Barick wameufyata; Hakuna press ya gawio la hisa, report ya fedha, soko la mitaji au maongezi na Tanzania

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Sisi tuliopo nje ya nchi tulitegemea Tanzania itadondoshwa kama ubua sakata la makinikia kwa jinsi tulivyokuwa tukipata taarifa hapa London. Tukiamini wasomo wetu wataangushwa. Tunasahngaa mpaka leo majigambo ya viongozi wa Accacia hawaitishi press apa London, kutupa mrejesho wa Biashara, Gawio na Maongezi yanaendeleaje? Siku zinaenda.

Website za Barrick, Acacia hakuna taarifa yoyote, email atupati update. Ofisi zao hapa hakuna taarifa zozote.

Vipi huko home mmewabana nini? Tunaomba mrejesho tuanzae sherehe.
 
BARRICK : WAMEUFYTA; HAKUNA PRESS YA GAWIO LA HISA, REPORT YA FEDHA , SOKO LA MITAJI AU MAONGEZI NA TANZANIA, KUNANI HUKO , TUJEZENI

Sisi tuliopo nje ya nchi tulitegemea Tanzania itadondoshwa kama ubua sakata la makinikia kwa jinsi tulivyokuwa tukipata taarifa hapa london;
Tukiamini wasomo wetu wataangushwa ; Tunasahngaa mpaka leo majigambo ya viongozi wa Accacia hawaitishi press apa London ; Kutupa mrejesho wa Biashara, Gawio na Maongezi yanaendeleaje? Siku zinaenda.

website za Barrick , Acacia hakuna taarifa yoyote, email atupati update ; Ofisi zao hapa hakuna taarifa zozote ;

Sasa wewe kama hauna mrejesho na umeanzisha uzi unataka sisi tuutoe wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sote tunataka neema kwa nchi yetu ila ni busara kukaa kimya kwa sasa. Pande zote mbili zipo kimya wakati mazungumzo yakiendelea. Maana hata watawala wetu ni hodari mno wa kuvuna ujiko wa kisiasa kwenye kila jambo!
 
BARRICK : WAMEUFYTA; HAKUNA PRESS YA GAWIO LA HISA, REPORT YA FEDHA , SOKO LA MITAJI AU MAONGEZI NA TANZANIA, KUNANI HUKO , TUJEZENI

Sisi tuliopo nje ya nchi tulitegemea Tanzania itadondoshwa kama ubua sakata la makinikia kwa jinsi tulivyokuwa tukipata taarifa hapa london;
Tukiamini wasomo wetu wataangushwa ; Tunasahngaa mpaka leo majigambo ya viongozi wa Accacia hawaitishi press apa London ; Kutupa mrejesho wa Biashara, Gawio na Maongezi yanaendeleaje? Siku zinaenda.

website za Barrick , Acacia hakuna taarifa yoyote, email atupati update ; Ofisi zao hapa hakuna taarifa zozote ;

Vipi huko home mmewabana nini? Tunaomba mrejesho tuanzae sherehe.
uvifisiemu uko mlalakua eti London.......hahahahahaha wazee wamitandaoni
 
Rudini mapema huku kuna Noah za kumwaga. kama utashindwa kuja mwambie Makonge akuwekee.
BARRICK : WAMEUFYTA; HAKUNA PRESS YA GAWIO LA HISA, REPORT YA FEDHA , SOKO LA MITAJI AU MAONGEZI NA TANZANIA, KUNANI HUKO , TUJEZENI

Sisi tuliopo nje ya nchi tulitegemea Tanzania itadondoshwa kama ubua sakata la makinikia kwa jinsi tulivyokuwa tukipata taarifa hapa london;
Tukiamini wasomo wetu wataangushwa ; Tunasahngaa mpaka leo majigambo ya viongozi wa Accacia hawaitishi press apa London ; Kutupa mrejesho wa Biashara, Gawio na Maongezi yanaendeleaje? Siku zinaenda.

website za Barrick , Acacia hakuna taarifa yoyote, email atupati update ; Ofisi zao hapa hakuna taarifa zozote ;

Vipi huko home mmewabana nini? Tunaomba mrejesho tuanzae sherehe.
 
Lumumba siku hizi panaitwa london
Umenifanya nimecheka sana..
DSC_0002.JPG
 
Hata sisi hatufahamu lolote, na hata hatujui mazungumzo yanafanyikia wapi, tusubiri tu taarifa rasmi
 
HIVI ILE VITA YA MADAWA IMEISHA???
Haijaisha mkuu. Ingekuwa imeisha Mange Kimambi angekuwa kisharudi walikomtuma akapambane na Bashite externally.
Ila madawa awamu hii ya MAGUFULI yamepungua sana! mateja wengi wanaseek treatment.
Bila shaka wanaomba usiku na mchana JPM aondoke madarakani watuwekee mtu wao ikulu biashara irudi.
 
Back
Top Bottom