Baraza la mawaziri la Rais Dr. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri la Rais Dr. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kipipili, Sep 20, 2010.

 1. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  katika mkutano wake wa kampeni huko Arusha Dr. Slaa ameahidi kuunda baraza la dogo la mawaziri ambao hawatazidi 20 ukichanganya na manaibu wao, wizara zitakuwa kama ifuatavyo:
  1.fedha na uchumi (kilimanjaro)
  2.ulinzi na jkt
  3.mambo ya ndani
  4.mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa (dar es salaam)
  5.elimu, sayansi na teknolojia
  6.afya na ustawi wa jamii
  7.kilimo na ushirika (kanda ya ziwa)
  8.maji, nishati na madini (kigoma)
  9.mawasiliano na uchukuzi
  10.tamisemi
  11.sheria na katiba (singida)
  12.utumishi na utawala bora
  13.viwanda na biashara (kilimanjaro)
  14.maliasili, utalii na mazingira
  15.ardhi na maendeleo ya makazi (dar es salaam)
  16.habari, utamaduni na michezo
  sijaona ulazima wa kuwa na manaibu waziri(kwani hata hivyo si wajumbe wa baraza la mawaziri, zaidi ni kama personal assistants wa mawaziri) lakini ikibidi wizara zilizokuwa bolded zinaweza kuwa na manaibu waziri.
  kwenye mabano ni baadhi maeneo ambayo mawaziri wa wizara hizo watatoka.
  wadau mnaonaje hapo si tutasonga mbele, au kama kuna haja ya kuzichakachua zaidi wizara.
  ni maoni tu wakuu mawazo yenu yanahitajika
   
 2. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  4.Wizara ya mambo ya nje,africa ya mashariki na ushirikiano wa kimataifa.
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kuanzia 11 mpaka 16 sio lazima ziwe wizarazaweza kuwa idara katika wizara fulani eg viwanda na biashara iende fedha, uchumi na mipango, maliasili na mazingira iende kilimo utalii linaweza kuundwashirika kubwa la kuangalia hivyo amabalo litalink na wizara moja, habari na utamadumi na michezo inaweza enda wizara ya elimu.

  Ardhi ibakie ila wafanyakazi na watendaji wote wapewe redundancy kuanzia katibu mkuu ili kuondoa uozo uliopo.

  zitabaki wizara 11 tu, sheria na katiba inaweza kuwa chini ya PM moja kwa moja.
   
 4. u

  urassa Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona wafanyakazi waliopo kweye wizara zitakazo kufa waingizwe kwenye idara zitakazo undwa, issue kubwa hapa ni hayo mashangingi,siyo vizuri kutemper na ajira ya mpiga kura wako.
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kunani Kilimanjaro?!, fedha uchumi na viwanda. Mbona sijaona Kusuni? Lindi na Mtwara
   
 6. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Asante kiongozi...lakini natatizwa na uteuzi wa mawaziri eti kutokana na maeneo wanayotoka. Labda kama sijakuelewa.
  Hii itaibua hisia za matabaka huko baadae. The ministers' appointments must be on merit.
   
 7. minda

  minda JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  :clap2: cha msingi ni wizara siyo nani atapewa wizara hiyo (ulaji) vinginevyo nitakuhisi kuendeleza hoja ya ukabila na udini iliyozushwa na HC ikashindikana...
   
 8. F

  Felister JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Kwakeli umenena!

  Kwaushauri wizara ya kilimo na ushirika iwe WIZARA YA KILIMO NA MAENDELEO VIJIJINI kwa maana kilimo ndiyo ajira rasmi kijijini so when you link the two na kufanya ushirika kama means ya ku connect the two hapo hata ndoto za kuondoa nyumba za tope na nyasi ni within a time frame of not more than 10 years.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kilimo na ushirika kwa Lake zone si vyema mtu wa iyo wizara angetoka southern highlands alafu lake zone wakapewa Madini
   
 10. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhe. Kipipili,

  Hao mawaziri ulioonyesha mikoa wanapotoka ni kutokana na Dk. Slaa kukueleza ndiyo sababu ya kuwateua? Najua Dk. Slaa atazingatia uwezo na uadilifu wa atakayemteua, na sio mahala anapotoka waziri. Huo ndio msimamo wa CHADEMA.

  Mhe. Kipipili hakuonyesha origins za mawaziri wengine. Kwa hiyo wanaJF wanaolalamika hawaoni mwakilishi wa kusini, wapigie kura tu wagombea wa CHADEMA wanaotoka kusini na watateuliwa. Dr. Slaa ni mwana siasa anayefahamu sensitivity za wananchi, na nina hakika ataonyesha balance katika Baraza lake la Mawaziri.

  Tumpe kura zetu na tuchague wabunge wa sehemu zote, na atatupa Cabinet ya kitaifa.
   
 11. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahis uwo mgaawanyilko utakuwa ni wa kiub.g.i lakini sijui coz kusini hajatajwa apo
   
 12. S

  Shimwela Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi maona ziwe 19 andoe wiraza ya utamaduni habari na michezo na kuiunganisha na wizara ya elimu. Sisahihi kabisa na huu ni ubaguzi kuonesha mawaziri wa baadhi ya wizaramaeneo watakakotoka.may be kunasababu za msingi other wise haina tija
   
 13. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hana lolote huu ndo dalili za ukabila
   
Loading...