Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 301
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mapinduzi kujadili na kupitisha rasimu ya sheria ya kura ya maoni juu ya uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa.
Inasemekana kikao hicho kimeitishwa ghafula kutokana na uvumi kuwa kuna mpango toka bara wa kukwamisha kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha muda wajumbe hao watakutana leo na wamepewa taarifa ya muda mfupi kuliko kawaida yake
Tunaomba mwenye taarifa zaidi atujulishe.......