Baraza la Habari: Waandishi waliochukua fomu kugombea nafasi za kisiasa waondoke katika Tasnia ya Habari

Hapo mko sahihi vinginevyo habari zitakuwa za upendeleo 'there will be no checks and balances because of conflict of interest '
 
Na sisi wafanyabiashara tutatoa tamko soon.

Najua gwajiboy haruhusiwi tena kupanda madhabahuni.

Unafanyaje siasa huku unafanya biashara? Huoni kuwa huko kwenye siasa kuna fedha chafu!!

Ona kina devidi matayo, sh amon, kishimba! Wanakusanya mitaji haramu (wanatakatisha fedha)
 
Back
Top Bottom