Baraza la wazee CHADEMA watoa angalizo kuhusu kauli za Rais

Ukabila?!hakika uvumilivu anaotupa Mungu siku ukikoma tutazungumza vizuri ukabila.Kabisa kijana anajisikia raha kuita wazee wa kichaga
Kwani si ndo Chama chenu hicho? Mafisadi na majambazi wengi wa huko halafu Hao Hao mnageuka kulaumu CCM eti imewaachilia bila kuwachukulia hatua na sasa mnataka mageuzi.

Mageuzi yamekuja na magufuli wa CCM eti ooh dikteta...mlivyo wapuuzi sasa boss wenu hana mkataba wa umiliki wa NHC anakataa kulipa kodi bdo mnamuona anaonewa na mnaona anastahili kuongoza Chama.

Badilikeni....
 
13-620x308.jpg

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeonya kauli zinazotolewa na Rais John Magufuli katika mikutano yake.

... Anaandika Pendo Omary.

Baraza hilo limeeleza kuwa, kauli hizo zinaweza kusababisha matatizo kwa nchi hususani wakati huu.

Kauli hiyo imetolewa leo na Roderick Lutembeka, Katibu Mkuu wa Baraza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Amesema, Rais Magufuli akiwa katika ziara Zanzibara tarehe 2-3 mwezi huu, alitoa matamko yaliyolenga kuchochea uhasama na chuki na kutishia ustawi wa umoja wa kitaifa.

“Rais alisikika akiupongeza ukiukwaji wa demokrasia uliofanyika visiwani Zanzibar kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka jana na kudhihaki kwa kupendekeza msimamizi wa uchaguzi aliyehusika kuvurugu uchaguzi apewe tuzo na Rais Ali Mohammed Shein.

“Rais anapaswa kutafuta suluhisho na mwafaka kwa ajili ya Wanzanzibari na Watanzania wote,” amesema Lutembeka.

Pia amesema, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi kupitia Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa anakihujumu chama hicho.

Lutembeka amesema, kulingana na mtiririko wa matukio kadhaa yaliyojitokeza hivi karibuni ikiwemo kuandaa mitego haramu ya kisiasa ili hatimaye yatolewe mapendekezo ya kukifuta Chadema katika orodha ya vyama vya siasa.

“Tarehe 15 Agosti mwaka huu Jaji Mtungi alitangaza kuwa, Baraza la Vyama vya Siasa lilikuwa limeitisha kikao ambacho kingefanyika tarehe 29-30 Agosti kujadili masuala hali ya kisiasa nchini. Siku mbili kabla ya kikao Mwenyekiti wa baraza akatangaza kukiahirisha hadi tarehe 3-4 mwezi huu.

“Jambo la kushangaza baada ya busara kutumika kupitia viongozi wa dini kushawishi Chadema kuahirisha kwa kutoa mwanya wa mazungumzo hadi tarehe 1 mwezi huu, Kamati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa ikaibuka tena na kutangaza kuahirisha kikao cha baraza hadi itakapotangazwa tena.

“Wakati taarifa zote hizo zikitolewa na viongozi wa baraza, ofisini hapa (Chadema) hakuna hata barua moja kutoka kwa msajili ya kutuita katika kikao chochote kati ya hivyo. Kuanzia kile cha tarehe 29-30 Agosti, tarehe 3-4 Septemba wala hiyo ya kuahirisha.

“Katika mazingira haya nani ambaye hatashawishika kuamini ofisi ya msajili inatii maagizo ya watawala,” amehoji Lutembeka

source; Bongo News
 
QUOTE="nngu007, post: 17533470, member: 24962"]

Ndiyo habari nzito hiyo!!??

source; Bongo News[/QUOTE]
M
 
Mwacheni mkuu wa nchi afanye kipindi cha blabla hakipo tena mie namuunga mkono kwa juhudi anazofanya mkuu wetu. Sasa si wakati wa kufanya siasa yafaa tubadilike.
 
Kuonywa vikali iko wapi hapo sasa. Watu Wengine bwana....umekula michembe na mbaazi halafu unajilawa humu. Mtampenda tu japo kimoyo moyo
 
Kweni mlikuwa hamjui kuwa huyo naye ni tatizo?wala c mkweli ni adui as demokrasia lkn hakuna lililo na mwanzo likakosa mwisho na pia akumbuke ya kuwa mungu yupo.
 
Back
Top Bottom