Elections 2010 Bariadi, Kahama, Maswa, Musoma Mjini, Ubungo Tayari CHADEMA

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,250
Habari zilizothibitishwa mpaka sasa hayo majimbo tayari CCM chali...
 
Mengine ni Iringa Mjini, Rombo (kwa fisadi mramba), Nyamagana, Kasulu, Karatu, Shinyanga mjini. Yote CHADEMA imechukua
 
Yamethibitiswa hayo, hayana ubishi tena. Kwenye majimbo kazi imeisha. Nimesikiliza kwa masikio yangu few minutes ago
 
wadau bariadi kuna CHEYO jamani mzee wa mapesa maana huko wanampenda kama nini, nimewahi kufanya kazi huko yuko nzuri sana cheyo, kwa urais wanaweza kumpa Dr Slaa...CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Mbona kuna thread nyingine inasema Chenge ameshinda Bariadi, au kuna Bariadi mbili????

Data (vituo/kata vilikuwa vingapi, kila chama kimepata kura ngapi? n.k) ni muhimu badala ya kutaja tu ushindi
 
Mengine ni Iringa Mjini, Rombo (kwa fisadi mramba), Nyamagana, Kasulu, Karatu, Shinyanga mjini. Yote CHADEMA imechukua
Jingine ambalo sijathibitisha lakini habari zilizopo ni kuwa Komredi Ntagazwa na Dk Slaa wametoa kipigo cha mbwa mwizi kwa JK kibondo.
 
Jingine ambalo sijathibitisha lakini habari zilizopo ni kuwa Komredi Ntagazwa na Dk Slaa wametoa kipigo cha mbwa mwizi kwa JK kibondo.
Asante sana, tafadhali fuatilia ili upate numbers na utumwagie; we need to add up these numbers ili NEC watakapokuwa wanasoma za kwao tuweze kulinganisha kwa ulaini.
 
Ha ha ha ha ha will live to remember this ngoja niendelee kufungua champagne
 
Sasa bunge litakuwa na wabunge wa kutosha wa chdema, sipati picha mjengoni patakuwa hapatoshi
 
leo JF ni habari tamu tamu kama Peremende :violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::phone:very good
 
Back
Top Bottom