Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

Baada ya kumfukuza Nyoni, nafikiri it is high time baraza nalo likabadilika jamani, mimi napendekeza ifuatavyo!
15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
hapa utabana matumizi sana, gari mwisho naibu katibu mkuu na siyo VX, wale wengine wape mikopo na fuel allowance, matumizi ni makubwa sana serikali ni maskini.
JF this is just a dream! I wish it could be like this wamalizie kabla hatujaingia sisi wenyewe. Wala msikubali kuchanganyika wacha wamalizie wenyewe kwa wenyewe.
 
Mshahara: Intelijensia ya madaktari milioni 3; Intelijensia ya polisi, laki moja! ha! ha! ha!!!!
 
Yaani fisadi kama Nyalandu ndio umuweke kule kwenyewe kabisa!! makamu wa rais hateuliwi ni mgombea mwenza wakati wa uchaguzi mkuu ndugu acha ndoto za ugimbi hizo!!
 
Hilo ni baraza lako la mawaziri ila bahati mbaya wewe si rais. Mbona umerudisha wale wale waliochoka na kunuka. Mary Nagu na digrii yake feki vipi? Khatibu ana jipya gani hadi awe makamu wa rais? Baraza lako la mawaziri ni la kifisadi. Yaani hata Makamba yumo! Kumbe wewe ni kuwadi wa mafisadi!
 
M S KHATIB anapendekezwa kuingia kuwa Waziri wa Nchi ktk Ofisi ya Makamu wa Rais.

Hata hivyo utakuwa na wote Wazanzibari, yeye na boss yule bingwa wa kuzindua.
 
Baada ya kumfukuza Nyoni, nafikiri it is high time baraza nalo likabadilika jamani, mimi napendekeza ifuatavyo!
15 ministries only
1 Ikulu - Dr Mary Nagu
2 Vice President- Muhamad Seif, rudisha huyu jamaa anaweza
3 PM- Mwanri
4 Fedha- Nyalandu
5 Energy, minerals and water- Makamba
6 Foreign and EA -Membe
7 Health- Dr. Mwinyi (Huyu ni MD)
8 Education and vocational- kawambwa
9 Home affairs, defence and national Service- Nahodha- ya muungano hii
10 Industry, trade, youth, sports and culture- Dr. Mathayo David
11 Tourism-Maige
12 Agriciulture, livestock, fisheries- Sitta
13 Works and transport- Magufuli
14 Lands and setlement- Tibaijuka
15 Justice and Const-Dr. Asha Rose Migiro -she is coming home!
hapa utabana matumizi sana, gari mwisho naibu katibu mkuu na siyo VX, wale wengine wape mikopo na fuel allowance, matumizi ni makubwa sana serikali ni maskini.
JF this is just a dream! I wish it could be like this wamalizie kabla hatujaingia sisi wenyewe. Wala msikubali kuchanganyika wacha wamalizie wenyewe kwa wenyewe.

Pamoja sana hapo kwenye waziri mkuu. Jamaa yuko strong sana. Tatizo liko kwa raisi
 
Ccm wasivyokuwa na aibu, hao waliokataliwa na kufukuzwa, kesho utawasikia ni mabalozi wa nchi mbalimbali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom