Elections 2010 Baregu aliwaambia Tanzania haina wapigakura 19,600,000 wakabisha.

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Nasikia waliopiga kura mwaka huu ni kama 7,500,000 kati ya 19,600,000 waliotarajiwa ambao ni sawa na 38%.

NEC watatuambia nini, tutaliaminije hilo Daftari lao kama ni sahihi?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
NEC ya kiravu na Lewis hawakosi ya kujibu.
Kiravu aliulizwa leo ilo akasema ata yeye hajui labda wafanye utafiti
 
Na hawako tayari kujibu swali kama hilo, tatizo la nchi yetu na viongozi ni shule na utayari!
 
Kiravu hana kosa kusema hajui kwanini idadi ya wapiga kura haizidi elfu 8, maana wamezoea kujibu hawajui, wakati ni wao waliosema idadi 19.6 milioni.

Si mnakumbuka hata Kikwete aliulizwa kuwa kwanini nchi yake ni maskini akajibu hata yeye hajui kwa nini watu wake ni maskini. (namnukuu kama alivyoulizwa). Q. Mr. President, why your country is so poor while it have so many resources? Ans. I actualy don't know why my country is so poor.
 
kiravu hana kosa kusema hajui kwanini idadi ya wapiga kura haizidi elfu 8, maana wamezoea kujibu hawajui, wakati ni wao waliosema idadi 19.6 milioni.

Si mnakumbuka hata kikwete aliulizwa kuwa kwanini nchi yake ni maskini akajibu hata yeye hajui kwa nini watu wake ni maskini. (namnukuu kama alivyoulizwa). q. Mr. President, why your country is so poor while it have so many resources? Ans. I actualy don't know why my country is so poor.

haika
 
hiyo haiwezekani kabisa sis wenyewe tumeona mwamko wa wapiga kura,wengi wao wakiwa vijana ambao hata hivyo ni % kubwa sana...sasa nec wanatuletea nyimbo nyingi hapa hatuwaelewi sisi....waliweka namba kunbwa ili waibe sema wameshindwa kuiba kutokana na mtindo wa kuhesabia kituoni
 
NEC ya kiravu na Lewis hawakosi ya kujibu.
Kiravu aliulizwa leo ilo akasema ata yeye hajui labda wafanye utafiti

----------

Mpaka wakapate ushauri kwa Al Shahaf na Ma-kambakoooo....ndio waje waite tena waandishi kuwajibu...teh teh...nchi hii utawala ni BIG ZERO, imekwisha..
 
Kiravu hana kosa kusema hajui kwanini idadi ya wapiga kura haizidi elfu 8, maana wamezoea kujibu hawajui, wakati ni wao waliosema idadi 19.6 milioni.

Si mnakumbuka hata Kikwete aliulizwa kuwa kwanini nchi yake ni maskini akajibu hata yeye hajui kwa nini watu wake ni maskini. (namnukuu kama alivyoulizwa). Q. Mr. President, why your country is so poor while it have so many resources? Ans. I actualy don't know why my country is so poor.
---------------------

Hii kwao ni ngonjera, walishaiimba wanasubiria watanzania wacheze, si wanajua watu wamesahau au vichwa vya watanzania ni mabungo?

Sasa mjue ole wenu, watanzania wana maakili...wapo makini, wamepata dira sahihi..kwa chama makini...'NO KUDANGANYIKA' tena kamwe!
 
Kiravu anasema anaomba aelezwe jinsi wizi wa kura unavyofanyika.
Kwanza ni ile njia ya anayoifanya kwa kuwapa sisi m masanduku ya kupigia kura ya ziada. Na hili atakanusha?
 
Kiravu anasema anaomba aelezwe jinsi wizi wa kura unavyofanyika.
Kwanza ni ile njia ya anayoifanya kwa kuwapa sisi m masanduku ya kupigia kura ya ziada. Na hili atakanusha?

Atuambie yeye mwenyewe alivyoliwezesha hilo, hata watendaji wa chini walilalamika kuwa kuiba kwao 'order inatoka juu' - bila wasiwasi ni kwake! Hajui kuiba?? Teh tteh..teh....! Watanzania ni chekechea...! thubutu!
Anajichakachua mwenyewe, na jamii ilishamchuja tayari...hana kauli tena...
 
hivi mnjua vijana wengi ni wa kupiga debe tu na makelele lakini hata vitambulisho vya kupigia kura hawana na mimi nashauri uchaguzi kwanini usiwekwe weekdays maana to be honest mimi hata kura sikupiga nilikua bwii usiku wa jumamosi.vijana wengi hizi issu za siasa wanazisikilizia hzi ktk social medias na vijiweni lakini hawajui lolote!halafu na lifestyle yetu unajuiandikisha kura jan tandale nov inakukuta uko mbagala ngumu sana.nimewauliza vijana wengi trust me karibu nusu naowajua hawajapiga kura na ni magraduate na wengine tayari wana practise professional zao,wana usafiri na kila mazingira ya kupiga kura.vijana wanatakiwa kuijua siasa ya nchi yao inaendaje mimi nimekua tu shabiki baada ya kuingia humu lakini siasa si maisha yangu kabisa longolongo nyongi si chadema.cuf wala ccm.
 
NEC waliweka majina hewa au waliandikisha na watoto yaani under 18.

I Population projected by 2010 based on 2002 Census (without AIDS deaths projection)

Age distribution

0 – 4 (8,095,349), 7 – 13 (7,149,654), 18+ (21,688,669), Total (36,933,672)
Source: Tanzania National Projections Vol. VIII, Table 4.1, NBS 2006

II Population Total by 2009 is 43,739,051 (source: World Bank, 2009
http://data.worldbank.org/country/tanzania)

III Population projected by 2010 - CIA (without AIDS deaths projection)

Source: CIA – The World Factbook, 2010 https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html
 
Re: Baregu aliwaambia Tanzania haina wapigakura 19,600,000 wakabisha.
Hivi mnajua vijana wengi ni wa kupiga debe tu na makelele, lakini hata vitambulisho vya kupigia kura hawana. Mimi nashauri uchaguzi kwanini usiwekwe weekdays maana to be honest mimi hata kura sikupiga nilikua bwii usiku wa jumamosi. Vijana wengi hizi "Issue" za siasa wanazisikilizia hizi katika "Social Media", vijiweni lakini hawajui lolote! Halafu na "Lifestyle" yetu, unajiandikisha kura Jan. Tandale kisha Oct.-Nov. inakukuta uko Madongokuinama. Ngumu sana kuafikia malengo. Ukiwauliza vijana wengi "Trust Me" karibu nusu hawajapiga kura na ni "Ma-graduate" na wengine tayari wana-"practise professional" zao. Wana usafiri na kila mazingira ya kupiga kura lakini hawafanyi hivyo. Wengine wanasema ukipiga kura au usipopiga kura watakaopita ni walewale tu. "No Change". Hawajui kuwa "Change italetwa na kura Moja yako, na moja ya Mwingine na moja ya Yule. Vijana na Wasomi wanatakiwa kuijua siasa ya nchi hii ndio Wasomi wanaacha taaluma wanakimbilia kwenye Majukwaa. Maana siasa ni maisha ya ajabu kabisa Longolongo nyingi. Ila kwa vile imeandikwa kuwa katika Jamii lazima kuwe na uongozi.
 
vijana wengi wamepiga kura this time round
mfano ubungo na kawe ni vijana ndio wamewapa chadema ushindi...
jumapili ukiwa bar mbezi kama kidole chako hakina rangi kila mtu anakushangaa
 
vijana wengi wamepiga kura this time round
mfano ubungo na kawe ni vijana ndio wamewapa chadema ushindi...
jumapili ukiwa bar mbezi kama kidole chako hakina rangi kila mtu anakushangaa

Arusha, Mbeya na Mwanza, waliopiga kura ni vijana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom