Barcelona Vs AC Milan a.k.a Rosonelli

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,302
4,681
ama kwa hakika ni tarehe 13 ya mwezi wa 9 ktk dimba la Nou Camp ambapo kutakuwa na mechi kati ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani Ulaya yaani Barcelona watakapo pambana na mabingwa mara 7 wa kombe hilo na pia ni timu yenye mafanikio yaani makombe mengi zaidi ya kimataifa kuliko klabu yoyote hapa ulimwenguni hapa naizungumzia klabu ya Rosonelli au AC Milan yenye maskani yake barabara ya Turati mjini Milan Italia.
kocha wa Barca Giussepe Guardiola kama jina lake linavyotamkwa kwa kitaliano ameizungumzia AC Milan kuwa ni timu kubwa na yenye hadhi ya juu kabisa ktk utawala wa soka hapa ulimwenguni na ameeleza wazi kutoisahau kumbukumbu ya kipigo cha Mbwa koko cha goli 4-0 walichokipata Barcelona toka kwa AC Milan na yeye akiwa uwanjani kama mchezaji wa Barca mwaka 1994, ikumbukwe hii ilikuwa ni ktk mechi ya fainali ya kombe hilo.
''Sijawahi kupata fedheha kama ile, hakika Milan walitukamata, na wakatufanya walichotaka, hakika sikuweza kuwa na ujanja, Desaily na Albertini walinifunika ktk kiungo''...amenukuliwa Guardiola mapema leo.

Milan itaingia uwanjani ikiwategeme wachezaji wake mahiri kama sentahafu bora ulimwenguni Alesandro Nesta ambaye inaaminika hajawahi kutokea mkoba mahiri na imara kama yeye tangu alipoondoka Franco Baresi ambaye ni nahodha wa zamani wa AC Milan.
Pia Milan itawategemea viungo mahiri na wenye uzoefu mkubwa mno hapa nawazungumzia MVB yaani Mark Van Bommel, Brigadia Jenerali masimo Ambrosini na Dikteta wa kiungo Clarence Seedorf.

Pia Milan watakuwa na nguli mwenye uwezo wa kupiga mashuti na miguu yote hapa namzungumzia kevin Prince Boateng.

Pia safu ya ushambuliaji ya Buluda itakuwa na kiungo mwenye uwezo wa kupeleka pasi Mlandizi kisha akaifuata na kuichukua tena na kuipeleka Kigamboni kabla ya kupiga pasi ya mwisho itakayomkuta mfungaji.
Kiungo huyu ni Alberto Aquilani atakayekuwa anawalisha mipira Super Pato na Antonio ''MUSOLIN'' Casano.

Kwa upande wa Barca wao watakuwa na Refa, Line men wawili pamoja na kamisaa kama ilivyokawa kawaida yao.

Haya ni maneno tu, lakini mpira haupo kama stori hizo usemzo. Chukua statistics ya mechi tano za mwisho afu ndo utajua nani looser. Take care Barca ni mdudu mwingine kikosi cha sasa kinazidi uwezo hata wa the dream team

ulikuwa bado mdogo labda...
Hiyo Barca iliyobakwa 4-0 ilikuwa na watu kama Romalio, Eusebio na Hristo Stoichkov...

Achana na ushuzi huu unaouona wewe bora ila kwa wanaojuwa hii ni wazi kuwa Barca anabebwa na marefa live live...

Jiulize kwa nini Barca haikutamba kipindi Cha miaka ambayo marefa walikuwa Mzee Uls Mayer, Andrea Frings, Mr Kim Milsen na mzee Corina?

Barca si walikuwepo?
Na je mbona walikuwa uharo tu?
Kwani hawakuwa na hiyo academy?
Marefa wamekwisha sheikh na ndio maana kuna vitimu vichezaji vyao vikijiangusha hawa marefa wako ushuzi wanakurupuka kutoa kadi nyekundu tu pasipo hata kumuuliza line men.

Ukipata nafasi basi nenda kamuulize Beckham alikutana na refa gani mwaka 1998 na kisha akafanya kosa ambalo hata Haruna Moshi hawezi kulifanya...na je alipewa adhabu gani?

Marefa hao niliokutajia hawaangalii sura au sijui unachezea timu gani...

Karata yangu naitupa kwa Barca......

Barca kwa sasa sijaona wa kumzuia, sana sana labda Real Madrid au Man U.

Mashabiki wengi wa Barca ni watoto watoto walioanza kuangalia mpira DSTV

Inakaribiana na ukweli ukiongezea neno "Watanzania". Hata Chelsea wengi wao ni hao hao na sasa Man city wanafanya usajili wa mashabiki wengi wao hutoka katika team zilizo frustrated kama Asernal na Liverpool. Real Madrid iliwahi kuwa na mashabiki kibao kama hawa.

ama kwa hakika ni tarehe 13 ya mwezi wa 9 ktk dimba la Nou Camp ambapo kutakuwa na mechi kati ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani Ulaya yaani Barcelona watakapo pambana na mabingwa mara 7 wa kombe hilo na pia ni timu yenye mafanikio yaani makombe mengi zaidi ya kimataifa kuliko klabu yoyote hapa ulimwenguni hapa naizungumzia klabu ya Rosonelli au AC Milan yenye maskani yake barabara ya Turati mjini Milan Italia.

kocha wa Barca Giussepe Guardiola kama jina lake linavyotamkwa kwa kitaliano ameizungumzia AC Milan kuwa ni timu kubwa na yenye hadhi ya juu kabisa ktk utawala wa soka hapa ulimwenguni na ameeleza wazi kutoisahau kumbukumbu ya kipigo cha Mbwa koko cha goli 4-0 walichokipata Barcelona toka kwa AC Milan na yeye akiwa uwanjani kama mchezaji wa Barca mwaka 1994, ikumbukwe hii ilikuwa ni ktk mechi ya fainali ya kombe hilo.

''Sijawahi kupata fedheha kama ile, hakika Milan walitukamata, na wakatufanya walichotaka, hakika sikuweza kuwa na ujanja, Desaily na Albertini walinifunika ktk kiungo''...amenukuliwa Guardiola mapema leo.

Milan itaingia uwanjani ikiwategeme wachezaji wake mahiri kama sentahafu bora ulimwenguni Alesandro Nesta ambaye inaaminika hajawahi kutokea mkoba mahiri na imara kama yeye tangu alipoondoka Franco Baresi ambaye ni nahodha wa zamani wa AC Milan.

Pia Milan itawategemea viungo mahiri na wenye uzoefu mkubwa mno hapa nawazungumzia MVB yaani Mark Van Bommel, Brigadia Jenerali masimo Ambrosini na Dikteta wa kiungo Clarence Seedorf.

Pia Milan watakuwa na nguli mwenye uwezo wa kupiga mashuti na miguu yote hapa namzungumzia kevin Prince Boateng.

Pia safu ya ushambuliaji ya Buluda itakuwa na kiungo mwenye uwezo wa kupeleka pasi Mlandizi kisha akaifuata na kuichukua tena na kuipeleka Kigamboni kabla ya kupiga pasi ya mwisho itakayomkuta mfungaji.

Kiungo huyu ni Alberto Aquilani atakayekuwa anawalisha mipira Super Pato na Antonio ''MUSOLIN'' Casano.

Kwa upande wa Barca wao watakuwa na Refa, Line men wawili pamoja na kamisaa kama ilivyokawa kawaida yao.

kaka maneno mengı mımı tımu zote nazıpenda kwa ulaya.

Mechi itakuwa ngumu sana ila atakayeanza kufungwa hakika ataongezewa mzigo wa magoli.

ulikuwa bado mdogo labda...
Hiyo Barca iliyobakwa 4-0 ilikuwa na watu kama Romalio, Eusebio na Hristo Stoichkov...

Achana na ushuzi huu unaouona wewe bora ila kwa wanaojuwa hii ni wazi kuwa Barca anabebwa na marefa live live...
hivi mkuu unaikumbuka hii milan vizuri, jua kwamba barca walikuwa wa nawanamilizia domination yao kwa miaka minne mfulizo ya uchampion wa la liga na ubingwa wa UCL 92 CHINI YA ARCHITECT WA MFUMO WA SASA WA BARCA JOHAN CRYUFF

MILAN:[SUP][1][/SUP]
GK1 Sebastiano Rossi
RB2 Mauro Tassotti (c)
10px-Yellow_card.svg.png
LB3 Christian Panucci
10px-Yellow_card.svg.png
CM4 Demetrio Albertini
10px-Yellow_card.svg.png
CB5 Filippo Galli
CB6 Paolo Maldini
10px-Sub_off.svg.png
84'
LM7 Roberto Donadoni
CM8 Marcel Desailly
RM9 Zvonimir Boban
CF10 Dejan Savićević
CF11 Daniele Massaro
10px-Yellow_card.svg.png
Substitutes:
GK12 Mario Ielpo
DF13 Stefano Nava
10px-Sub_on.svg.png
84'
MF14 Angelo Carbone
MF15 Gianluigi Lentini
FW16 Marco Simone
Manager:
Fabio Capello

ama kwa hakika ni tarehe 13 ya mwezi wa 9 ktk dimba la nou camp ambapo kutakuwa na mechi kati ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa barani ulaya yaani barcelona watakapo pambana na mabingwa mara 7 wa kombe hilo na pia ni timu yenye mafanikio yaani makombe mengi zaidi ya kimataifa kuliko klabu yoyote hapa ulimwenguni hapa naizungumzia klabu ya rosonelli au ac milan yenye maskani yake barabara ya turati mjini milan italia.
Kocha wa barca giussepe guardiola kama jina lake linavyotamkwa kwa kitaliano ameizungumzia ac milan kuwa ni timu kubwa na yenye hadhi ya juu kabisa ktk utawala wa soka hapa ulimwenguni na ameeleza wazi kutoisahau kumbukumbu ya kipigo cha mbwa koko cha goli 4-0 walichokipata barcelona toka kwa ac milan na yeye akiwa uwanjani kama mchezaji wa barca mwaka 1994, ikumbukwe hii ilikuwa ni ktk mechi ya fainali ya kombe hilo.
''sijawahi kupata fedheha kama ile, hakika milan walitukamata, na wakatufanya walichotaka, hakika sikuweza kuwa na ujanja, desaily na albertini walinifunika ktk kiungo''...amenukuliwa guardiola mapema leo.

Milan itaingia uwanjani ikiwategeme wachezaji wake mahiri kama sentahafu bora ulimwenguni alesandro nesta ambaye inaaminika hajawahi kutokea mkoba mahiri na imara kama yeye tangu alipoondoka franco baresi ambaye ni nahodha wa zamani wa ac milan.
Pia milan itawategemea viungo mahiri na wenye uzoefu mkubwa mno hapa nawazungumzia mvb yaani mark van bommel, brigadia jenerali masimo ambrosini na dikteta wa kiungo clarence seedorf.

Pia milan watakuwa na nguli mwenye uwezo wa kupiga mashuti na miguu yote hapa namzungumzia kevin prince boateng.

Pia safu ya ushambuliaji ya buluda itakuwa na kiungo mwenye uwezo wa kupeleka pasi mlandizi kisha akaifuata na kuichukua tena na kuipeleka kigamboni kabla ya kupiga pasi ya mwisho itakayomkuta mfungaji.
Kiungo huyu ni alberto aquilani atakayekuwa anawalisha mipira super pato na antonio ''musolin'' casano.

kwa upande wa barca wao watakuwa na refa, line men wawili pamoja na kamisaa kama ilivyokawa kawaida yao

huu mtindo wa kufanya analysis ukiwa bias . Kwa hiyo na fainali ya champions league vs man u refa aliwabeba barca sio

[h=4]Guardiola: "Milan are coming –that says it all"[/h] Jordi Clos
Pep Guardiola reckons we are in for "a very attractive match" on Tuesday, because Milan: "have always been known for wanting to play the game". The boss also dismissed any fears that the Anoeta result would have a negative effect on his players.
2011-09-12_ENTRENO_09.JPG
"Milan are coming –that says it all, seven European Cups speak for themselves", according to the boss, who spoke at the Camp Nou this evening: "we are lucky to be playing in the Champions League and even more so against an opponent like Milan". As respectful as ever towards his team's opponents, Guardiola said he is expecting: "an attractive game, because if there is anything that characterises Milan it is that they always want to play the game".

Home points vital

2011-09-12_ENTRENO_41.JPG
Guardiola is clear about the objectives for his team in the first game of the competition: "our aim is to play well, know the weak points of the opposition and win the game. Points at home are fundamental in the group stage. The league is a more important competition, but the Champions League is the nicest one. It's an honour to defend the title. In 20 years, nobody has ever regained the title and that just shows how difficult it is ".

No Anoeta hangover

Guardiola doesn't think that the recent draw against Real Sociedad will affect his players too much: "the team is good, we'll see how they react tomorrow. We never go into a game thinking we are bound to win it, we know that if we go into a match without preparing it properly, we could lose. San Sebastian is over and done with and I have no complaints to make. When you win, that's got nothing to do with the next game and when you don't win, it doesn't make any difference either. The players know that Milan are coming tomorrow….".

Ibrahimovic

Milan will be without the ex-Barça man Zlatan Ibrahimovic for the game and Guardiola expressed his disappointment: "football belongs to the players and the fans want to see the best players. Ibrahimovic is one of the world's great players and one of Milan's most important figures. It's always best to play against the best because that strengthens you. It is a pity that he cannot play".

With his usual conciliatory tone, Guardiola concluded: "before he came here, he struck me as a fantastic player and afterwards even more so. I am grateful for all he gave us. He was very important to us in the 99 point league winning season. I've heard he's doing well at Milan and I am happy about that".

Haya bana wakubwa mlioanza kuangalia mpira kwenye mabeseni, sisi kizazi cha dstv sio mashabiki,
Yaani hii nchi raha sana Mtu unamponda mwenzako wakati wewe mwenyewe Unaangalia mpira kwenye tv,

na hao mashabiki wa kina man utd waliozaliwa na kukulia downtown Machester, wa ac milan waliozaliwa Milan, au wa barca waliokulia Barcelona plus wa madrid wanaokaa kwenye maghorofa nyuma ya barnebeu Madrid spain Wasemaje?

Mtu unaangalia mpira kwenye Tv upo KISHUMUNDU KARIBU NA NG"OPE NJIA PANDA YA MPERA MPERA almost umbali wa million kilometre from OLD TRAFOLD au SANSIRO but mbwembwe kibao wakati huna hata uhakika hata wa kumaliza mechi kwa hofu ya UMEME KUKATIKA....

That same year(2009), it also became the first football club ever to win six out of six competitions in a single year, thus completing the sextuple, comprising the aforementioned treble and the Spanish Super Cup, UEFA Super Cup and FIFA Club World Cup.
TUKO KWENYE UTAWALA SASA MPENDE MSIPENDE MUDA UKIFIKA MTAACHIWA . YAKUPASA KUKUBALI HAYA YA KUSEMA TULIANZA KUSHABIKIA MPIRA KWENYE DSTV HAYATUZUII KUSHABIKIA TIMU . BARCELONA NDIO WANADOMINATE SOKA LA DUNIA KWA SASA HAYA YA KUPENDELEWA NA REFA MTASEMA SANA ... LAKINI HAYATABADILI MAANA KWA SASA

FC BARCELONA It is the only European club to have played continental football every season since 1955, and one of the only three clubs to have never been relegated from La Liga, along with Athletic Bilbao and Real Madrid. In 2009, Barcelona became the first club in Spain to win the treble consisting of La Liga, Copa del Rey, and the Champions League.

Milan has won 18 officially recognized UEFA and FIFA, so Milan as having won the most trophy in the world. Milan has won four world titles, more than any other club in the world, having won the Intercontinental Cup three times and the FIFA Club World Cup once. Milan has won the European Cup/Champions League on seven occasions, The club has also won the UEFA Super Cup a record five times and the Cup Winners' Cup twice.

Sasa naomba utambue kuwa Buluda ni mbuda wa mafanikio in europe.
Hao kina Barca wenzake ni Ajax, na Bayern.

Usichanganye kati ya Meja Generali na Generali.

Naomba kuwasilisha hoja

ulikuwa bado mdogo labda...
Hiyo Barca iliyobakwa 4-0 ilikuwa na watu kama Romalio, Eusebio na Hristo Stoichkov...

Achana na ushuzi huu unaouona wewe bora ila kwa wanaojuwa hii ni wazi kuwa Barca anabebwa na marefa live live...

Wacha kasumba za ajabu, hao marefa kwa nini waibebe barca tu??

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom