Baraza la mawaziri zanzibar ni kubwa mno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri zanzibar ni kubwa mno

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Nov 17, 2010.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Jamani zanzibar ina watu mil 1.xx inakuwaje baraza la mawaziri linakuwa kubw sana.
  Kweli tunataka maendeleo au kupeana ajira tu?? CUF kwa nini msingekataa, Elimu na afya zanzibar bado sana. JAMANI TUNAELEKEA KUPEANA KAZI TU??
   
 2. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Je, baraza la wawakilishi linaundwa na wajumbe wangapi?Kama kuna majimbo hamsini huko Zenji na kuna mawaziri 25, si baraza zima linakuwa la mawaziri? Naomba kukosolewa
   
Loading...