YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais asisite kuwapa ubunge wa kuteuliwa wale anaoona wanafaa a kuwapa hata uwaziri ili tushirikiane nao kujenga nchi ni sehemu ya jamii yetu hao pia
Tanzania tunao watanzania Wazungu, Wahindi na Wachina kibao wanaotoa mchango mkubwa sana kwa taifa mfano yuko huyu Mholanzi Mtanzania Mheshimiwa Jonas Van Zeeland huyu alikuwa ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mvomero na amekuwa diwani wa kata ya Diongoya amewatumikia wananchi wa wilaya ya Mvomero kwa awamu mbili mfululizo, tangu mwaka 2010 hadi 2020.
Raisi asisite pia kuwapa nafasi mbalimbali za uteuzi kwenye capacity anazoona wanafaa kuwepo kwa uwezo walionao katika serikali na taasisi za umma.