Barbara Gonzalez amkwepa Manara, asema focus yake kushinda game ya Jumapili

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,426
7,737
Baada ya msemaji wa Simba, Haji Manara kumtuhumu mkurugenzi wake kuwa na chuki dhidi yake na kutoa madai kadha wa kadha, Barbara amejibu kwa sasa akili yake iko kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya watatni wao Yanga.

Pia, soma> Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta
Barbara.JPG
 
Na hasiposginda hiyo mechi hakika patachimbika. Utatueleza hiyo Nani kawamilikisha. In Kilomon's voice
acha ujinga we fala, mtamfanya nini nyie malofa? Ungejua wajinga kama wewe katika Simba hamzidi 1000
 
Ila uongozi wa Simba nao umezidi kumlea huyo Manara. Mtu aliyekiri mwenyewe kwa kinywa chake kupitia "clip" aliyoirusha kuwa analipwa TZS 700,000 kwa mwezi sasa notisi na mafao yake yote si hayafiki hata TZS 5,000,000. Mlipeni haraka aondoke badala ya kumuacha aendelee kuharibu mambo hapo klabuni.
 
kwa hiyo wanasimba wako upande gani kwenye hii vita kwa demu au kwa men?
Hao ni mbumbumbu tu 😁😁😁 zinapotea rabsha kama hizi, huwa wanajikuta wapo njia panda! Hawaelewi waende kushoto au kulia!

Angalia suala la Mzee Kilomoni vs Moo, Kigwangala vs Moo, nk.
 
Hao ni mbumbumbu tu 😁😁😁 zinapotea rabsha kama hizi, huwa wanajikuta wapo njia panda! Hawaelewi waende kushoto au kulia!

Angalia suala la Mzee Kilomoni vs Moo, Kigwangala vs Moo, nk.
Kwa hiyo tuhitimishe kwamba simba hawajielewi?
 
Nd
Baada ya msemaji wa Simba, Haji Manara kumtuhumu mkurugenzi wake kuwa na chuki dhidi yake na kutoa madai kadha wa kadha, Barbara amejibu kwa sasa akili yake iko kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya watatni wao Yanga.

Pia, soma> Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta
View attachment 1863072

Hapo utaona tofauti ya MSOMI na mropokaji
Meopokaji hutoa maelezo meengi yaliyojaa jazba na pumba wakati msomi huongea sentensi chache zenye utulivu zilizojaa hekma na tafsiri yake waweza kujaza kitabu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom