Elections 2010 Baregu na Chadema msikurupuke

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.

Kama mtakuwa careful enough kuna mchezo mchafu unaotaka kufanywa au unafanywa na NEC na CCM 'result delaying tricks' hapa sizungumzii uchakachuaji.

NEC na CCM wanachelewesha kwa makusudi matokeo ya ubunge sehemu wanazojua Chadema na upizani umefanya vizuri ili wafuasi wao wafanye fujo, mtego ambao Chadema imejitahidi kuutegua.

Baada ya kujua umerukwa kwenye ubunge sasa wameugeuzia kwenye matokeo ya urais wanataka aidha wewe Baregu useme kitu au hasa hasa wame-target Slaa aseme kitu waanze kumshambulia yeye na Chadema kwa ujumla.

Kwa hiyo basi nawaomba endeleeni kukusanya data, matokeo toka kwa mawakala wenu mfanye tallies zenu baadaye mje kulinganisha na matokeo ya NEC, mkiwa na uhakika wa upungufu fulani na evidence ndipo muitishe press conference mkiwa na documents mkononi na kuzigawa kwa waandishi na kwa external observers.

Mkifanya hivyo mtakuwa mme-win sehemu kubwa sana, vinginevyo mkitoka na kuanza kulalamika bila evidence CCM na NEC watapata sababu ya kusema kuwa hizo ni kelele za mshindwa.
 
Wamewasakama kweli but inabidi waelewe kuwa Slaa na Baregu ni wasomi wenye akili sana na busara wala si watu wa kukurupuka. Kuna jamaa anasema eti Slaa atoe tamko me nkamuuliza tamko la nini wala hakuwa najibu. Ndo busara za wakubwa wetu wa chadema, safi sana!
 
hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.

Kama mtakuwa careful enough kuna mchezo mchafu unaotaka kufanywa au unafanywa na nec na ccm 'results delaying tricks' hapa sizungumzii uchakachuaji.

Nec na ccm wanachelewesha kwa makusudi matokeo ya ubunge sehemu wanazojua chadema na upizani umefanya vizuri ili wafuasi wao wafanye fujo, mtego ambao chadema imejitahidi kuutegua.

Baada ya kujua umerukwa kwenye ubunge sasa wameugeuzia kwenye matokeo ya urais wanataka aidha wewe baregu useme kitu au hasa hasa wame-target slaa aseme kitu waanze kumshambulia yeye na chadema kwa ujumla.

Kwa hiyo basi nawaomba endeleeni kukusanya data, matokeo toka kwa mawakala wenu mfanye tallies zenu baadaye mje kulinganisha na matokeo ya nec, mkiwa na uhakika wa upungufu fulani na evidence ndipo muitishe press conference mkiwa na documents mkononi na kuzigawa kwa waandishi na kwa external observers.

Mkifanya hivyo mtakuwa mme-win sehemu kubwa sana, vinginevyo mkitoka na kuanza kulalamika bila evidence ccm na nec watapata sababu ya kusema kuwa hizo ni kelele za mshindwa.

big up well said
 
Slaa(PhD) katutuliza mzuka kwenye facebook page yake manake wengine kuvumilia kulikuwa kunakaribia kikomo.
 
Hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.

Kama mtakuwa careful enough kuna mchezo mchafu unaotaka kufanywa au unafanywa na NEC na CCM 'result delaying tricks' hapa sizungumzii uchakachuaji.

NEC na CCM wanachelewesha kwa makusudi matokeo ya ubunge sehemu wanazojua Chadema na upizani umefanya vizuri ili wafuasi wao wafanye fujo, mtego ambao Chadema imejitahidi kuutegua.

Baada ya kujua umerukwa kwenye ubunge sasa wameugeuzia kwenye matokeo ya urais wanataka aidha wewe Baregu useme kitu au hasa hasa wame-target Slaa aseme kitu waanze kumshambulia yeye na Chadema kwa ujumla.

Kwa hiyo basi nawaomba endeleeni kukusanya data, matokeo toka kwa mawakala wenu mfanye tallies zenu baadaye mje kulinganisha na matokeo ya NEC, mkiwa na uhakika wa upungufu fulani na evidence ndipo muitishe press conference mkiwa na documents mkononi na kuzigawa kwa waandishi na kwa external observers.

Mkifanya hivyo mtakuwa mme-win sehemu kubwa sana, vinginevyo mkitoka na kuanza kulalamika bila evidence CCM na NEC watapata sababu ya kusema kuwa hizo ni kelele za mshindwa.

Yaani naomba mungu wawe wanafanya ulichoandika humu
 
so far chadema wamekuwa strategic na tunategemea tamko lisilokuwa blah blah. Target lazima kiwe chama kinachoaminika kwa maneno na matendo
 
Slaa = PhD...
Baregu = Profesa
Dr Mkwere, Dr Remmy, Dr Licky, Dr Kifimbo, Dr Cheni, Dr Manyaunyau....................
 
Tunachosubiri ni kuwaumbua hao mafisadi,yule mtu aliyekamatwa Maswa amepewa karatasi tatu tatu za kupigia kura ie 3 za udiwani,3 za ubunge na 3 za urais.
My take:Ni vituo vingi sana kwa nchi nzima watu wamepiga kwa style hiyo.Na huo ndo uchakachuaji tunaousema!!!!
 
Chadema wanaweza kuomba kopi ya hukumu ile ya kura tatu tatu ikawa kama evidence moja wapo, ni wangapi wamefanya hivyo bila kukamatwa hiyo ni sababu tosha ya kuyakataa matokeo hata yote, coz we have nothing to lose. Kwa sababu ile ilikuwa si plan ya mtu mmoja ukifuatilia ni msururu wa wengi kwanza aliyempa fomu tatu naye alivunja sheria aliyoapa.

Alternative watangaze kuisusia NEC na matokeo yao.
 
Mkuu LUTENI, umeongea vema, naunga mkono mawazo yako. DR. SLAA tuko pamoja nawe; Mungu mwenyezi akiwa shahidi.
 
nimekubali na naimani kwamba hawata kurupuka kama tunavo waona wakiwa kimya hadi sasa
 
Kuna Prof. Maji marefu aliyeshinda Ubunge jimbo la Korogwe vijijini. Kikwete alimnadi kuwa ni Prof.safi watu wamchague.
CV yake:
  1. Darasa la 7.
  2. Mganga wa kienyeji.
Hakika CCM ina majuha watupu. Sijui kwanini Watanzania wengi hawalioni hili na wanaendelea kuchagua mijitu ambayo haijaenda hata shule.
Kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom