Baraza la mitihani:Uhakiki wa vyeti vinavyoletwa vya watumishi ni zaidi ya miezi miwili?

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
Kuna ndugu yangu kapeleka cheti eti kuhakikiwa, toka mwezi wa tano mpaka sasa, eti matokeo bado! Au huu pia ni urasimu?

Yaani kitendo cha kuhakiki tu, ndo miezi miwili? Ama kweli hii ni serikali ya awamu ya tano!!

Duu, yaani maajabu pekee yanayopatikana Tanzania ya viwonder!
 
Wanavikusanya na kuvishikilia... hawavifanyii chochote.
Ni kweli, maana eti waliopeleka mwezi wa nne, ndo majibu yametoka July mwishoni! Waliopeleka may na kurndelea wanasubiria bado! Sijui hii nchi huu ujinga utaisha lini?

Computer zipo, kuingiza tu namba wakachungulia kama cheti kina exist pia inachukua miezi mitatu?
 
Hivi waziri wa elimu pia huwa anapita pita humu? Wanachofanya utumishi mi sijawahi waelewa hata kidogo!!!
 
Back
Top Bottom