Baridi ya Dar kama Makambako. Tuambie hali ya hapo ulipo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha baridi iendelee Dar na sisi tufaidi ndoa zetu hasa tulio oa wanawake wanene. Jamani mwezi wa 12 ilikua ni kero. Nguvu tulimalizia motel kwenye ac. Mtu ukirudi nyumbani ni kama kipepeo

πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Aisee, sio baridi ni upepo mkali...
Ukisema hii ni baridi sie tuliozaliwa kwenye Uporoto tuseme kuna nini.???
juzi nimeenda pub moja inaitwa 5n pale kimara temboni, nilipigwa na upepo kiasi kwamba visichana viwili na safari 3 hazikunipa stimu..
Weekend uje tena tule bata pamoja
 
Back
Top Bottom