Barclays: Nimekoma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barclays: Nimekoma!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndumbayeye, May 9, 2009.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Wakuu nilifungua akaunti mpya barclay kwa sh. 50000 januari 2009, leo naangalia salio nakuta 12000, gharama zao zikoje kwa mwenye kujua?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Pole ndugu hiyo ni benki ya matajiri, fungua NMB hamna hizo charges!
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu hujaeleza ni account gani ulifungua..kuna account za aina tatu hapo...kwa kuangalia tu ulivyo changanyikiwa..utakuwa ulifungua ile account ya makato ya 10,000 kwa mwezi..na hujaangalia leo utakuwa uliangalia mwezi ulio pita.....so ungefungua ule ya makato 3500 kwa mwezii usinge kuja na malalamiko hayo..au ulikwenda na pesa mingi pale....
   
 4. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Katika kila bank kuna account za aina mbalimbali, ni vyema kwa mtu yeyote ambaye anafungua account ajue features na charges zote za hiyo account, most of the time they will try to push you into opening a certain type of account ambayo ina maslahi zaidi kwao but its your choice, kwa uhakika zaidi ni vizuri siku ya kwanza uchukue hata bronchures au leaflets ukazisome fresh, uamue account gani inakidhi matakwa yako then urudi siku nyingine ndo ufungue hiyo account.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Yaani unaweka ela benki halafu inakatwa..!

  Tz kweli ni shamba la bibi..lol
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  ndumbayeye, ulufungua akaunti ya aina gani? kuna prestige akaunti na kuna standard akaunti. prestige wanakata 12,000/= kwa mwezi na standard wanakata 3,000/= kwa mwezi.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nashanga.......
   
 8. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Si unajua wabongo walifungua Baclays kwa sababu ya kukopa...
   
 9. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ni bora kuwa safe cabinets ndogo ndogo kwa kuhifadhi pesa otherwise it does not make sense at all. Ukikopa fedha benki riba kibao. Ukiweka fedha hasa hii BARCLAYS riba sifuri. Wezi kweli kweli na maana nzima ya kibenki inaisha. Kwa msingi huu kukomboka na umaskini ni tabu kabisa.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Taib,

  Kiukweli hamna sababu ya msingi ya benki kumkata ela mteja. Huu ni uwizi wa mchanamchana, na waTz nadhani dunia nzima waizi wanaambizana 'twendeni TZ..shamba la bibi !'. Hebu tuzingatie haya;

  1. Cash card inakula kwa mteja, ingawa wanaandika disclaimer kabisa eti kadi ni mali ya benki! Tena kadi yenyewe unazungushwa kichizi kuipata.

  2. Ukitumia ATM inakula kwa mteja!

  3. Gharama za stationary, inakula kwa mteja!

  4. Baadhi ya benki, ukituma ela hapahapa nchini ,inakula kwa mteja!

  5. Kuna baadhi ya benki, ukifungua akaunti kwenye matawi fulanifulani wanakata extra fees.

  Yaani ni tabu moja kwa moja.
   
 11. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Du! enzi za Julius ukiweka fedha nbc kila mwezi unawekewa interest, lakini sasa ukiweka akaunti ya akiba wewe ndo utawalipa benki kila mwezi mpaka kisumni kiishe!
   
 12. u

  uncle Senior Member

  #12
  May 10, 2009
  Joined: Dec 10, 2007
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tuwe na uzalendo zaidi wa kufungua akaunti katika mabenki ya kizalendo-NMB ,TPB nk
   
 13. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Ndumbayeye,
  Barclays ni benki ya matajiri. Kima cha chini cha makato kutokana na maoni ya watu wengine hapa inaonekana ni 3000/= kwa mwezi. Kutokana na utafiti wangu mdogo nimegundua kuwa benki isiyo na makato mengi kwa TZ kwa sasa hivi ni Exim. Hawakati kwa mwezi wala hawakati ukichukua pesa zako na wanakupa faida ya 2% kwa mwaka kwa akaunti ya akiba (savings akaunti) labda wawe wamebadilika hivi karibuni. NMB wao hukata 200/= kila mwezi wakati CRDB wao hukata 400/= kila mwezi na kila ukichukua pesa hukata 300/= iwe kwenye kaunta au kwenye ATM.
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Bank ya Postal makato yao yakoje? Pse anayejua anifahamishe.
   
 15. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Barclays ni international bank na wanadai huduma inayotolewa nchi zote kwenye matawi ni sawa. Hivyo basi kama wana acount zinazochargiwa Tshs.3000 watakuwa hawako fair. kwani haitalingana na charges wanazocharge nchi nyingine. Mimi nina Saving Account Barclays wanancharge [FONT=&quot]£5 kwa mwezi hivyo kama wanawachargi chini ya Tshs.10,000 basi hawatutendei haki huku kwa queen.[/FONT]
   
Loading...