Baraza la Mawaziri linaundwa lini baada ya Rais kuapishwa?

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
967
664
Ndugu, kama kichwa cha habari kinavyosema hivi Baraza la Mawaziri linaundwa lini baada ya Rais kuapishwa na je muda wa kuunda Baraza umeainishwa kikatiba au Rais anajiamulia?
 
Ndugu, kama kichwa cha habari kinavyosema hivi Baraza la Mawaziri linaundwa lini baada ya Rais kuapishwa na je muda wa kuunda Baraza umeainishwa kikatiba au Rais anajiamulia?
Ibara ya 51 ya katiba ya JMT imetoa maelekezo, Rais atateua Waziri Mkuu ndani ya siku 14 tokea kuapishwa kwake.
Katiba imetoa maelezo pia, Rais atashairiana na Waziri Mkuu kuunda baraza la mawaziri.

Tujipe muda siku 14 kuanzia leo PM kuteuliwa na kuthibitishwa mjengoni.

Then tutajua akina nani watakuwa mawaziri wa kisekta
 
Back
Top Bottom