Baraza la Mitihani, NECTA, Siasa inauwa elimu

Kama ni mnayama wewe ni ngiri maana hata hukufikiri unajibu nini. Kwanza nani kasema mimi ni kaka? Au ni hizo hisia na mbu kila wakati unawaza kunyonya tu!

Unanituma nikafanye utafiti gani? au hujui maana ya utafiti? yaani kuona mtihani ulivyovuja miaka hii nahitaji utafiti! Mawazo kama haya niliyasikia Bunge la katiba, nikadhani ni wachache kumbe muko wnegi! Fooool!

Kwa hoja na Mitazamo yako kaka au dada umefulia. Umejidanganya wewe na mtoto wako. Siyo mbaya, ni mitazamo yenu ambayo siyo sahihi, na haiukubaliki, any way.
 
Kwa nini watu hawaji na inquiry minds? kwa nin watu wanakuja na kukanusha tu wakati wao wanaishi majumban kwao na huyu anaishi nyumban kwake? hapo ndipo unagundua wengi hapo zamani walifaulu kwa ukanjanja tu na ndo maana hoja kama hii wameijia kwa hasira sana na hawa nai wanafunz waliofaulu kuanzia mwaka jana kuendelea na weng waliojib hoja hizi ndo waliofanikiwa na mitihani hii iliyo leak waswas wao ni kuwa kelele zikizid itafutwa otherwise watu wenye akili wangetaka mtoa hoja athibitishe na si kupinga. division 5 at work........ hii nchi inaharibika kwa kuzalisha mijitu isiyo na akili na hii ndo mikanjanja kwenye kila fani.

Kula like mkuu, jamaa yangu ni mwalim shule moja ya boarding mwanzA, kaniambia kama kijana wa mleta mada hapo juu, ukwel ndio huo mitihani hii ilivuja,
period
 
Mtu akisema ukwel siku hizi anaonekana kichaa lakin sistaajabu mm nakubaliana na huyo mzazi wa huyo m.funz kwan hata mm form 4 2011 na ndalichako yupo exam ilivuja mpaka mm mwenyewe naona aibu yaan nimeuficha kwenye mkoba naudurusu kisirisiri kwenye daladala nastaajabu kwenye hiyo hiyo daladala nawakuta w.funz wawil kila mmoja ana paper yake na form 6 ya 2014 mitihan imevuja kwakuwa haukuwa wa combination yang sitokupa mfano ila rafk zang waliyajua maswal meng 2
 
Hao wanaokupinga mkuu wao wenyewe wamevujishiwa semen tu ukwel vyetu vyenu havitabadilisha kha! Kwa kuvuja huku kwa exam mpaka leo mtu akinitajia TO hata hanisumbui mitihan inavuja na inafanywa biashara
 
Mara nyingi wanafunzi wanaofeli mitihani na wazazi wao huamini wanaofaulu wameiba mitihani.Uzoefu unaonesha wanafunzi wengi wanaofanya vizuri ngazi moja ndo hao hao hujitokeza kufanya vizuri ngazi zinazofuata tena wakiwa shule tofauti.Uzuri wote tunaishi kwenye mazingne ambayo tunaingiliana na wanafunzi pamoja na shule wanazosoma.

Ukımchukua mwanafunzi wa Marian au Feza,Cannosa n.k,ukamhoji, utagundua uelewa wake ulivyo mpana na wala haikuhtaji usubiri matokeo ya Necta kujua km atafaulu.Nakumba miaka km 2 au 3 iliyopita,wanafunzi waliongoza mtihani wa drs la 7 walikuwa ndugu na walitokea shule ya Tusiime.Wanafunzı hao waliongoza kwa kufuatana walipoenda kufanya mtihani wa usaili kujiunga na shule ya Marıan wasichana.

Hiyo consistency inakujengea taswıra kuwa watoto wanaofaulu, wengi wanakuwa na uwezo.Fırst dıvısıon za advance nyingi n za wale walokuwa na daraja hlo Olevel na hiyo haifichikı.Tuache kulalamika ovyo, tujıandae na tuwaandae wanetu vizuri.Acha mambo etı matokeo ya mwanangu kapewa mtoto wa Tusiime au Marian.Shule zilizokuwa zinafanya vizurı wakati wa Ndalichako ndo hzohzo zinaendelea kufanya vizurı.
 
Hapana! Acha udanganyifu. Hizo products za Marian au Feza,Cannosa, nk. umesikia matokeo yao Vyuo vikuu? na hasa Sayansi? Hakuna kitu!!! Hawaonekani kabisa inabaki sifa tu kwamba tuliongoza sijui kitu gani, bla bla bla, Italian song!

Hayo unayoandika ni uongo mkubwa kabisa! Ukitaka kujua kama mwanafunzi ana uelewa lazima nawe uwe na uelewa.
Facts zilizopo zinaonyesha wazi kwamba ni wachache ambao wanakuwa wazuri F.4 halafu wakawa hivyo tena F. 6. na hasa hao waliotoka hizo shule unazotaja.

Mitihani hii iliyopita ya F.4 kuna mabinti wawili wa familia moja walioshika nafasi za juu. Ukweli uliopatikana ni kwamba mama yao ana uhusiano na mtu aliyeko NECTA na walikomba mitihani, lakini eti sifa zimekwenda ktk familia.

Ukitaka kujua vioja subiri au fuatilia wakiwa F.6 mambo yatakuwaje, halafu baadaye ulizia chuo kikuu, wengi wanatia aibu. Kuna mzazi namfahamu alikomba mitihani yote miwili kwa ajili ya mwanae, yaani F.4 na F.6. Uamuzi kampeleka South Africa kwa kuhofia vyuo vikuu vya TZ kwamba atatiwa aibu.

Hapo ndo tumefikia na watu kama wewe unashabikia.
 
Kwa hoja na Mitazamo yako kaka au dada umefulia. Umejidanganya wewe na mtoto wako. Siyo mbaya, ni mitazamo yenu ambayo siyo sahihi, na haiukubaliki, any way.

Hivi unajua kwamba unajibishana na mtu aliyekwenda shule na kuelimika? It's not about mitazamo, it's education norms! It's exam mishandling which is, amongst, one of the stupid behaviour appreciated by many of your like, ululating in appreciation of what you did and what your sons and daughters are doing!

Kwa nini unakataa kwamba mitihani haikuvuja. Nina haja gani ya kumsingizia mwanangu? Naamini wewe ungemsifu na kuomba anyamaze ili akipata gredi nzuri ujisifu kwa majirani. Mimi siko hivyo. Kusoma ni kufahamu na siyo kushinda mtihani kama munavyojaribu kuiweka.
 
Wewe mzazi umechemka na mwanao muongo kwanza ww Huna mtoto umetumwa tu.

Kwanza ww unajua necta au unasikia propaganda tu. Watu wanaoijua necta watafute wakwambie. Necta haifanyi kazi unayowaza ww, na shule umeishia kidato cha ngapi ww mzazi? Usichukue maneno ya mtaani ukaleta watu wachangie

kwan mwanao ndo kamalza 4m6 peke yake? utakuwa unataka kuichafua shule ya tusiime hakuna mtihan uliovuja ka unaona ni siasa waambie baraz wafute matokeo ya mwanao hapo utakua mzalendo

Mzazi kama mwanafunzi!

Najiuliza hawa ni watu wa aina gani, lakini nadhani jibu ni rahisi. Kati yenu wamo waliofika hapo kwa kuiba mitihani, wengine munaona mambo yatawaharibikia watoto wenu haya yakisemwa, wengine ni wauza mitihani ndani ya Baraza.

Haingii akilini kulisifu Baraza ambalo alipoingia Ndalichako, ktk juhudi ya kulisafisha aliwahamisha baadhi ya watendaji kurudi wizarani. Nilichosikia eti, wakagoma kuhama Baraza kwenda Wizarani! Baraza lina wafanyabiashara ya mitihani na vyeti feki kibao!

Sasa woote ninyi ndo matunda ya hayo! Tumewasikia wenzenu kule BoT. Badala ya kuchukia mambo hayo, ninyi munaleta ubishi tena kwa kufumba macho eti ni uongo. Ubongo wenu mdogo sana!!!!
 
MchunguZI

Unachosema ni kweli kabisa.Atakaye kubishia hajui nini maana ya mitihani.Mitihani mingi inavuja ikianzia Dar,ndiyo kwenye kitovu cha kuvujisha mitihani.....

Na shule za private pamoja na kufundishwa sana pia ziko shule zinazoiba mitihani na kuwapa wanafunzi wao.Kama kuna kubisha basi serikali ifnye uchunguzi italigundua hili.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini watu hawaji na inquiry minds? kwa nin watu wanakuja na kukanusha tu wakati wao wanaishi majumban kwao na huyu anaishi nyumban kwake? hapo ndipo unagundua wengi hapo zamani walifaulu kwa ukanjanja tu na ndo maana hoja kama hii wameijia kwa hasira sana na hawa nai wanafunz waliofaulu kuanzia mwaka jana kuendelea na weng waliojib hoja hizi ndo waliofanikiwa na mitihani hii iliyo leak waswas wao ni kuwa kelele zikizid itafutwa otherwise watu wenye akili wangetaka mtoa hoja athibitishe na si kupinga. division 5 at work........ hii nchi inaharibika kwa kuzalisha mijitu isiyo na akili na hii ndo mikanjanja kwenye kila fani.
Siku ya kwanza ya huo mtihani ukurasa wa twita wa EATV ULIMNUKUU MSANII MMOJA 'nimesahau jina' akisema maswali yapo mtaani,so wadau msikanushe kanushe tu,kama miaka ya nyuma pepa zilivuja why kwa sasa zisivuje?
 
Unachosema ni kweli kabisa.Atakaye kubishia hajui nini maana ya mitihani.Mitihani mingi inavuja ikianzia Dar,ndiyo kwenye kitovu cha kuvujisha mitihani.....

Na shule za private pamoja na kufundishwa sana pia ziko shule zinazoiba mitihani na kuwapa wanafunzi wao.Kama kuna kubisha basi serikali ifnye uchunguzi italigundua hili.
Mdau ur ryt,tatizo tu watu wana waya waya sana
 
Mdau ur ryt,tatizo tu watu wana waya waya sana

Kaka kuna wazazi wanatoa mpaka pesa ili watoto wao wapate mitihani...........Nashangaa watu wanabisha kitu kisicho cha msingi...

Ni bora nipate Div four kuliko kupata one ya mazingaombwe
 
Hivi unajua kwamba unajibishana na mtu aliyekwenda shule na kuelimika? It's not about mitazamo, it's education norms! It's exam mishandling which is, amongst, one of the stupid behaviour appreciated by many of your like, ululating in appreciation of what you did and what your sons and daughters are doing!

Kwa nini unakataa kwamba mitihani haikuvuja. Nina haja gani ya kumsingizia mwanangu? Naamini wewe ungemsifu na kuomba anyamaze ili akipata gredi nzuri ujisifu kwa majirani. Mimi siko hivyo. Kusoma ni kufahamu na siyo kushinda mtihani kama munavyojaribu kuiweka.

Unanichekesha sana mkuu..nashindwa kukukwaza.
 
Mara nyingi wanafunzi wanaofeli mitihani na wazazi wao huamini wanaofaulu wameiba mitihani.Uzoefu unaonesha wanafunzi wengi wanaofanya vizuri ngazi moja ndo hao hao hujitokeza kufanya vizuri ngazi zinazofuata tena wakiwa shule tofauti.

Uzuri wote tunaishi kwenye mazingne ambayo tunaingiliana na wanafunzi pamoja na shule wanazosoma.Ukımchukua mwanafunzi wa Marian au Feza,Cannosa n.k,ukamhoji, utagundua uelewa wake ulivyo mpana na wala haikuhtaji usubiri matokeo ya Necta kujua km atafaulu.

Nakumba miaka km 2 au 3 iliyopita,wanafunzi waliongoza mtihani wa drs la 7 walikuwa ndugu na walitokea shule ya Tusiime.Wanafunzı hao waliongoza kwa kufuatana walipoenda kufanya mtihani wa usaili kujiunga na shule ya Marıan wasichana.Hiyo consistency inakujengea taswıra kuwa watoto wanaofaulu, wengi wanakuwa na uwezo.

Fırst dıvısıon za advance nyingi n za wale walokuwa na daraja hlo Olevel na hiyo haifichikı.Tuache kulalamika ovyo, tujıandae na tuwaandae wanetu vizuri.Acha mambo etı matokeo ya mwanangu kapewa mtoto wa Tusiime au Marian.Shule zilizokuwa zinafanya vizurı wakati wa Ndalichako ndo hzohzo zinaendelea kufanya vizurı.

So unabisha kuwa mitihan huwa haivuji?,then haiwezekan mtu akapata III form IV na Baadae akapata I form VI?
 
Kaka kuna wazazi wanatoa mpaka pesa ili watoto wao wapate mitihani...........Nashangaa watu wanabisha kitu kisicho cha msingi...

Ni bora nipate Div four kuliko kupata one ya mazingaombwe
Yaan nashangaa hawa wanaombishia MchunguZI,mara ngapi pepa zimevuja nnchi hii na mitihan ikafutwa?
 
Last edited by a moderator:
huwa inapendeza sana pale unapopinga jambo ukaja na concrete evidenc, yeye mwanae amekuja na kamweleza ivo, wewe unatokwa na povu, kubisha, kwani haya mambo yameanza leo basi? mimi mwenyewe nishawah kupata pepa ikitokea forest moro miaka hiyo! msibishe hizi mambo zipo
 
Hapana! Acha udanganyifu. Hizo products za Marian au Feza,Cannosa, nk. umesikia matokeo yao Vyuo vikuu? na hasa Sayansi? Hakuna kitu!!! Hawaonekani kabisa inabaki sifa tu kwamba tuliongoza sijui kitu gani, bla bla bla, Italian song!

Hayo unayoandika ni uongo mkubwa kabisa! Ukitaka kujua kama mwanafunzi ana uelewa lazima nawe uwe na uelewa.
Facts zilizopo zinaonyesha wazi kwamba ni wachache ambao wanakuwa wazuri F.4 halafu wakawa hivyo tena F. 6. na hasa hao waliotoka hizo shule unazotaja.

Mitihani hii iliyopita ya F.4 kuna mabinti wawili wa familia moja walioshika nafasi za juu. Ukweli uliopatikana ni kwamba mama yao ana uhusiano na mtu aliyeko NECTA na walikomba mitihani, lakini eti sifa zimekwenda ktk familia.

Ukitaka kujua vioja subiri au fuatilia wakiwa F.6 mambo yatakuwaje, halafu baadaye ulizia chuo kikuu, wengi wanatia aibu. Kuna mzazi namfahamu alikomba mitihani yote miwili kwa ajili ya mwanae, yaani F.4 na F.6. Uamuzi kampeleka South Africa kwa kuhofia vyuo vikuu vya TZ kwamba atatiwa aibu.

Hapo ndo tumefikia na watu kama wewe unashabikia.

Mheshimiwa Mchunguzi Huru, mimi sina maslahi yoyote kwenye huu mjadala.Km wewe ni mkweli na ukawa umebahatika kwenda shule ya sekondari japo mpaka advance hauwezi bisha kwamba wanaofaulu vizuri O'level, wengi wao ndo hujitokeza kufanya vizuri hata A'level.Chukulia darasa lako kama mfano.Hao Marian,Feza,Cannosa n.k, siwapi sifa kwamba wanajua kufundisha sana lah, hawa wanachuku wale watoto waliokuwa wazuri shule za msingi na ambao hapo nyuma walizoeleka kupangiwa shule za vipaji maalum kwa lugha ya serikalı.

Nı kazi rahisi kidogo kuwafanya watoto hawa wafaulu mtihani wa kidato cha 4.Vılevıle hawa watoto wanakuwa wametoka shule tofautitofauti zikiwemo za umma na binafsı.Km unataka kujiridhisha, ebu panga ziara,tembelea şhule ya Feza ama Marian, na ukiweza omba uingie darasani na ushuhudia mwalimu anafundisha na ushiriki wa wanafunzi kwenye somo husika.Angalia mitıhani ya wanafunzi walıofanya na kusahihishwa,

angalia maktaba ya shule,maabara, Geography room na ıdara za masomo yote, angalıa wasifu wa walimu na manejiment ya shule hzo then tuletee feedback.Sikatai ırregularities zipo kwenye mitihani lakn not that much big.Chunguza vyuo vikuu vyote na utuletee taarifa kuwa wengi wanaoibuka vinara wa kuwa na GPA kubwa, ufaulu ulikuwaje Advance.Wachache utawakuta walikuwa na div 3 au usiwapate kabisa.
 
Wivu huo.Maswali kutoka kwa wanafunzi wa Tusiime kvp?Ina mwanao alikuwa akitumiwa maswali na wanafunzi wote wa Tusıime au hapo shuleni kwao wenzake nao pia wana marafiki Tusiime?Mtihani wa NECTA format yake ilivyo inawawezesha walimu na wanafunzi makini kuprobe maswali ya mtihani na hilo si kosa na ndıyo maana mwanao amekuambia mengne hayakuwa halisi.

Kama hujui bora ikae kimya, kwani hujui kilichotokea kuhusu TUSIIME SEC?
 
jambo moja tunaloweza kukubaliana ni kwamba mitihani imekua rahisi sana cku izi..... kijana anayemaliza form 4 ukimmuliza maswali kidogo tu ya ufaham haweza jibu lakini unakuta maefaulu vizur tu, inasikitisha.... sielewi kulikua na sababu gan ya kubadilisha syllabus ya 90's ilikua the best kwa kweli
 
Back
Top Bottom