baraza la mawaziri

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
wakati wananchi wana mategemeo labda mbunge wao atakuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri sisi wa korogwe vijijini hatuna chetu mbunge wetu ni mbumbumbu ile mbaya wala hajui kilicho mpeleka bungeni
 
Hivi ni nani aliwachagulia vileeeeee???
 
Amini nakuambia hata kama mbunge wenu ni mbumbumbu kiasi gani lakini kama ana uswahiba kidogo tu na JK, hatokosa uwaziri so wala usiwe na hofu mkuu.
 
wakati wananchi wana mategemeo labda mbunge wao atakuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri sisi wa korogwe vijijini hatuna chetu mbunge wetu ni mbumbumbu ile mbaya wala hajui kilicho mpeleka bungeni

Kwani nyie mlichagua mbuge ili akawe mwakilishi wenu au mlikuwa na shida na WAZIRI???????????
 
hii nchi inaelekea pabaya sana, ukiwa na uwezo wa kuwanunulia sukari wapiga kura na kuwa na uwezo wa kutoa chochote basi unapata uongozi kilaini....walimuacha Dr.Mndolwa ambaye alikuwa ana nafasi nzuri ya kuwa waziri wakasema wanamtaka kilaza mwenzao......imekula kwenu..
 
Haya na waganga wa kienyeji bungeni, makubwa hayo. Afungue kliniki yake hapo bungeni atapata washirikina wenzie. Labda JK aanzishe wizara mpya ya matibabu ya asili ampe huyo jamaa.
 
Mi huwa nikisoma post ka hizi huwa nacheeeeeeeeeka sana halafu natamani niwaite wote walopiga kura niwachape mpaka basi. Yaani nikwambie tu kuwa kuna mpango wa kuunda wizara mpya ya unajimu na tiba za asili! katibu wa kudumu wa wizara hiyo ni Shekh Yahaya. Haya poleni
 
walichaguliwa ,wala hawakuchagua wenyewe..kama wangechagua wenyewe wasingemwita mbumbumbu..mimi sijui huwa mnachagua tu mnapopewa kofia,t-shirt au sukari bila kufikiria atawafanyia nini..haya kazi kwenu
Hivi ni nani aliwachagulia vileeeeee???
 
Haya na waganga wa kienyeji bungeni, makubwa hayo. Afungue kliniki yake hapo bungeni atapata washirikina wenzie. Labda JK aanzishe wizara mpya ya matibabu ya asili ampe huyo jamaa.

akaanze na YULE WA VUNJO!
 
wakati wananchi wana mategemeo labda mbunge wao atakuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri sisi wa korogwe vijijini hatuna chetu mbunge wetu ni mbumbumbu ile mbaya wala hajui kilicho mpeleka bungeni

atapewa wizara ya michezo ili awe anaroga timu uchukuwe world cup
 
wakati wananchi wana mategemeo labda mbunge wao atakuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri sisi wa korogwe vijijini hatuna chetu mbunge wetu ni mbumbumbu ile mbaya wala hajui kilicho mpeleka bungeni

Kinanani walimpigia kura? au mlikuwa mmekunywa mnazi wakati mnapiga kura?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom