Baraza la Usalama: Hawaipendi na hawaitakii mema nchi yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la Usalama: Hawaipendi na hawaitakii mema nchi yetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Feb 19, 2011.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Soma hapo chini:

  Hawa jamaa wanadata base na info zote kuhusu usalama wa nchi hii. Iweje leo wanataka kuleta wageni wachunguze chanzo cha hili janga?

  Our Commander in Chief jana katamka wazi kuwa silaha zetu muhimu na kubwa zilikuwa zinahifadhiwa hapo GMBOTO....then hawa waheshimiwa wa BLU wanasema right, lets just bring bunch of foreigners wachunguuze moto kisha watushauri cha kufanya afterwards. Whats the point ya kuwapeleka watu wasome nje ya nchi?

  I hope common sense will privail and i hope TPDF wata wa overule hawa so called baraza la usalama...if anything mimi naona hii kauli hapo chini ina border TREASON


  13. Baraza la Usalama limeamua kuwa, Serikali ya Tanzania iombe nchi rafiki zisaidie katika uchunguzi wa chanzo cha tukio hili na kushauri namna bora zaidi ya kuimarisha usalama na uhifadhi wa mabomu na risasi katika maghala ya Jeshi letu kote nchini.

  Chanzo: Ikulu Mawasiliano: RAIS KIKWETE AZUNGUMZIA KUHUSU MAAFA YA GONGO LA MBOTO


  Hivi kuna mtu anajua hili baraza la Usalma lina comprise of WHO & WHO na website yao inasemaje?

  I certain they must have compromised our National Security kwenye maazimio yao mengine

  This is not ajali ya gari you ******...this is moto kwenye ghala la silaha zetu chini ya TPDF and why in the world would you want a foreign nation waje kutuchunguzia chanzo na atupe recommendation?

  ahhhh sometimes mtu unakaa one fence weee lakini kwa hili inabidi uibuke tuuu
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Angalia make up ya baraza lenyewe la usalama halafu uniambie kama kweli unaweza kuamini kuwa ni watu tunaoweza kuwaamini kufanya tathmini ya tukio zima. Kwa hatua aya mwanzo kabisa naweza kusema hatua walichochukua haziridhishi. Kwanza rais kutanganza kuwa sehemu hiyo ndio zinakaa silaha kubwa kubwa yenyewe ni hatari ni salama. wameleta hatari zaidi kutokana na kauli zao.
   
 3. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I think TPDF should put stop to these stupid none sense. Kwanza ikulu na blog yao wapigwe stop kuripoti kitu mpaka wapate idhini from TPDF unless wanataka kutoa matangazo mengine.

  Surely after 50 yrs of independence we could do better than this

  I really need to see the make up ya hili baraza asap
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kabla hatujahukumu ni vyema kujua hao "marafiki" ni akina nani... nijuavyo mimi kwenye suala la equipment... rafiki aweza kuwa trainer, store experts, manufacturer nk. tusiwe wepesi wa kurukia migongoni kila wakati...

  baraza halijasema KEnya, Uganda au USA, limesema "allies"... na NIjuavyo mimi hapo watakua manufacturers, storage experts na nchi tunazokwenda kujifunza security tatics na defence in general

  tusidilute uzembe au mapungufu kwa ku-attack kila kitu kwani kwa uelewa mdogo wa baadhi ya viongozi wetu wanaweza wakachukulia cynicism yetu kwamba we are just negative
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  I was looking at some of the pictures and they made me really sick. When JK paid a visit at the camp, he was welcomed with red carpet, tragedly the published some of these pics online. I wonder what did the red carpet meant in situation like that.

  I am sure the matter will bring lots of things to light, and those who say things in public now, will regret afterwards.
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  when we are being negative it means that we are not satisfied with the way the whole thing is being handled, it is a security matter but they are trying to politicize it and score some political points at the expense of the victims.

  Ni kweli ni lazima tupate msaada, lakini ni vizuri pia wakichunguza na kusema kuwa wame-exhaust uchunguzi bila mafanikio na hatua inayofuata iwe ni kuwaomba allies. Utaomba vipi msaada wakati hata wewe mwenyewe hujajaribu? au ndio umatonya kwenye kila kitu?
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Agreed mkuu, na ndio maana nimesema kwa uelewa mdogo wa "system yetu" ukihoji kila kitu, be ready to get nothing

  any extreme cynicism may not be the best idea for now.... lets not qualify every statement given, tusubiri tujue hao allies ni akina nani

  otherwise we can continue to criticize everything and end up with nothing as well
   
 8. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Hebu soma vizuri hapo chini kabla ya ku jump into conclusions:

  13. Baraza la Usalama limeamua kuwa, Serikali ya Tanzania iombe nchi rafiki zisaidie katika uchunguzi wa chanzo cha tukio hili na kushauri namna bora zaidi ya kuimarisha usalama na uhifadhi wa mabomu na risasi katika maghala ya Jeshi letu kote nchini.


  1. We dont need to ask foreign nations to investigate matters of our NATIONAL SECURITY

  2. We dont need to ask foreign nations how we should store our ammunitions

  3. We dont need foreign powers to teach us on HEALTH & SAFETY regulations

  4. We dont need foreign nations to tell us how we should safely store our ammunitions

  why?

  kwa sababu tumekuwa tukihifadhi hivi vitu for the last 50 years

  tunapovinunua tunaambiwa conditions na mazingira ya kuzihifadhi

  tunao wataalam wa kufanya uchunguzi

  tunao wataaam watakao toa recommendation

  tunao wataalma ambao tumelipia kodi zetu wakasomee hayaambayo the so called BLU wanataka ku OUTSOURCE to foreign powers

  Is about time wanasiasa wakaacha kuwafanya TPDF kama chombo chao cha kuplay politics and national psyche
   
 9. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hili baraza la usalama lina comprise akina nani?
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,574
  Likes Received: 4,688
  Trophy Points: 280
  Ni moja wapo ya maajabu ya dunia kwa JK kuwepo ikulu hadi leo, AMESHINDWA KABISA KAZI YA URAIS.
   
 11. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni huu....''that is a revenge'' na ndiyo maana anataka watu waje kutoka nje we humjui huyu ..
  Mwinyi anashusha watu vyeo na kuwapa wasio na sifa ili walinde maslahi yao...wanajeshi wamechoma kusudi tu, mabom hayawezi kulipuka bila sababu ya kisayansi.....unawanyima watu chakula ukizingatia wanajeshi...WANAJESHI HAWAJUI SIASA NA WATALIPUA MAGHALA MENGINE....Wewe ukimwaga ugali wenzio wanamwaga mboga ili mradi wote mkose.
   
 12. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa... Are you sure????.....
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu nataka kukubaliana na wewe kwa asilimia nyingi sana. I wonder ni nani alikuwa mwenyekiti wa baraza hilo na kufikia uamuzi kama huo. Siamini kama jeshi letu ni lile lile la miaka ya 60 ambalo watumishi wake ni askari wa infantry, yaani hakuna mwenye taaluma na kuchunguza jambo linapotokea. Inasikitisha sana kuona watu wanaopewa kazi ya kulinda usalama wa nchi ndio wanaotishia usalama wa nchi.

  Kuna maswali mengi tu ya kujiuliza. Ukaguzi ulifanyika siku tatu kabla ya ajali, nani alikagua, kwa muda gani, ripoti ya ukaguzi inasemaje? Kwanini hakuna askari hata mmoja aliyekufa kwenye tukio hilo (waeleze kama wapo)? Kwanini linaungua ghala moja, mbili, tatu........

  hakuna mechanism yoyote ya kupambana na moto kama ukitokea kwenye ghala moja? Kwanini munition storage hazijawa updated (ujinga wa kusema hakuna hela is unacceptable, kama kuna hela za kuwalipa mafisadi lazima ziwepo za kufanyia kazi muhimu)

  Sasa kama uozo umefikia hatua ya kwenye jeshi, na mpaka kwenye kutunza silaha then tunatatizo kubwa.
   
 14. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Unashangaa nini?hujui siri za jeshi lako hazina kificho.Waambata wa kijeshi toka nchi marafiki hasa Wachina wako wengi ndani ya kambi zetu za jeshi.Hivi unadhani kwa kukaa kwao muda mrefu mpaka kiswahili wanakijua na watoto wamezalisha ndugu zetu,hawajui ghala sensitive za siraha ziko wapi ndani ya Nchi.Haitoshi baadhi yao ndio walimu wetu wa mafunzo ya kijeshi na mabomu hayo.

  Maazimio yaliyopitishwa na Baraza la Usalama la Taifa yako sawa,wasi wasi wangu huwa ni utekelezaji tu hapo ndipo kichwa cha mwendawazimu kinaanzia.Hili la kuleta Nchi marafiki (hasaa marafiki) sio wajinga watawakimbilia wale wale waliotuuzia hayo mabomu hasa China na Urusi ambao siku zote hawana shida na sisi.

  Usidanganyike kuwa ghala hilo ndilo lilikuwa kubwa na sensitive kuliko kwingine.Ndugu hapa Masaki kuna issue(Gongolamboto kubwa),siku ikikosea njia naambiwa tunaweza kujikuta hakuna haja ya kamati ya mazishi bali issue yenyewe itatuzika sio chini ya mita 60 ardhini.Yesu alisema "Kesheni mkiomba".
   
 15. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  sioni ajabu kwa kuitwa nchi nyingine kusaidia uchunguzi kwani hilo hutokea maeneo mengi nambalimbali tu hapa duniani, unakumbuka Ugaidi na mlipuko wa Mumbai India,?unakumbuka Benzir Buttor Pakistan? Unakumbuka last month Terrorist attack in Moscow Airport ? pamoja na ujanja wao Urusi waliomba msaada wa uchunguzi kutoka USA.
  Hivyo kuomba uchunguzi wa kiintelijesia si tatizo hata kidogo.
  Hii huwa inasaidia kubalance uchunguzi, maana hao wanaofanya uchunguzi hawana undugu wala urafiki na wanaochunguzwa hivyo kunakuwa na uchunguzi huru na wa haki.
  Nawasilisha:usa2:
   
 16. King Suleiman

  King Suleiman JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  mh! hii ndio serikali yetu Bwana, kila tukio likitokea ni ulaji kwa wengine, mara utasikia tume pia zinaundwa mradi tu kula mamilioni yetu. haya yetu sie macho...kulenui huku wengine wakiteseka
   
 17. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Vyeo vya Jeshi havipangwi na Mwinyi wewe ebu alezea vizuri, nani kashushwa cheo!!
   
 18. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #18
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  13."" Baraza la Usalama limeamua kuwa, Serikali ya Tanzania iombe nchi rafiki zisaidie katika uchunguzi wa chanzo cha tukio hili na kushauri namna bora zaidi ya kuimarisha usalama na uhifadhi wa mabomu na risasi katika maghala ya Jeshi letu kote nchini.""

  Hii serikali inaogopa kuwajibika kisiasa hadi inavunja kanuni za usiri wa nchi ........kwa wale ambao ni watu wazima ..mmoja hapa akumbuke kama toka utawala wa mwalimu,mwinyi,mkapa .....ni lini mmesikia breafing za NATIONAL SECURITY COUNCIL zikienda kwenye vyombo vya habari???? haijawahi kutokea ...kazi ya baraza la usalama ..ni kumshauri amiri jeshi mkuuu na baada ya hapo uamuzi anaochukua unakuwa ni wake.....wao always wanakuwa behind the scene....sasa hili baraza la usalama la kumkaribisha hadi Salva Rweyemamu[ambaye mkwe amejilipua UK kama mrundi] akaandike minutes za kutoa kwenye PRESS moja kwa moja ni baraza gani....nadhani wastaafu wa usalama na jeshi watashangaa sana!!!
  Mnafiki chukulia mfano uamuzi wa kupigana na uganda aliotoa mwalimu kama yeye...aliupata baada ya kushauriana na baraza la usalama ...maamuzi yote makubwa kiusalama yanatoka huko........
  Kitendo cha Kikwete kutoa press ya kilichojadiliwa kwenye baraza la usalama hakikubaliki na kimevunja mwiko wa usiri wa baraza....na kinaonyesha kuwa ni rais muoga anayeogopa kuwajibika kwa maamuzi ya baraza la usalama ambayo anatakiwa ayatoe kama yake [amiri jeshi mkuu]
  Mwaka jana bungeni walitaka kuongeza idadi ya wajumbe wa baraza la usalama wafike 20...toka takribani 5 wasasa...ilikataliwa hasa na wabunge wakongwe ie kina malecela etc kwa kuwa walisema kama wajumbe 5 mara nyingine siri zinavuja ...wakifika 20 zingevuja zaidi.....sasa kama ni wazi kinachojadiliwa na baraza sio for public consumption imekuwaje ikulu imevunja mwiko...

  Ambacho alitakiwa kufanya Salva tena kwa maelekezo ya rais ...ni kutoa tamko la rais au tamko la Ikulu na sio tamko la Baraza...utawala huu unavunja miiko kila siku.....ni vigumu kuamini kama kweli rais wetu ni Askari tena afisa ..ambaye angetegemewa kwenye usiri amzidi hata mkapa ambaye alikuwa ni raia kwa mbali!!!

  INASIKITISHA SANA ...eti Tamko la baraza la usalama ...imeanza lini hii?...he must have balls to stand by national security council desicions as his own and not to hide behind NSC!!!!!..which means if the decision is sour ..NSC Ijiuzulu..ndio maana askari wamesema wao hawana utaratibu wa kuwajibika kama wa viongozi wa kisiasa ...taratibu zao za adhabu zipo kisheria..that is a snub....too,
   
Loading...