Barrick considering pulling out

Hawana lolote... Huo mradi mpya wa Kahama ni upi tena jamani mbona tunazidi kufungwa magoli?..
 
At this stage Barrick is still not in a position to pay corporate tax on profits because the capital investment has not been paid back."

Hii ndio lugha wanayotaka kuitumia wanafikira sisi wajinga sana hatujaenda shule..Kwanza barricks ni shirika kubwa la dhabau duniani lakini jaribu kuangalia ni sehemu ngapi na zipi wamewekesha!..Hapa Afrika nje ya Tanzania wana chimbo moja tu huko South!
Kifupi wana sehemu chache lakini zinalipa kishenzi!
 
ukisoma comment watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu madini na sasa wanawatetea wazungu
 
Back
Top Bottom