Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

Jina la PM mpya litatoa HINT ya wapi JK anaelekea. Hata hivyo ninaamini kuwa ni suala la wakati tu, mengi yatafunuliwa. Sasa tunataka IPTL, DOWANS, SONGAS, MEREMETA, TANGOLD n.k. ili tufungue ukurasa mpya wa historia.
 
Pamoja na haya yote kwa kweli sina budi kuwapongeza wana JF kwa kushikia bango kashfa zote.Kazi inayofanywa hapa si ndogo na imewezakuipa sifa JF kiasi kwamba watu wanaamini sehemu sahihi ya kupata habari sahihi ni JF.
 
Masatu hii mada unaweza usipate thanks...ingikuwa vyema ungempenyezea JJ Mnyika akaimwaga hapa JF..ingepata hits kubwa sana...lkn wewe unajulikana ni mwana CCM damu...
 
Membe si ndio yule kilaza aliyetuambia mbeki anasafiri kuliko Kikwete...i'll protest akipewa hiyo position!
 
Masatu hii mada unaweza usipate thanks...ingikuwa vyema ungempenyezea JJ Mnyika akaimwaga hapa JF..ingepata hits kubwa sana...lkn wewe unajulikana ni mwana CCM damu...

I dont give a damn!
 
Masatu hii mada unaweza usipate thanks...ingikuwa vyema ungempenyezea JJ Mnyika akaimwaga hapa JF..ingepata hits kubwa sana...lkn wewe unajulikana ni mwana CCM damu...

Nina uhakika kuwa Masatu hatafuti Thanx hapa JF wala ujiko wa aina yoyote.
Eti angempenyezea JJ Mnyika, kwani Masatu ana tatizo la kubonyeza keyboard?
 
Is it really? Naam, kama Soap Opera vile...

Kwakweli, this is too much unfolding stuffs to keep up with, let alone digest within 2 days!
 
Masatu hii mada unaweza usipate thanks...ingikuwa vyema ungempenyezea JJ Mnyika akaimwaga hapa JF..ingepata hits kubwa sana...lkn wewe unajulikana ni mwana CCM damu...

Kwi kwi kwi, hivi kuwa mwanaccm dhambi humu JF?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom