Baraza la mawaziri wa CHADEMA

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Mh. Rais wa JMT Dr. Jakaya M. Kikwete ameisha tangaza baraza lake la Mawaziri. Sasa hebu tupeni hilo la CDM wao wangekuwa na wizara ngapi na mawaziri wangekuwa wakina nani?

1. Waziri Mkuu - F. Mbowe
2. Waziri wa mambo ya nje - F. Ndesamburo
3. Waziri wa Mambo ya Ndani - Zitto Kabwe
4. etc

Haya endeleeni kutaja mawaziri wa CDM tuwaone
 
mh. Rais wa jmt dr. Jakaya m. Kikwete ameisha tangaza baraza lake la mawaziri. Sasa hebu tupeni hilo la cdm wao wangekuwa na wizara ngapi na mawaziri wangekuwa wakina nani?

1. Waziri mkuu - f. Mbowe
2. Waziri wa mambo ya nje - f. Ndesamburo
3. Waziri wa mambo ya ndani - zitto kabwe
4. Etc

haya endeleeni kutaja mawaziri wa cdm tuwaone

chadema ni mawaziri 10 wanatosha kuendesha nchi.
 
chadema ni mawaziri 10 wanatosha kuendesha nchi.

michezo na sanaa - Mr II
Jinsia na wanawake - Mdee
Fedha - Mchungaji wa Iringa (hazitaibwa)
Mambo ya ndani - akae Lema mpambanaji
Kazi na vijana - John Mnyika

inawezekana pia kuwa hakuna vichwa vya kutosha hahahahahhahhhaa
 
michezo na sanaa - Mr II
Jinsia na wanawake - Mdee
Fedha - Mchungaji wa Iringa (hazitaibwa)
Mambo ya ndani - akae Lema mpambanaji
Kazi na vijana - John Mnyika

inawezekana pia kuwa hakuna vichwa vya kutosha hahahahahhahhhaa[/

Kwa kuwa rais anaruhusiwa kuteua wabunge 10 tungewapatawafuatao,
Dr azaveri Lwaitama wizara ya elimu na ufundi
Prof Baregu -mambo ya nje
prof Mlambimbiti -kilimo mifugo na chakula
 
Waweza kuongeza na wengine wanaoweza kupatikana humu JF
 
mbunge wa maswa angekua wizara ya sheria,then tungchuku baadhi toka ccm tusaidia kazi kama mwakyembe,magufuli
 
Chadema wanahaki ya kumteua mtanzania yeyote anayefaa hata kutoka CCM hasa wale wapiganaji wa kweli wa ufisadi - acha wale waliokuwa wanapiga kelele kwa sababu wamekosa. Kama ilivyosemwa kwenye posts zilizotangulia kuwa kati ya wale kumi angeteuliwa Maghufuli, Mwakyembe endapo CCM wangewanyang'nya kadi za chama.

Kwanza mimi mwenyewe hapa ni mtu wa kazi ningeweza kuteuliwa!!!
 
michezo na sanaa - Mr II
Jinsia na wanawake - Mdee
Fedha - Mchungaji wa Iringa (hazitaibwa)
Mambo ya ndani - akae Lema mpambanaji
Kazi na vijana - John Mnyika

inawezekana pia kuwa hakuna vichwa vya kutosha hahahahahhahhhaa[/

Kwa kuwa rais anaruhusiwa kuteua wabunge 10 tungewapatawafuatao,
Dr azaveri Lwaitama wizara ya elimu na ufundi
Prof Baregu -mambo ya nje
prof Mlambimbiti -kilimo mifugo na chakula

Lwaitama hamna kitu hapo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom