Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,801
- 8,786
TRA kama kawaida yao wamekuja na kimbwanga kingine wote ambao wamenunua EFD machine unatakiwa ukawekewe Barcode achana na kuwa hizi machine zina Serial number. Halafu hauwekewe bure unalipa 80,000 yaani ni wizi mpana sana huu. Sijui tunawatendaji wa aina gani?