kiravu hana kosa kusema hajui kwanini idadi ya wapiga kura haizidi elfu 8, maana wamezoea kujibu hawajui, wakati ni wao waliosema idadi 19.6 milioni.
Si mnakumbuka hata kikwete aliulizwa kuwa kwanini nchi yake ni maskini akajibu hata yeye hajui kwa nini watu wake ni maskini. (namnukuu kama alivyoulizwa). q. Mr. President, why your country is so poor while it have so many resources? Ans. I actualy don't know why my country is so poor.
NEC ya kiravu na Lewis hawakosi ya kujibu.
Kiravu aliulizwa leo ilo akasema ata yeye hajui labda wafanye utafiti
---------------------Kiravu hana kosa kusema hajui kwanini idadi ya wapiga kura haizidi elfu 8, maana wamezoea kujibu hawajui, wakati ni wao waliosema idadi 19.6 milioni.
Si mnakumbuka hata Kikwete aliulizwa kuwa kwanini nchi yake ni maskini akajibu hata yeye hajui kwa nini watu wake ni maskini. (namnukuu kama alivyoulizwa). Q. Mr. President, why your country is so poor while it have so many resources? Ans. I actualy don't know why my country is so poor.
Kiravu anasema anaomba aelezwe jinsi wizi wa kura unavyofanyika.
Kwanza ni ile njia ya anayoifanya kwa kuwapa sisi m masanduku ya kupigia kura ya ziada. Na hili atakanusha?
NEC ya kiravu na Lewis hawakosi ya kujibu.
Kiravu aliulizwa leo ilo akasema ata yeye hajui labda wafanye utafiti
Re: Baregu aliwaambia Tanzania haina wapigakura 19,600,000 wakabisha.
Hivi mnajua vijana wengi ni wa kupiga debe tu na makelele, lakini hata vitambulisho vya kupigia kura hawana. Mimi nashauri uchaguzi kwanini usiwekwe weekdays maana to be honest mimi hata kura sikupiga nilikua bwii usiku wa jumamosi. Vijana wengi hizi "Issue" za siasa wanazisikilizia hizi katika "Social Media", vijiweni lakini hawajui lolote! Halafu na "Lifestyle" yetu, unajiandikisha kura Jan. Tandale kisha Oct.-Nov. inakukuta uko Madongokuinama. Ngumu sana kuafikia malengo. Ukiwauliza vijana wengi "Trust Me" karibu nusu hawajapiga kura na ni "Ma-graduate" na wengine tayari wana-"practise professional" zao. Wana usafiri na kila mazingira ya kupiga kura lakini hawafanyi hivyo. Wengine wanasema ukipiga kura au usipopiga kura watakaopita ni walewale tu. "No Change". Hawajui kuwa "Change italetwa na kura Moja yako, na moja ya Mwingine na moja ya Yule. Vijana na Wasomi wanatakiwa kuijua siasa ya nchi hii ndio Wasomi wanaacha taaluma wanakimbilia kwenye Majukwaa. Maana siasa ni maisha ya ajabu kabisa Longolongo nyingi. Ila kwa vile imeandikwa kuwa katika Jamii lazima kuwe na uongozi.
vijana wengi wamepiga kura this time round
mfano ubungo na kawe ni vijana ndio wamewapa chadema ushindi...
jumapili ukiwa bar mbezi kama kidole chako hakina rangi kila mtu anakushangaa
NEC ya kiravu na Lewis hawakosi ya kujibu.
Kiravu aliulizwa leo ilo akasema ata yeye hajui labda wafanye utafiti