Baraza la mitihani mnasubiri maandamano ndio mtoe matokeo ya mitihani ya UALIMU

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,316
216
Katika kuonyesha kwamba shughuli nyingi za serikali zinaendeshwa kisiasa baraza la mitihani tanzania halijatoa matokeo ya mitihani ya ualimu iliyofanyika mwezi mei.Inaweza kuwa wanasubiri maelekezo toka wizarani ili watakapotoa na ajira ziwe tayari,swali ni kuwa iwapo serikali haina fedha za kuajili walimu kwa sasa Baraza watasubiri kutoa matokeo hadi lini?Ni vema shughuli za utendaji zikatenganishwa na siasa
 
Kwani matokeo ya ualimu kila mwaka yanatoka mwezi wa ngapi??
 
Back
Top Bottom