Baraza la Madiwani Ikungi lapitisha azimio maalum la kumpongeza Rais Samia Suluhu

Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Lissu kakaa miaka 10 pale hewa tu ,

Hongera mama kumsaidia Tundu Lissu

Kazi iendelee na Rais Samia Jembe letu,
Madhara ya kuugua sana utoto ndio yanaonekana ukubwani......but unaweza kutana na wataalamu wa afya wakakusaidia
 
Lissu kakaa miaka 10 pale hewa tu ,

Hongera mama kumsaidia Tundu Lissu

Kazi iendelee na Rais Samia Jembe letu,
We jamaa lisu alikaa majimbo yote mawili? Halafu inakuwaje mbunge unamlinganisha na raisi?
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Singida lenye majimbo ya Singida Mashariki na Singida Magharibi na kata 26 lililohudhuriwa na DC Jerry Muro limeketi kwa mafanikio

Baraza hili limepitisha "Azimio Maalumu " la kumpongeza Rais Samia baada ya kupokea Bilioni 2.6 za kujenga madarasa 67 Sekondari, madarasa 65 Shule Msingi na milioni 860 za miradi ya maji.Hii haijawahi kutokea katika historia ya Ikungi,

Mtaturu yuko vizuri
 
Kwamba huyo Samia hizo hela ametoa kwenye akaunti yake binafsi au ? hivi bado nchi hii ina watu mabwege kiasi hiki !
Zile hela ingewezekana hata kupeleka kwenye ujenzi wa SGR au kwokwote,ila rais kwa mapenzi yake mapana kwa nchi yetu kaamumua kuzimwaga mtaani. Kule Ikungi kulikuwa na shida ya hela na awamu iliyopita ilijaribu kuchangiza ila hawakufanikisha. This time mama amemwaga hela hadi madarasa ya akiba. Hivi ingekuwa ww mkazi wa huko ungefanya nn tofauti na kumshukuru? Pesa inaenda mtaani na sio kulipa wachina na wahindi na mwisho wa siku sinajazana forex huko. Asiye ona na kuafiki haya basi asubiri ajaye. Ila huyu ndie Alfa na Omega. Wamepita wengi na watafika wengi ila huyu ndie roho ya nchi. 1. Nyerere 2. Samia Saluhu Hasan. Over!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom