Baraza la Mawaziri wote Wajiuzulu

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Jaman kutoka na uzalilishaji wa Boss wao anapowatembelea maeneo ya kazi inatia huruma. Magufuli na wengine walio tolewa kafala sijui wataanzia wapi? Jk uliwachagua ili uwazalilishe? Hakuna ki2 kinauma kama hiki. Ombi langu.! NAOMBA MAWAZIRI WOTE MTANGAZE KUACHIA NGAZI ili ateuwe wengine 'wachapakazi kama yeye'. Jaman nimejiunga Tanu toka 1966 sawa na FTS
 
kupeperusha bendera kwenye shangingi kuna raha yake bwana! Nani asiekumbana na matusi ya boss wake? Tuulize sisi tunaofanya kazi kwa wahindi ila jioni juu stuli ndefu pale kaunta hukosi.. Halagu unakuja muhudumu anakupiga bao chenji uone moto wake
 
Kweli nakubaliana nawe, hawa jamaa hawana wazo lolote zaidi ya kuitwa mawaziri na ndio maana wanaweza kufanya wanayoyafanya. They know what are they are after! Leo hii tunajua story za akina Mwakitwange (MB) kwa kukataa ubabaishaji na wenyewe tutawakumbuka kwa matendo na misimamo yao ya ulaji na kukataa kujiuzulu japo hawana walifanyalo. ni wanafiki, wezi, wazembe, wababaishaji, viburi, dharau.....
 
Nami nimejiunga na TANU toka mwaka 1966 na baadaye CCM 1977 lakini sijaona upuuzi kama huu. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom