Barcelona Vs Real Madrid-Another Season of Mighty Clasicos.

Ambitious

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,144
875
After a weekend of breathless Premier
League action it’s time to dust off your
Spanish phrasebooks and enjoy a little
Iberian fare.
El Clasico’s back tonight in the first leg of the Spanish Supercup – it’s Lionel Messi versus Cristiano Ronaldo, Barcelona versus Real Madrid and it should be a cracker.
Mourinho’s men began their league title defence with a home draw to Valencia,while Tito Vilanova’s reign in Barcelona began in classic Guardiola fashion – with a 5-1 destruction of Real Sociedad.
Of course, the two managers have history.The ‘Special One’ guilty of an eye gouge on a Barcelona assistant in last season’s Super Cup. That assistant was Vilanova –will he forgive and forget, or will blood boil in the dug-outs once again. Tonight’s match may have little riding on the result, but pride is everything in this battle of the world’s best players.

In anticipation of tonight’s match, lets
remember some of the best El Clasico’s of the last 10 years.
5). Barcelona 3-3 Real Madrid – March 2007 19-year-old Lionel Messi torments Real Madrid, scoring Barcelona's first El Clasico hat-trick since Romario in 1994. The diminutative Argentinian becomes a household name.
4).Real Madrid 2-6 Barcelona - May 2006 Madrid were humiliated at the Bernabeu as Frank Rijkaard’s Barcelona – including an inspired Ronaldinho and Thierry Henry–slammed six past Iker Casillas
3). Real Madrid 4-1 Barcelona – May 2008 Bernd Schuster’s Real Madrid were treated to a guard of honour by Barcelona at the Bernabeu as they’d already wrapped up the La Liga title. A sheepless Barca couldn't get out of the stadium fast enough.
2). Barcelona 1-2 Real Madrid – April 2012 After three straight La Liga titles Madrid were desperate to wrestle back the domestic crown from the Catalans. This was the decider, with Madrid in pole position, and Cristiano Ronaldo stepped up the steal the winner, sending Mourinho’s side clear at the summit.
1). Barcelona 5-0 Real Madrid – November 2010 Jose Mourinho was embarrassed in his first Nou Camp El Clasico. Madrid travelled to Barcelona as league leaders but were dismantled by Leo Messi and co in a one-side rout. In the Messi-Ronaldo battle there was
only one winner.
NOTE:Courtesy of Give Me Football(GMF)

Who do you think is going to take the glory tonight?Which team is going to be victorious?..Stay tuned..The match will take place at 2330hrs EAT.
 
Bercelona 3 madrid 1 kitu kama hicho kaka Messi kama kawaida kadumbukiza mbili peke yake wakato ronaldo kafunga la madridi dakika ya 73 sasa
 
  • Thanks
Reactions: Aza
nilikosea timing.Ila nilibahatika amka na kuitazama ingawa nikiahirish akzi zangu ila nimeridhika sana.Bado madrid watu wanaipogeza kwa kichapo,inelekea imehalalishiwa kuwa kilaza.Pamoja na kuwa na magoli ya ugenini ila wanapata sana shida ya kisaikologia wakiongozwa na Christinao Ronaldo anaweweseka mbele ya messi.
 
Tehe tehe tehe dawa ya barcelona bado aisee kupatikana,chezea hawa watu...
 
spanish football is attractive lakini timu ziko mbili tu...mpaka barca wacheze na madrid ndio kila mtu anakua excited sio kama england...english football is not as attractive as the spanish one lakini ndio zinaangaliwa zaidi fikiria hapo MAN U VS MAN CITY, MAN U VS ARSENAL ARSENAL VS CHELSEA CHELSEA VS LIVEPOOL SPURS VS ARSENAL EVERTON VS LIVERPOOL huwezi kuona hiyo kwenye ligi nyingine yoyote europe
 
christino lazima aweweseke mbele ya messi,tunajua hakika...chezea barca keep on moving buddies
 
spanish football is attractive lakini timu ziko mbili tu...mpaka barca wacheze na madrid ndio kila mtu anakua excited sio kama england...english football is not as attractive as the spanish one lakini ndio zinaangaliwa zaidi fikiria hapo MAN U VS MAN CITY, MAN U VS ARSENAL ARSENAL VS CHELSEA CHELSEA VS LIVEPOOL SPURS VS ARSENAL EVERTON VS LIVERPOOL huwezi kuona hiyo kwenye ligi nyingine yoyote europe

Mkuu hii inasabishwa na FINANCIAL power of Madrid and Barcelona...they are millions far away compared to other La liga teams mchezaji mzuri yeyote spain akitokea wanamchukua kwa pesa nyingi the outcome of that situation is INEVITABLE "boring League" na La liga ni league nyepesi kuna wachezaji wengi premier league iliwashinda wakawa Mastar La liga...Pique,kanoute,forlan,Guessepe Rossi,Julio batista...
 
Yeah ni kama vile rangers na celtic bt listen everton wana hela? Stoke je? Swansea? Bt arsenal ilivoenda swansea last season walifanyiwa nn? Barca kila wakicheza mahali unajua wanashinda.. PL hakuna guarantee timu itashinda.. Blackburn walikuja old trafford wakatupiga bao.. It is a competitive league ma ukisema mambo ya hela man u ina hela zaidi ya blackburn or everton bt hizi timu zinatusumbuaga sana over the years
 
spanish football is attractive lakini timu ziko mbili tu...mpaka barca wacheze na madrid ndio kila mtu anakua excited sio kama england...english football is not as attractive as the spanish one lakini ndio zinaangaliwa zaidi fikiria hapo MAN U VS MAN CITY, MAN U VS ARSENAL ARSENAL VS CHELSEA CHELSEA VS LIVEPOOL SPURS VS ARSENAL EVERTON VS LIVERPOOL huwezi kuona hiyo kwenye ligi nyingine yoyote europe
Wewe utakuwa ulitaka Real Madrid washinde sasa baada ya kuangukia pua unaleta siasa za kiingereza hapa! Hebu toka kwenye hilo pipa la tope ulilojifungia ueleze inakuwaje Atletico Madrid vs Real M. au Espanyol vs Barça, hujataja Sevilla, Valencia, D. La Coruna, Mallorca nk...hivi msimu uliopita Manchester utd alipewa vibao na nani yule unamkumbuka? A. Bilbao anacheza Ligi gani? Hiyo hiyo ya timu mbili?! La Liga haionwi na watu wengi tena hasa wa hiyo dunia yako kutokana na muda wa mechi zao. Hizo propaganda za kiingereza mbona hamsemi Ligi yenu bora kwa nini haitoi mchezaji bora wa Dunia mara nyingi?!
 
:biggrin1: tuliza boli babu usijaribu kugombana na keyboard.. We unataka kusema valencia vs espanyol na chelsea vs man city mechi ipi itaangaliwa zaidi? Unajua kwanini timu za spain muda wa kuonyeshwa ni tofauti ni kua wakisema wacheze mda sawa uk na spain, ujue spain hawatapata viewings.. Man utd vs liverpool iwe inaonyeshwa mda sawa na atletico vs real madrid uone ka mpira wa madrid watu wataangalia.. Acha ubishi wa kipuuzi google viewing figures kati ya english
and spanish teams uje uziweke hapa
 
Leo tena miamba ya Spain inaumana katika michuano ya Super Cup hii baada ya Real madrid kuzidiwa kete mechi awali kwa kufungwa mabao 3 kwa 2...Je,ataweza kutunisha misuli na kuwabwaga Barcelona pale Santiago Bernabeu?
Usikose kuangalia uhondo huu leo 2330hrs EAT..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom