilia kati, tukafanya mazungumzo, yalipofika katikati, Barrick akaahidi kutulipa kishika uchumba cha dola milioni 300, wakati tukijadiliana jinsi ya kulipa mahari kamili ya ile dola bilioni 190.
  4. Mazungumzo yalipofika mwisho, serikali yetu ikaamua kwa nia njema kabisa, kuwasamehe Acacia lile deni kubwa la bilioni 190, na badala yake, sasa tutalipwa kifuta machozi cha kile kishika uchumba cha dola milioni 300.
  5. Acacia itavunjwa na kuundwa kampuni mpya ya ubia, na Tanzania, ambapo tutamiliki hisa za asilimia 16%
  6. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, 50/50.
  7. Kabla Acacia hajapelekewa mapendekezo haya, Serikali ikaziandikia barua migodi mitatu ya Acacia kuwa haiitambui Acacia, hivyo kuokoa jahazi, Barrick akaonyesha nia ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, kwa kuwagaiya wanahisa wote wa Acacia hisa za Barrick.
  8. Acacia akagoma kununuliwa kwa bei kiduchu, hivyo Barrick wakaomba muda zaidi kabla hawajatoa bei ya mwisho, Acacia akakubali kuipa muda zaidi Barrick wapandishe dau.
  9. Barrick, akamwaga ugali hadharani kuwa wametoa dau dogo kwa sababu Acacia haina thamani kivile, na bado ni very risk.
  10. Baada ya Barrick kumwaga ugali, Acacia akakasirika, na yeye akamwaga mboga, kwa kujionyeshea ana thamani kubwa sana hivyo Barrick lazima aongeze dau.
  11. Ndipo leo Barrick kajibu mapigo kuwa hakuna kipya chochote Acacia alichokisema, hawataongeza hata senti tano.
  12. Tarehe ya mwisho kwa Barrick kutoa offer rasmi ni tarehe 9 Julai.
  13. Kesho Acacia watajibu mapigo haya.
  14. Hizi piga nikupige kati ya baba na mtoto zinaendelea.
  15. Swali ninalojiuliza huu ni ugomvi wa kweli kati ya baba na mwana, au wanajuana, kuna game fulani inataka kuchwezwa?.
Mnaweza kufuatilia kwa karibu huku
Response to Acacia’s announcement - June 26, 2019

P
 
Kabisa kabisa na wewe na u-Legend wako unaamini hizo ngonjera zinazo chezwa? Unatambua kabisa kiwa hawa wenzetu si utamaduni wao kushindana kwa vijembe na kutunishiana misuli kama CCM na CHADEMA. Unajua vyema kwamba kwao everything is well designed from the very beginning and updated accordingly kwa kuzingatia maeneo yote ya kiuchumi, cultural, kisheria, national and ideoligical interests, halafu leo unataka kutuamisha kizembe kwamba wanagombana wao kwa wao?
Hao kamaa wameamua kutu win akili kwa kutumia lugha tunayoielewa sisi, lugha ya migogoro, vurugu, vijembe nk. Wamejifungia ndani na kukubaliana vizuri halafu wakatoka nje kujifanya eti wanavutana na kugombana ili muone kweli Barrick yupo serious.
Ili kuamini kinachoendelea kuwa ni cha kweli inabidi mtu uwe na akili za Jalalani maana hao ndiyo wanaamini katika ubabe, kukaza macho na misuli ya shingo wakati wa kuongea.
Pia, inawezekana kabisa kwamba Pascal Mayalla either unatumiwa na Barrick kutuaminisha kuwa wapo wanapasuana kwa ugomvi kati yao na ACACIA kwa maslahi ya Tanzania au unatumiwa na serikali kuweka mazingira hayo.
cc Malcom Lumumba
 
Kama ni kupigwa tulisha pigwa kitambo mbona ,mbaya zaidi tumepigwa na hawa hawa tulio waamini na kuwapa Mamlaka.Kama kweli hizo Raslimali ni zetu ; Magoti tunapiga ya Kazi gani ?.Tuna choshana na kusumbuana kama yule Mdudu wa Masikioni.
 
Kabisa kabisa na wewe na u-Legend wako unaamini hizo ngonjera zinazo chezwa? Unatambua kabisa kiwa hawa wenzetu si utamaduni wao kushindana kwa vijembe na kutunishiana misuli kama CCM na CHADEMA. Unajua vyema kwamba kwao everything is well designed from the very beginning and updated accordingly kwa kuzingatia maeneo yote ya kiuchumi, cultural, kisheria, national and ideoligical interests, halafu leo unataka kutuamisha kizembe kwamba wanagombana wao kwa wao?
Hao kamaa wameamua kutu win akili kwa kutumia lugha tunayoielewa sisi, lugha ya migogoro, vurugu, vijembe nk. Wamejifungia ndani na kukubaliana vizuri halafu wakatoka nje kujifanya eti wanavutana na kugombana ili muone kweli Barrick yupo serious.
Ili kuamini kinachoendelea kuwa ni cha kweli inabidi mtu uwe na akili za Jalalani maana hao ndiyo wanaamini katika ubabe, kukaza macho na misuli ya shingo wakati wa kuongea.
Pia, inawezekana kabisa kwamba Pascal Mayalla either unatumiwa na Barrick kutuaminisha kuwa wapo wanapasuana kwa ugomvi kati yao na ACACIA kwa maslahi ya Tanzania au unatumiwa na serikali kuweka mazingira hayo.
cc Malcom Lumumba
Mbona release zao wanatoa kwenye website zao, hata wewe kama unazoshida unaweza subscribe ukawa unazipokea
 
A lot of folks wanted it to go other way round but the truth of the matter is that Acacia has no or very little options to pull a maneuver out of this tight situation.

It is certainly over for Acacia, it's time we start a new chapter with Barrick in a new win-win format.

God Bless GoT.
Hawa wasomi wetu wengi wa kibongo wengi wanatakiwa wakasome tena. Hawaelewi dunia ya ubepari inavyoendeshwa.
 
Hii hadithi inaweza kufanana na ile hadithi ya ugomvi wa gorilla/nyani porini huku swala wakishangaa na simba kuwatafuna.
We need to make a deadline and not depending other business negotiations.
Cha msingi ni kuchukua hatua,isije ikawa ni mbinu za kuanzisha majadiliano ambayo yanaweza ama kutudhoofisha au kukubali kile tulichokikataa mwanzoni na mwisho wa siku sisi kuonekana wakwamishaji wa uwekezaji.
 
For a business venture liike ACCACIA, it’s best to test things in a small way. They can decide ahead of time, how much they can lose before they quit. If they try something that doesn't work, they can often learn from it and try again a different way. I guess I'm describing Shewhart cycle. Plan, do,check, act.
 
Kabisa kabisa na wewe na u-Legend wako unaamini hizo ngonjera zinazo chezwa? Unatambua kabisa kiwa hawa wenzetu si utamaduni wao kushindana kwa vijembe na kutunishiana misuli kama CCM na CHADEMA. Unajua vyema kwamba kwao everything is well designed from the very beginning and updated accordingly kwa kuzingatia maeneo yote ya kiuchumi, cultural, kisheria, national and ideoligical interests, halafu leo unataka kutuamisha kizembe kwamba wanagombana wao kwa wao?
Hao kamaa wameamua kutu win akili kwa kutumia lugha tunayoielewa sisi, lugha ya migogoro, vurugu, vijembe nk. Wamejifungia ndani na kukubaliana vizuri halafu wakatoka nje kujifanya eti wanavutana na kugombana ili muone kweli Barrick yupo serious.
Ili kuamini kinachoendelea kuwa ni cha kweli inabidi mtu uwe na akili za Jalalani maana hao ndiyo wanaamini katika ubabe, kukaza macho na misuli ya shingo wakati wa kuongea.
Pia, inawezekana kabisa kwamba Pascal Mayalla either unatumiwa na Barrick kutuaminisha kuwa wapo wanapasuana kwa ugomvi kati yao na ACACIA kwa maslahi ya Tanzania au unatumiwa na serikali kuweka mazingira hayo.
cc Malcom Lumumba
Ungelikuwa unasoma hayo majibizano yao kuhusu value ya shirika ungeona hakuna vijembe bali kila mtu anamwaga data tupu za thamani ya migodi na muda wake wa kuchimba uliobaki. Wanapishana kwenye makadirio na vipimo vya kufanyia tathmini ni maswala sensitive ya kibiashara ni kama kutoa Siri za ndani ambazo ata sisi raia tunaweza jifunza.

Na ikishindikana kununuliwa kwa ACCACIA the next move is arbitration kuishitaki serikari ya Tanzania swala ambalo linaweza pelekea na migodi yenyewe wanaweza kuikosa kabisa na hapo ndio woga wa Barrick ulipo wao ndio wanufaika na faida za biashara as ACCACIA main shareholders sio management inayoleta ubishi ambao ni waajiriwa tu huku ikidai inatetea maslahi ya wanahisa wachache kutokana na mamlaka waliyopewa kwenye kuendesha shirika.
 
Wanabodi,

Hii ngoma ya mvutano wa bei ya Acacia kati ya baba na mtoto, inaendelea, Barrick anasema, taarifa ya Acacia, haina chochote kipya ambacho Barrick walikuwa hawajakijua, hawataongeza hata senti tano!.

Barrick continues to believe that the terms of its Proposal (as defined in the Barrick Announcement) reflect the fair value of Acacia, not taking into account any further discount which could be applied to reflect the significant risk inherent in the Acacia business and remaining uncertainties of any settlement with the Government of Tanzania. In the absence of a take-private transaction, Barrick does not consider there is any credible alternative solution which will preserve, to the extent possible, value for all stakeholders. Barrick has considered the statements made in the Acacia Announcement and has concluded that the Acacia Announcement contains no information of which Barrick was not already aware. Barrick therefore remains firmly of the view that certain assumptions made by Acacia in relation to its mine plans are not appropriately risked or supportable and that adjustments should be made

Mgogoro wa Baba na Mtoto, alianza kama ifuatavyo
  1. Rais Magufuli alisimamisha kusafirisha mchanga wa makinikia ya dhahabu baada ya kuhisi tunaibiwa.
  2. Akaunda tume mbili, zikathibisha ni kweli tunaibiwa, TRA wakapiga hesabu ya tulichoibiwa, bili ikaja tunawadai Dola bilioni 190, fedha inayotosha kumnunulia kila Mtanzania gari aina ya Noah.
  3. Baba wa Acacia, Barrick akaingilia kati, tukafanya mazungumzo, yalipofika katikati, Barrick akaahidi kutulipa kishika uchumba cha dola milioni 300, wakati tukijadiliana jinsi ya kulipa mahari kamili ya ile dola bilioni 190.
  4. Mazungumzo yalipofika mwisho, serikali yetu ikaamua kwa nia njema kabisa, kuwasamehe Acacia lile deni kubwa la bilioni 190, na badala yake, sasa tutalipwa kifuta machozi cha kile kishika uchumba cha dola milioni 300.
  5. Acacia itavunjwa na kuundwa kampuni mpya ya ubia, na Tanzania, ambapo tutamiliki hisa za asilimia 16%
  6. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, 50/50.
  7. Kabla Acacia hajapelekewa mapendekezo haya, Serikali ikaziandikia barua migodi mitatu ya Acacia kuwa haiitambui Acacia, hivyo kuokoa jahazi, Barrick akaonyesha nia ya kuinunua Acacia kwa fedha kiduchu, kwa kuwagaiya wanahisa wote wa Acacia hisa za Barrick.
  8. Acacia akagoma kununuliwa kwa bei kiduchu, hivyo Barrick wakaomba muda zaidi kabla hawajatoa bei ya mwisho, Acacia akakubali kuipa muda zaidi Barrick wapandishe dau.
  9. Barrick, akamwaga ugali hadharani kuwa wametoa dau dogo kwa sababu Acacia haina thamani kivile, na bado ni very risk.
  10. Baada ya Barrick kumwaga ugali, Acacia akakasirika, na yeye akamwaga mboga, kwa kujionyeshea ana thamani kubwa sana hivyo Barrick lazima aongeze dau.
  11. Ndipo leo Barrick kajibu mapigo kuwa hakuna kipya chochote Acacia alichokisema, hawataongeza hata senti tano.
  12. Tarehe ya mwisho kwa Barrick kutoa offer rasmi ni tarehe 9 Julai.
  13. Kesho Acacia watajibu mapigo haya.
  14. Hizi piga nikupige kati ya baba na mtoto zinaendelea.
  15. Swali ninalojiuliza huu ni ugomvi wa kweli kati ya baba na mwana, au wanajuana, kuna game fulani inataka kuchwezwa?.
Mnaweza kufuatilia kwa karibu huku
Response to Acacia’s announcement - June 26, 2019

P
Barrick stands firm, saying Acacia's mine plans need changes

06/26/2019 | 10:57am EDT

FILE PHOTO: Dump trucks operate at Barrick Gold Corp's Veladero gold mine in Argentina's San Juan province

(Reuters) - Barrick Gold Corp on Wednesday stuck to its offer to buy out Acacia Mining, saying assumptions made by the smaller firm about its mine plans were out of touch and changes were indeed needed.

Acacia said majority shareholder Barrick's proposal undervalued its mine plans and appears to have ignored the value of its exploration and development assets.
Barrick, the world's second largest gold miner, had valued Acacia's assets at $1.3 billion in its 2018 annual report but said last week that following a review it concluded some of Acacia's assumptions about its assets were not supportable.
Barrick fired back on Wednesday that Acacia had not raised any points that it was not already aware of.
Barrick's proposal to take full control of Acacia to resolve a long-standing tax dispute with Tanzania has drawn the ire of Acacia's minority shareholders, who may have the ultimate vote on a deal.
Barrick spun off Acacia in 2010, but maintains a 63.9% stake. Its proposal last month followed two years of wrangling over a $190 billion Tanzanian tax bill, which has since been reduced to $300 million.
Acacia disagreed with Barrick's valuation and said a fair value buyout offer from Barrick would be attractive. Barrick said on Wednesday its proposed offer reflects the fair value of Acacia.
Acacia has said its life of mine plans have been formulated in line with "industry standard methodology", adding that it hosted Barrick representatives for site visits during the first quarter of 2019 and gave Barrick its draft life of mine plans.

(Reporting by Noor Zainab Hussain in Bengaluru; Editing by Anil D'Silva and Bernard Orr)
 
Solution ya maana ni Tz ifike mahali iweze kuendesha hii migodi yenyewe - moja kwa moja au kupitia wawekezaji wa ndani. Kinyume na hapo bado nchi inapoteza. Kumiliki hisa only 16% halafu unangojea kampuni ije ipate faida ndo uje upate hiyo 50% ya profit bado ni changa la macho.

Kampuni isipopata faida muda mrefu (kumbuka they control the markets as well), siku wakiamua wanafunga tunaambulia hiyo 16% of the shares, tena baada ya madeni mengine kulipwa.
 
Kwenye hiyo link wameandika kiswahili na kuelewesha kama hii thread yako? nsije nka click nikaenda kutana na marue rue..Lugha za watu hizi.
 
Back
Top Bottom