Baraza la MAWAZIRI 2008 - 2010

Bado Niponipo

JF-Expert Member
Aug 15, 2008
680
168
Baraza la Mawaziri - Tanzania - 12.Feb. 2008

1. (Menejimenti utumishi wa umma) - Hawa Ghasia.

2. (Ofisi ya Rais muungano) - Seif Mohamed Khatib.

3. (Mazingira) - Batilda Burian.

4. (Ofisi ya waziri mkuu utaratibu wa bunge) - Philipo Marmo.

5. (Tamisemi Tawala za mikoa na serikali za mitaa) - Stephen Wasira, naibu Serena Kombani.

6. (Wizara ya mipango na Fedha) - Mustafa Mkulo, manaibu Jeremia Sumari na Omari Yusuph Mzee.

7. (Afya na ustawi wa jamii) - Prof. Mwakyusa, Naibu Asha Kigoda.

8. (Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi) - John Chiligati.

9. (Elimu na mafunzo ya ufundi) - Prof Jumanne Maghembe, Manaibu Gaudensia Kabaka , na Mwantum Mahiza.

10. (Mawasiliano, Sayansi na Technologia) - Shukuru Kawambwa, Naibu Maua Daftari.

11. (Miundo mbinu) - Andrew Chenge, Naibu Milton Mahanga.

12. (Habari Utamaduni na Michezo) - George Huruma Mkuchika, Naibu Joel Bendera.

13. (Kazi Ajira na maendeleo ya Vijana) - Prof Juma Kapuya, Naibu Ezekiel Chibulunje.

14. (Maji na Umwagiliaji) - Prof. Mark Mwandosya, Naibu wake ni Engineer Christopher Chiza.

15. (Kilimo Chakula na Ushirika) - Prof. Peter Msola, Naibu Mathayo David Mathayo.

16. (Maendeleo ya jamii Jinsia na Watoto) - Magreth Sitta, naibu Lucy Nkya.

17. (Maendeleo ya mifugo na uvuvi) - John Pombe Magufuli, Naibu DR. James Wanyancha.

18. (Maliasili na utalii) - Shamsa Mwangunga, Naibu Ezekiel Maige.

19. (Mambo ya Ndani) - Lawrence Masha, naibu Hamis Kagasheki.

20. (Wizara ya Katiba na Sheria) - Mhe. Mathias Chikawe.

21. (Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa) - Bernard Membe, naibu Seif Ally Idi.

22. (Wizara ya Nishati na madini) - Wiliam Ngereja, Naibu ni Adam Malima.

23. (Wizara ya Ulinzi) - Hussein Ally Mwinyi, Naibu Emmanuel Nchimbi.

24. (Wizara Ya Afrika Mashariki) - DR. E Kamala, naibu Mohamed Abdul.

25. (Viwanda na Masoko) - Mary Nagu naibu Cyril Chami.
MWISHO.

MY TAKE:-

Wakuu twende mbele tukirudi nyuma japo kwa kidogo.
Je waliongizwa kwenye baraza la sasa 2010-1015 kutoka kwenye list hii wanastahili na je kuna walioachwa ambao unadhani walistahili kuingia kwenye baraza jipya la 2010-2015.

Wasalaam
BNN
 
Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
3,821
1,791
Baraza la Mawaziri - Tanzania - 12.Feb. 2008

1. (Menejimenti utumishi wa umma) - Hawa Ghasia.

2. (Ofisi ya Rais muungano) - Seif Mohamed Khatib.

3. (Mazingira) - Batilda Burian.

4. (Ofisi ya waziri mkuu utaratibu wa bunge) - Philipo Marmo.

5. (Tamisemi Tawala za mikoa na serikali za mitaa) - Stephen Wasira, naibu Serena Kombani.

6. (Wizara ya mipango na Fedha) - Mustafa Mkulo, manaibu Jeremia Sumari na Omari Yusuph Mzee.

7. (Afya na ustawi wa jamii) - Prof. Mwakyusa, Naibu Asha Kigoda.

8. (Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi) - John Chiligati.

9. (Elimu na mafunzo ya ufundi) - Prof Jumanne Maghembe, Manaibu Gaudensia Kabaka , na Mwantum Mahiza.

10. (Mawasiliano, Sayansi na Technologia) - Shukuru Kawambwa, Naibu Maua Daftari.

11. (Miundo mbinu) - Andrew Chenge, Naibu Milton Mahanga.

12. (Habari Utamaduni na Michezo) - George Huruma Mkuchika, Naibu Joel Bendera.

13. (Kazi Ajira na maendeleo ya Vijana) - Prof Juma Kapuya, Naibu Ezekiel Chibulunje.

14. (Maji na Umwagiliaji) - Prof. Mark Mwandosya, Naibu wake ni Engineer Christopher Chiza.

15. (Kilimo Chakula na Ushirika) - Prof. Peter Msola, Naibu Mathayo David Mathayo.

16. (Maendeleo ya jamii Jinsia na Watoto) - Magreth Sitta, naibu Lucy Nkya.

17. (Maendeleo ya mifugo na uvuvi) - John Pombe Magufuli, Naibu DR. James Wanyancha.

18. (Maliasili na utalii) - Shamsa Mwangunga, Naibu Ezekiel Maige.

19. (Mambo ya Ndani) - Lawrence Masha, naibu Hamis Kagasheki.

20. (Wizara ya Katiba na Sheria) - Mhe. Mathias Chikawe.

21. (Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa) - Bernard Membe, naibu Seif Ally Idi.

22. (Wizara ya Nishati na madini) - Wiliam Ngereja, Naibu ni Adam Malima.

23. (Wizara ya Ulinzi) - Hussein Ally Mwinyi, Naibu Emmanuel Nchimbi.

24. (Wizara Ya Afrika Mashariki) - DR. E Kamala, naibu Mohamed Abdul.

25. (Viwanda na Masoko) - Mary Nagu naibu Cyril Chami.
MWISHO.

MY TAKE:-

Wakuu je wote waliofukuzwa waliharibu au chuki majungu + kujuana
Je walioteuliwa upya walifanya yapi ?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom