Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 301
Hadi sasa nawasifu kwa kuwa waangalifu kutoa matamko juu ya mwenendo mzima wa uchaguzi, najua hadi sasa mambo yanakwenda kama mlivyopanga na naomba muendelee kutuliza akili.
Kama mtakuwa careful enough kuna mchezo mchafu unaotaka kufanywa au unafanywa na NEC na CCM 'result delaying tricks' hapa sizungumzii uchakachuaji.
NEC na CCM wanachelewesha kwa makusudi matokeo ya ubunge sehemu wanazojua Chadema na upizani umefanya vizuri ili wafuasi wao wafanye fujo, mtego ambao Chadema imejitahidi kuutegua.
Baada ya kujua umerukwa kwenye ubunge sasa wameugeuzia kwenye matokeo ya urais wanataka aidha wewe Baregu useme kitu au hasa hasa wame-target Slaa aseme kitu waanze kumshambulia yeye na Chadema kwa ujumla.
Kwa hiyo basi nawaomba endeleeni kukusanya data, matokeo toka kwa mawakala wenu mfanye tallies zenu baadaye mje kulinganisha na matokeo ya NEC, mkiwa na uhakika wa upungufu fulani na evidence ndipo muitishe press conference mkiwa na documents mkononi na kuzigawa kwa waandishi na kwa external observers.
Mkifanya hivyo mtakuwa mme-win sehemu kubwa sana, vinginevyo mkitoka na kuanza kulalamika bila evidence CCM na NEC watapata sababu ya kusema kuwa hizo ni kelele za mshindwa.