Baraza la mawaziri la Mh Kikwete miezi kadhaa baada ya uteuzi: Nini maoni yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza la mawaziri la Mh Kikwete miezi kadhaa baada ya uteuzi: Nini maoni yako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bwegebwege, Jun 13, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wana JF;

  Nimekaa na kulifikiria sana baraza la Mawaziri wa serikali ya CCM inyoongozwa na JK!

  Nimekwenda mbali zaidi kwanza kukukmbuka hotuba zake ndeeefu wakati wa kampeni akisoma Ilani ya Uchaguzi ya CCM na ahadi za chama chake!! Naamini ahadi za CCM ni nyingi kuliko ahdi zilizowahi kutolewa na chama chochot ekile cha siasa Afrika (maybe dunia nzima, who knows?)...Pamoja na yote CCM imeendelea kufurahia matunda ya kuwa na wananchi wapole na wanaoshindwa kufuatilia na kushinikiza serikali itimize ahadi!! Kwa mtindo huu wataendelea kutesa sana tu....
  NIkakumbuka pia siku ile alipokuwa anatangaza baraza lake la mawaziri...kwa mbwembwe kama kawaida yake, akisifu uteuzi wake mwenyewe....(as if ni watu wa kazi kweli)!!

  SWALI
  Nini maoni yako?? Umeonaje utendaji wao kwa kipindi cha miezi takriban 8 tokea wateuliwe?? Kwangu mimi naona ni mtu mmoja tu amekonga nyoyo za watanzania JOHN MAGUFULI...Ingawa JK na Pinda wameonyesha dalili za kutaka kumpunguza makali....the rest, hasa Pinda na Nahodha ni hovyo kabisa....

  Nini maoni yako? Tusaidiane kuwaeleza ukweli wahusika
   
Loading...