baraza la mawaziri kuvunjwa February 2012

mmmmmmmmmmmmh,ngoja tusubiri kwani lilisha ongelewa ktk gazeti la mwanaharisi mwenzi uliopita,subira yavuta kheri ngoja tusubiri mkuu
 
Ni tetesi tuuuuu

Kama ni kweli basi itakuwa ni usanii tu, maana likiundwa upya watakuwa ni wale wale. Bora anayetaka kulivunja Baraza hilo (kama ni kweli) ajiuzulu kwa sababu kazi imemshinda. Urais si lelemama.
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni usanii tu, maana likiundwa upya watakuwa ni wale wale. Bora anayetaka kulivunja Baraza hilo (kama ni kweli) ajiuzulu kwa sababu kazi imemshinda. Urais si lelemama.

Naunga mkono hoja!
 
Kweli itakuwa ni usanii tu maana yeyote alieko ndani ya mfumo CCM wote wameoza na mfumo ulishawaathiri brain zao,usitegemee kuna jipya,cha msingi labda anaewateua akijiuzulu itasaidia maana tutarudi kwenye uchaguzi
 
Kama ni kweli basi itakuwa ni usanii tu, maana likiundwa upya watakuwa ni wale wale. Bora anayetaka kulivunja Baraza hilo (kama ni kweli) ajiuzulu kwa sababu kazi imemshinda. Urais si lelemama.

Unataka kuniambia urais sio masaburi kila mtu anayo?
 
Mkuu anataka kumrudisha Lowassa nini? Nalog off

He...he........heeeeeeeeeeeeeee...........Njia ina mwanga MKALI kwa EL to WH.........Baada ya kukoswa koswa wakati ule wa sakata la JAIRO........sasa hachomoki mtu.........

MY WORD IS MY BOND........
 
Back
Top Bottom