Ndugu wanajf. Tuungane kushusha chini Baraza jipya tarajiwa la serikali mpya ya Chadema kama Chama kitabahatika kushinda mwaka 2015.
Naanza kutaja wafuatao kama chaguo langu;
1. Dr. W.Slaa - Rais,
2. Tundu Lissu - Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
3. Zitto Zubery Kabwe - Waziri wa mambo ya Nchi za nje,
4. G. Lema - Waziri wa ulinzi na usalama,
5. Wenje - Waziri wa Utalii,
6. Joseph Mbilinyi - Waziri wa utamaduni na michezo,
7. Halima Mdee - Waziri wa Katiba na sheria &
8. F. Mbowe - Waziri wa Nishati na Madini.
Tusaidiane kukamilisha Baraza letu kwa viongozi waliopo sasa, kwani wanaojiunga na Chama na kuwapa madaraka la kukijua Chama wanakuwa wepesi wa kutusaliti. Kwa sababu hawawezi kuwa na uchungu na mali za umma.
Nawakilisha