Uchaguzi 2020 Baraza la Maaskofu Katoliki wamesisitiza amani na uadilifu vizingatiwe kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho

BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania.

Aidha, maaskofu hao wamesisitiza amani na uadilifu vizingatiwe kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho.

Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani TEC, Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima walitoa wito huo jana kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam.

Waliwataka Watanzania waongozwe na dhamiri nyoofu kwa kufanya uamuzi sahihi kwa maslahi ya taifa badala ya maslahi binafsi.

Walisisitiza Watanzania kupitia imani zao wauombee Uchaguzi Mkuu uwe wa amani na salama na uzae matunda tarajiwa kwa nchi kupata viongozi bora.

Askofu Mkuu Ruwa'Ichi aliwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kesho na kupiga kura kwa uelewa mpana, ukomavu na uzalendo na kuzingatia amani na maendeleo ya jamii.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam alivihimiza vyombo vyote vinavyohusika kuratibu na kusimamia Uchaguzi Mkuu vizingatie sheria, taratibu na maadili ya kazi ili wapigakura wawe na imani na uchaguzi huo.

"Tuwe makini kufuata sheria, kanuni na miongozo inayotolewa na mamlaka husika katika kipindi hiki cha uchaguzi hususan Tume ya Taifa ya Uchaguzi."

"Uchaguzi ni zoezi la kiraia linalohusisha haki za kirai hivyo Watanzania wote waheshimu zoezi hilo na kushiriki kwa unyofu mkubwa wa moyo, nidhamu, ukomavu, uzalendo na uwajibikaji wa hali ya juu," alisema Askofu Mkuu Ruwa'Ichi.

Padri Kitima alisema wapiga kura wanapaswa kuongozwa na dhamiri nyoofu wakati wa kupiga kura kwa manufaa mapana ya Watanzania na taifa kwa jumla.

Akiwa na Padri Chesco Msaga, Padri Kitima alisema miongoni mwa mambo muhimu yanayoweza kulivusha salama taifa katika Uchaguzi Mkuu ni vyama vyote kuwa na haki sawa.

Aidha, aliwataka wadau wa uchaguzi waheshimu matokeo yatakayotangazwa.

"Tume ndiyo refa mkuu baada mchezo anayeshinda kubali hivyo, tunaomba mratibu mkuu wa kazi hii ya uchaguzi ambaye ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi aheshimiwe na kusikilizwa, sisi tuna imani na tume hii hivyo wadau wake wote wazingatie uadilifu wa kisheria na kiutu kwa kuwa Mungu anataka watu wote waheshimu dhamira za watu ili tupate matokeo mazuri," alisema Padri Kitima.

Bandiko hili halikuzingatia kanuni za upashanaji wa habari.

Kusema kuwa BARAZA LA MAASKOFU LIMETAMKA lakini ukawanukuu Askofu Ruwaichi na Padre Kitima, kila mmoja akiongea kivyake, mahali kusikojulikana na akiongea na watu wasiojulikana, ni usanii.

Mwandishi anaripoti: "Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani TEC, Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima walitoa wito huo jana kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam."

Kisha anamnukuu Askofu Ruwaichi kusema:

"Uchaguzi ni zoezi la kiraia linalohusisha haki za kirai hivyo Watanzania wote waheshimu zoezi hilo na kushiriki kwa unyofu mkubwa wa moyo, nidhamu, ukomavu, uzalendo na uwajibikaji wa hali ya juu,"

Je, ameyasema haya chini ya kofia gani? Ya uaskofu, uraia au uenyekiti wa Tume ya Haki na Amani?

Na hatimaye anamnukuu Padre Kitima kutamka:

"...sisi [TEC] tuna imani na Tume hii [ya uchaguzi]..."--Padre Kitima, Katibu Mkuu wa TEC.

Je, Kitima ameyasema haya chini ya kogia gani? Ya upadre, uraia, au ukatibu wa TEC?

Bila kuweka bayana majibu ya maswali haya, mwandishi anahitimisha hivi:

"BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania."

Kweli? Ruwaichi ni msemaji wa TEC?

TEC siku hizi wamekuwa watu wa kubahatisha kiasi hiki?

Wao ni wageni katika nchi hii hadi watoe tamko lisiloakisi ukweli kiasi hiki juu ya Tume ambayo tayari imepoteza uhalali wa kimaadili wa kutekeleza majukumu yake?

Lakini kubwa zaidi, msingi wa imani hiyo waliyo nayo kina Kitima ni upi?

Ningeamini kauli hiyo kama kina Fr. Kitima wangesema kitu juu ya uvunjifu wa haki za wapiga kura na wagombea. Hawakufanya hivyo.

Kwa hiyo, mchapo ufuatao unawahusu mpaka hapo watakapokanusha bandiko hili.

=============
TEC REPORTED TO ENDORSE NEC SANCTIONED ELECTORAL VIOLENCE IN TANZANIA'S 2020 GENERAL ELECTIONS

The Bishop of Dar es Salaam Catholic Archi-Diocese, Thadeus Ruwaichi, and the TEC Secretary General, Fr. Kitima, have been reported to express ungounded confidence in the performance of NEC despite its conducts which are overtly violative of voters' and political aspirants' rights in the ongoing general elections.

Their utterances have been attributed to TEC as a whole, despite the absence of a signed and quotable statement from this supreme collaborative organ of the Catholic Church in Tanzania.

The opposition candidates for presidential, parliamentary and councillorship electoral race of 2020 in Tanzania have beenfacing systemic and isolated incidents of violence from the early days of the election process and continue to witness violence until now as 10 election days are left.

Systemic violence was overtly and covertly orchestrated by the National Electoral Commision’s agents responsible for nominating presidential, parliamentary and councilorship candidates.

Evidence on record indicates that 1,020 Chadema councillorship aspirants were disqualified out of 3,754 candidates who were in the race in 3,955 wards in mainland Tanzania.

Also 53 Chadema candidates for parliamentary seats were eliminated from election participation out of 244 hopefuls approved by Chadema to contest the October 28 elections.

They were eliminated even before the election whistle had been blown.

In Zanzibar, the opposition political party ACT-Wazalendo suffered a similar blow where a total of 47 candidates including 16 from Pemba were disqualified by the Zanzibar electoral commission.

“Candidate disqualification has been done unjustifiably against legal procedures and rules,” Lissu, the presidential candidate through Chadema, told his supporters during the public rally held recently at Zakhem grounds in Dar es Salaam.

These violence incidences have confounded the long standing belief that the National Election Commission is also firmly under executive control and hence neither free nor fair to all stakeholders.

Tundu Lissu, the opposition firebrand is running for presidence to replace the incumbent President John Magufuli in the 2020 general elections. He has been on the campaign trail since August 26, drawing massive crowds at each stop. He has also faced systemic violence.

Recently, the National Electoral Commission suspended Lissu’s campaign for seven days, accusing him of using “seditious language” that allegedly violated election rules.

Generally, all opposition candidates have fell victims of systemic violence as campaign posters have been weaponized by the government, which recently enacted a new tax on posting promotional materials, making it too expensive for the opposition to print and share posters, placards and fliers.

However, as a matter of common sense, it would appear that, a political party should not be subjected to paying taxes on posters since election posters are a public service, where citizens get a chance to know the candidates.

Apart from Systemic violence, presidential, parliamentary and councillorship candidates from the opposition who succeeded to cross the nomination line, have on the other hand suffered violence this time implemented by the law enforcement organs such as the police force and the members of the secret service.

The police force tear gassed Lissu’s convoy as he traveled to a rally at Nyamongo in Geita region, firing chemicals into the crowd for some 15 minutes. A disturbing video shared on social media showed people bleeding after apparently having been beaten with sticks in clashes with security forces.

Similarly, his convoy was stoned by supporters of CCM as he was travelling from a political rally held in Chato the home ground of President Magufuli.

The parliamentary aspirant for Karagwe constituency was remanded for 24 hours for no obvious reason as he tried to hold an internal meeting in Chanika ward as a preparation for his public rallies.

The homestead of Freeman Mbowe, the parliamentary aspirant for Hai constituency, was recently invaded by armed team that walked away with key documents collected from this house, as Mbowe and his family were at the Church. House guards were threatened by being fired at and ordered to lie down.

Similarly, the security guards for Ester Matiku, the parliamentary aspirant for Tarime rural constituency were forcibly arrested by the police for no obvious reasons, and they are still under policy custody up to now.

Councillorship aspirants too have been forced to dance the music of violence. For example, in Karagwe constituency, councillorship aspirants for Bugene, Kayanga and Chanika wards, were denied nominations. They contested the disqualification and their referrals were allowed. However, in a week they were served with other letters from NEC telling them that their referrals were unsuccessful.

The first round letter were issued by the NEC office at Dodoma while the second round letters were issued by NEC offices at Dar es Salaam. The same organ issued contradictory decisions, this being an indication that they were working an the influence of protecting the interests of the executive. They have not been allowed by NEC to start campaigsn to date as ten days are left.

This trend of violence suggests that as the nation moves closer to 28 October 2020, which is the vote casting day, more violence should be expected. The opposition have to expect the unexpected.
 
Katoliki akiingia muislamu utashangaa nyaraka Kali Kila siku.Akiwa Mkristo Mkatoliki wanafumba macho ,Ila Sasa Waislamu ha ha ha hawa hata msimamo wao sijuagi kazi kusema tu mfumo Kristo wakati muda Kama huu ndo wapo bize kuuweka Madarakani Mfumo Kristo
 
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania.

Aidha, maaskofu hao wamesisitiza amani na uadilifu vizingatiwe kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho.

Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani TEC, Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima walitoa wito huo jana kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam.

Waliwataka Watanzania waongozwe na dhamiri nyoofu kwa kufanya uamuzi sahihi kwa maslahi ya taifa badala ya maslahi binafsi.

Walisisitiza Watanzania kupitia imani zao wauombee Uchaguzi Mkuu uwe wa amani na salama na uzae matunda tarajiwa kwa nchi kupata viongozi bora.

Askofu Mkuu Ruwa'Ichi aliwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kesho na kupiga kura kwa uelewa mpana, ukomavu na uzalendo na kuzingatia amani na maendeleo ya jamii.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam alivihimiza vyombo vyote vinavyohusika kuratibu na kusimamia Uchaguzi Mkuu vizingatie sheria, taratibu na maadili ya kazi ili wapigakura wawe na imani na uchaguzi huo.

"Tuwe makini kufuata sheria, kanuni na miongozo inayotolewa na mamlaka husika katika kipindi hiki cha uchaguzi hususan Tume ya Taifa ya Uchaguzi."

"Uchaguzi ni zoezi la kiraia linalohusisha haki za kirai hivyo Watanzania wote waheshimu zoezi hilo na kushiriki kwa unyofu mkubwa wa moyo, nidhamu, ukomavu, uzalendo na uwajibikaji wa hali ya juu," alisema Askofu Mkuu Ruwa'Ichi.

Padri Kitima alisema wapiga kura wanapaswa kuongozwa na dhamiri nyoofu wakati wa kupiga kura kwa manufaa mapana ya Watanzania na taifa kwa jumla.

Akiwa na Padri Chesco Msaga, Padri Kitima alisema miongoni mwa mambo muhimu yanayoweza kulivusha salama taifa katika Uchaguzi Mkuu ni vyama vyote kuwa na haki sawa.

Aidha, aliwataka wadau wa uchaguzi waheshimu matokeo yatakayotangazwa.

"Tume ndiyo refa mkuu baada mchezo anayeshinda kubali hivyo, tunaomba mratibu mkuu wa kazi hii ya uchaguzi ambaye ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi aheshimiwe na kusikilizwa, sisi tuna imani na tume hii hivyo wadau wake wote wazingatie uadilifu wa kisheria na kiutu kwa kuwa Mungu anataka watu wote waheshimu dhamira za watu ili tupate matokeo mazuri," alisema Padri Kitima.
Hili limekuwa sawa na baraza la bakwata tu badala ya kuikemea tume Jinsi process ilivyokuwa inakiukwa baraza la maaskofu DRC walisimama na wanainchi TEC ni bakwata iliyojificha
 
TEC wamekuwa genge la wahuni na wachumia matumbo.
Kanisa katoliki Tanzania ni hovyo kabisa tofauti na nchi nyingine ambapo ndio hutoa mwaka na tumaini la haki na usawa na ukweli bila kuangalia cheo cha mtu.
Pumbafu kabisa, hivi hawaoni hujuma na dhuluma inayofanywa na tume ya uchaguzi?
Fr. Kitima na Tec njooni mpate Ujumbe Hamna tofauti na bakwata Kabisa mnahitaji zaidi sadaka zetu kuliko haki zetu
 
TEC wamekuwa genge la wahuni na wachumia matumbo.
Kanisa katoliki Tanzania ni hovyo kabisa tofauti na nchi nyingine ambapo ndio hutoa mwaka na tumaini la haki na usawa na ukweli bila kuangalia cheo cha mtu.
Pumbafu kabisa, hivi hawaoni hujuma na dhuluma inayofanywa na tume ya uchaguzi?
Wamekuwa bakwata b hawa
 
Kwa hiyo huyo refa mkuu hamna cha kumwambia hata kidogo? Kumkumbusha kiapo na kutenda haki, kuanzia kupiga kura, kuhesabu na kutangaza hamna onyo lolote la kumwambia? Kwamba ni wapiga kura tu ndio wa kuonywa kweli?
Hawa jaona hujuma za tume kukata wagombea kupitisha bila kupingwa halafu wanatuomba mavuno watakula huko wanakoshabikia TEC
 
Hao maaskofu ni PhD tupu lakini kichwani wana funza badala ya akili.Amani itatoka wapi kama hakuna haki?Yaani usiku unapita nyumba kwa nyumba kupiga risasi watu waliolala kama huko Zanzibar halafu unahubiri amani?!
Amani gani uhalo tupu Tec ni bakwata
 
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limewataka Watanzania waiheshimu na kuisikiliza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa ndiyo mratibu wa kisheria wa uchaguzi wa Tanzania.

Aidha, maaskofu hao wamesisitiza amani na uadilifu vizingatiwe kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho.

Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani TEC, Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima walitoa wito huo jana kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam.

Waliwataka Watanzania waongozwe na dhamiri nyoofu kwa kufanya uamuzi sahihi kwa maslahi ya taifa badala ya maslahi binafsi.

Walisisitiza Watanzania kupitia imani zao wauombee Uchaguzi Mkuu uwe wa amani na salama na uzae matunda tarajiwa kwa nchi kupata viongozi bora.

Askofu Mkuu Ruwa'Ichi aliwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kesho na kupiga kura kwa uelewa mpana, ukomavu na uzalendo na kuzingatia amani na maendeleo ya jamii.

Kiongozi huyo ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam alivihimiza vyombo vyote vinavyohusika kuratibu na kusimamia Uchaguzi Mkuu vizingatie sheria, taratibu na maadili ya kazi ili wapigakura wawe na imani na uchaguzi huo.

"Tuwe makini kufuata sheria, kanuni na miongozo inayotolewa na mamlaka husika katika kipindi hiki cha uchaguzi hususan Tume ya Taifa ya Uchaguzi."

"Uchaguzi ni zoezi la kiraia linalohusisha haki za kirai hivyo Watanzania wote waheshimu zoezi hilo na kushiriki kwa unyofu mkubwa wa moyo, nidhamu, ukomavu, uzalendo na uwajibikaji wa hali ya juu," alisema Askofu Mkuu Ruwa'Ichi.

Padri Kitima alisema wapiga kura wanapaswa kuongozwa na dhamiri nyoofu wakati wa kupiga kura kwa manufaa mapana ya Watanzania na taifa kwa jumla.

Akiwa na Padri Chesco Msaga, Padri Kitima alisema miongoni mwa mambo muhimu yanayoweza kulivusha salama taifa katika Uchaguzi Mkuu ni vyama vyote kuwa na haki sawa.

Aidha, aliwataka wadau wa uchaguzi waheshimu matokeo yatakayotangazwa.

"Tume ndiyo refa mkuu baada mchezo anayeshinda kubali hivyo, tunaomba mratibu mkuu wa kazi hii ya uchaguzi ambaye ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi aheshimiwe na kusikilizwa, sisi tuna imani na tume hii hivyo wadau wake wote wazingatie uadilifu wa kisheria na kiutu kwa kuwa Mungu anataka watu wote waheshimu dhamira za watu ili tupate matokeo mazuri," alisema Padri Kitima.
Hilo neno uadilifu kwa nec ni kitu kigumu sana kwao.
Hakitekelezeki, huenda labda
Moja hawako huru au
Mbili wamepokea rushwa.
Wamewakata wapinzani kila kona ya nchi ila kwa ccm hakuna hata mmoja aliyekatwa kuanzia ngazi ya rais hadi diwani.
Hivyo neno uadilifu kwa nec ni impossible issue.
 
Waende huko tunateseka hii nchi wako kimya tu ila wanalilia amani washezi wakubwa hawa
 
Mbona wasabato wamenyamaza kimya jamani.!
Wangesema na wao hata jambo.
Maana Hawa maaskofu wa kikatoliki tumeshachoka nao
 
"...sisi [TEC] tuna imani na Tume hii [ya uchaguzi]..."--Padre Kitima, Katibu Mkuu wa TEC.

Msingi wa imani hiyo ni upi? Ningeamini kauli hiyo kama Fr. Kitima angesema kitu juu ya haya...

=============
Opposition candidates continue to face electoral sabotage as general election campaigns come to an end

The opposition candidates for presidential, parliamentary and councillorship electoral race of 2020 in Tanzania faced systemic and isolated incidents of violence from the early days of the election process and continue to witness violence until now as 10 election days are left.

Systemic violence was overtly and covertly orchestrated by the National Electoral Commision’s agents responsible for nominating presidential, parliamentary and councilorship candidates.

Evidence on record indicates that 1,020 Chadema councillorship aspirants were disqualified out of 3,754 candidates who were in the race in 3,955 wards in mainland Tanzania.

Also 53 Chadema candidates for parliamentary seats were eliminated from election participation out of 244 hopefuls approved by Chadema to contest the October 28 elections.

They were eliminated even before the election whistle had been blown.

In Zanzibar, the opposition political party ACT-Wazalendo suffered a similar blow where a total of 47 candidates including 16 from Pemba were disqualified by the Zanzibar electoral commission.

“Candidate disqualification has been done unjustifiably against legal procedures and rules,” Lissu, the presidential candidate through Chadema, told his supporters during the public rally held recently at Zakhem grounds in Dar es Salaam.

These violence incidences have confounded the long standing belief that the National Election Commission is also firmly under executive control and hence neither free nor fair to all stakeholders.

Tundu Lissu, the opposition firebrand is running for presidence to replace the incumbent President John Magufuli in the 2020 general elections. He has been on the campaign trail since August 26, drawing massive crowds at each stop. He has also faced systemic violence.

Recently, the National Electoral Commission suspended Lissu’s campaign for seven days, accusing him of using “seditious language” that allegedly violated election rules.

Generally, all opposition candidates have fell victims of systemic violence as campaign posters have been weaponized by the government, which recently enacted a new tax on posting promotional materials, making it too expensive for the opposition to print and share posters, placards and fliers.

However, as a matter of common sense, it would appear that, a political party should not be subjected to paying taxes on posters since election posters are a public service, where citizens get a chance to know the candidates.

Apart from Systemic violence, presidential, parliamentary and councillorship candidates from the opposition who succeeded to cross the nomination line, have on the other hand suffered violence this time implemented by the law enforcement organs such as the police force and the members of the secret service.

The police force tear gassed Lissu’s convoy as he traveled to a rally at Nyamongo in Geita region, firing chemicals into the crowd for some 15 minutes. A disturbing video shared on social media showed people bleeding after apparently having been beaten with sticks in clashes with security forces.

Similarly, his convoy was stoned by supporters of CCM as he was travelling from a political rally held in Chato the home ground of President Magufuli.

The parliamentary aspirant for Karagwe constituency was remanded for 24 hours for no obvious reason as he tried to hold an internal meeting in Chanika ward as a preparation for his public rallies.

The homestead of Freeman Mbowe, the parliamentary aspirant for Hai constituency, was recently invaded by armed team that walked away with key documents collected from this house, as Mbowe and his family were at the Church. House guards were threatened by being fired at and ordered to lie down.

Similarly, the security guards for Ester Matiku, the parliamentary aspirant for Tarime rural constituency were forcibly arrested by the police for no obvious reasons, and they are still under policy custody up to now.

Councillorship aspirants too have been forced to dance the music of violence. For example, in Karagwe constituency, councillorship aspirants for Bugene, Kayanga and Chanika wards, were denied nominations. They contested the disqualification and their referrals were allowed. However, in a week they were served with other letters from NEC telling them that their referrals were unsuccessful.

The first round letter were issued by the NEC office at Dodoma while the second round letters were issued by NEC offices at Dar es Salaam. The same organ issued contradictory decisions, this being an indication that they were working an the influence of protecting the interests of the executive. They have not been allowed by NEC to start campaigsn to date as ten days are left.

This trend of violence suggests that as the nation moves closer to 28 October 2020, which is the vote casting day, more violence should be expected. The opposition have to expect the unexpected.
Ukimtoa baba Askofu Niwemugizi Wengine TEC ni utopolo bakwata b hawakuona tume inyopendelea? Hawakuona tume ikiengua wagombea
 
Back
Top Bottom