Elections 2010 Bariadi, Kahama, Maswa, Musoma Mjini, Ubungo Tayari CHADEMA

Mbona kuna thread nyingine inasema Chenge ameshinda Bariadi, au kuna Bariadi mbili????

Data (vituo/kata vilikuwa vingapi, kila chama kimepata kura ngapi? n.k) ni muhimu badala ya kutaja tu ushindi

bariadi zipo mbili mashariki na mgharibi, moja ya cheyo na nyingine fisadi chenge
 
Yote ni mapyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Safi sanaaa Maswa kwani nimejionea mwenyewe hali ya maisha ya Maswa kwani kweli kabisa kule wanahitaji uongozi mpya kwani maisha ni magumu,elimu ni mbovu na barabara ndio usiseme ni 52km toka kwenye barabara kuu ya lami itokayo mwanza -shy,unatumia masaa kama 6 hadi 7 kumaliza 52km.hureeeeeeeeeeeee maswaaaa
 
Democracy at work. This is incredible. Chadema has effectively swept CCM in almost all urban areas, except Dar. So far Upinzani has 20 confirmed MP elects. Ukichanganya na Zanzibar, bunge lijalo la Jamhuri litakuwa na about 80 Upinzani MPs. That is without viti maalumu. I believe finally we are making democracy work for us, the people. This will make the rest of African country envy us. We have a very matured democracy.

Folks are projecting upper 60s% victory for Jakaya. Lets pay attention to the margin of victory kwanza. Early results (through this website) are from Chadema stronghold and the margin of victory is narrow for Slaa. But in strong CCM countryies, JK obliterated Slaa. With that said, nobody knows until wakitangaza.

We can all agree, hakuna uchakachuaji wa kura. Hebu tuweni na ukomavu wa kisiasa.
 
Asante sana, tafadhali fuatilia ili upate numbers na utumwagie; we need to add up these numbers ili NEC watakapokuwa wanasoma za kwao tuweze kulinganisha kwa ulaini.
Inavyoelekea upepo umebadilika, mgombea wa NCCR Mageuzi anaelekea kushinda!
 
leo JF ni habari tamu tamu kama Peremende :violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::phone:very good

naam ulinzi wa kura umesaidia sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Bariadi Magharibi CCM will hold it's seat......it's Chenge's stronghold and I don't see it going to the opposition
 
jamani zanziba panatisha, pale bwawani hapatoshi . SAWA SAWA!
 
Mbona kuna thread nyingine inasema Chenge ameshinda Bariadi, au kuna Bariadi mbili????

Data (vituo/kata vilikuwa vingapi, kila chama kimepata kura ngapi? n.k) ni muhimu badala ya kutaja tu ushindi

Bariadi ya CHEYO na ingine ya CHENGE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom