Baraza la maadili mbona la kisiasa? utapeli mtupu!

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Hili Baraza la maadili nashindwa kuelewa utendaji wake upo vipi? Kuna haja gani ya kutumia resources nyingi kuwaita watu na kuwahoji? wanashindwa vipi kuwapigia simu? kwanini kurudisha form inakua a big issue? watanzania wengine kufikiri na utendaji wake unasikitisha.............everything inakua siasa za maji taka?
 
Back
Top Bottom